Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Wow bebe kumbe unajua kwenda na vina vya o o o eeh.

Mie ni zaidi ya bando kwako

Nakujaza ujazike kama tigo
Dokta nimeshaingia

Kwenye chumba cha kutibia

Fanya haraka uje baby...
 
Kakukataa kwa kukuambia sababu inayomfanya asikupende, sasa wewe hutaki au?
 
Mkuu usiogope..hawa wasikutishe hapa..tafuta vyuma uone kama huo ufupi utaonekana..
 
Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,,

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!

Sasa umeshasema kuna ambao wewe huwa unawakataa sasa unaona ajabu gani wewe kukataliwa acha ukuda.Weka na kapicha tuone ni ufupi wa namna gani emoro au
 
Back
Top Bottom