Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!

Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.

Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!

Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,

Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!

Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Jitoe ufahamu umtumie dushe, huenda anahisi una dushe fupi...... Dushe ndo litakukomboa
 
Tulia hata usiwaze, omba sana Mungu atakupa wa kwako, si lazima kila unayemtongoza akukubali au ndo wako.
 
su utafute demu mwingine kwani lazima huyo?. Yaani watu wafupi bwana uwa ving'ang'anizi halafu wabishi na wana inferiority complex ile hatari. Nilishasema ukitaka ufurahie maisha oa demu uliyemzidi urefu, elimu, pesa, akili na ubishi.
 
Mkuu mbona mim mfupi alaf mweusiiiii ila fresh tu ,na shawah kuwa na madem warefu zaid and ten san,nafny yangu kam idah.mzeebaba wasikutishe ata kidgo
 
Ila na wewe huenda ukataliwi sababu ya ufupi tuu.... mbwembwe pia zinachangia! Watu wa aina yako mnapenda sana kujisifia, mfano hai kama ulivofanya hapa!
 
Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!

Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.

Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!

Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,

Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!

Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Bora kuwa mfupi ila uwe na akili kubwa kuliko kuwa ngongoti na akili nukta. Usijali mkuu wako uliyeandaliwa na Mungu atakuja endelea kumwomba.
 
Ufupi, kitambi, uwaraza, KB*** , ualbino, kutokuwa na elimu kubwa etc etc sio shida kabisaa wanaume wenzangu hujapata mtu sahihi tu.
Achana nao jaribu kuhudhuria ktk nyumba za ibada kuna watu wametulia wanatafuta kuolewa na watu wenye vigezo stahiki.
Mkuu usivunjike moyo hata kidogo kama lengo lako ni kuoa na si kuchezea utapata mtu sahihi.
 
163cms ni mfupi sio kweli bhana mimi pia urefu wangu 163cms watu wafupi huwajui nini

Jiamini kaka
 
Piga chini Fanya mambo yako usilazimishe penzi hilo litakutesa.
Ipo siku atakumbuka umuhimu wako, muombee apate anayemhitaji,
 
Wote hao hawana kheir na wewe,mshukuru mwenyezi mungu kwa kukuepusha nao,zidi kumuomba muumba wako akupe mwenye kheir na wewe...
 
Back
Top Bottom