Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kwa mifano hiyo hapo nagundua sababu sio ufupi, sababu ni Pesa
Mbona kadai pesa anazo ila hataki kuonyeshaaa.Huyu jamaa sio...Ivi mwenye pesa anaonyeshaga au pesa wenyewe inaongeaa kwa maana Hata ile life style ya MTU??pesa haiongopii.Vita ya pesa haijawai mwacha MTU salama!?!??!!!!!
 
Me mbona mfupi harafu Shemeji yenu mrefu na mzuri.....kashobokea dundo mwenyewe eti ooh wewe bwana unanifurahishaga nami bila kusita nikapeleka majeshi Silia,haaaa huu mwka wa pili tumegandana
 
1. Pesa inakupa Mahitaji Muhimu katika wakati unaotaka.. unapata unachokitaka kwa Pesa tu
2. Mwanamke kwenye Pesa kama... Samaki na Chambo... kama hatokupenda kwa ufupi wako basi atapenda Pesa zako.
3.Jiongeze ww tumia Pesa.
 
Mwanaume Huwa Alilii Mke. Ila Wanawake Kinachowatesa Ni Saikolojia Yao. Na Hakuna Anayeijua Vzr. Mf. 1. Wanapenda Showoff, Uwe Unaonekana Vzr Kwa Watu, Lkn Km Huna Hela Atatafuta Buz La Kukusaidia Matunzo Au Km Haugegedi Vzr Bac Atatafuta Msela Hata Km Hana Hela Wa Kumridhisha. So Km Una Sifa Ya Gudlooking Pekee Af Na Buz Lake Nalo Likawa Vivu, Bac Hapo Ndo Kanuni Ya Mafiga Matatu Inapo Apply. 2.Ukiwa Na Pesa Af Huna Muonekano Anao Taka Yeye, Atakuvumilia2 Kwa Dhiki Zake, Lkn Akikutana Na Mario anaejua Umodel, ataendesha Hadi Magari Yako Atampa jina Mafundi Gerej. 3.Ukiwa Na Muonekano Mzr Na Pesa Zpo Ila Znapatika Kwa Ubize, Hesabu Maumivu Maana Mwanamke Anaish Kwa Hisia Km Kipofu, Uctegemee Kulala Nae2 Ndo Utakidhi Haja Yake. Akitokea Mtu Akawa Anamkeep Bze Kwa Msgs, Story, Ucheshi, Giftz Na Ww Ukirudi Unajigamba Kwake Ulikua Kwenye Madili, Atakukubalia Maana Huwa Ni Wackivu Sn. Lkn Mwanamke Huwa Hatoki Nje Kwa Makusudi, Maranyingi Anajikuta Amesha Gegedwa, Ni Km Mbwa Kwa Chatu. Na Wengi Hujilaumu.
 
Me mbona mfupi harafu Shemeji yenu mrefu na mzuri.....kashobokea dundo mwenyewe eti ooh wewe bwana unanifurahishaga nami bila kusita nikapeleka majeshi Silia,haaaa huu mwka wa pili tumegandana
Kwahiyo mkuu, hadi mida hii majeshi yapo huko "silia"??
 
Wewe Acha Ujinga Tumia Pesa Na Ionekane Kabisa Pesa Ipo We Vipi? Sasa Endelea Kujificha Na Hizo Pesa Wakati Wenzio Wakiotea Kalaki Tu Wanafanya Maajabu Utafikiri Wana Milioni 100 TUMIA PESA ACHA UBAHILI LA SIVYO UTABAKI NA HAMU ZAKO!
 
Back
Top Bottom