mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
Njoo chumbani (PM)tuongee .Pessa zipo ila Siwapi
Mwanaume Mchoyo akutake nani??
Kwa nn nichukue mtu ilimradi..?? Upendo mkuu
5.3 sio mfupi Saana wewe utakua upo kwenye 5.0
si bora mimi ambaye nilikupa iPhone 7
Njoo chumbani (PM)tuongee .
Kwa nini ninunue watu...?? Hta Mungu hapendi biashara ya kununua binadamu wenzio
Sikia wewe sisi hatutaki overprotection ya manguvu mliyo nayoProtection ipi mnayoitaka...?? Nina mafunzo ya Kumfu na Jaikondo,... Hiyo protection ni ya aina gani labda...??
Hujawahi ona wanaume warefu waoga..?? Tena ndo wengi wao
Atakuwa mfupi sehemu zilizojificha ndo maana anakimbiwa163cm ni mfupi?

Rubby Mungu hapendi.,, Ameumba binadam na si viemoro
Hahaha..! utamuua kwa presha.Ndio maana mfupi
ni omoro au emoroPole sana emoro