Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Nishakupa maarifa , hiyo ni sehemu kubwa ya psychology ya hao wenzetu
Wanapenda kujua kilichozidi Au kilichopungua mpaka wenzao wapo ambapo wao walitosa
 
Hahaha mkuu Pole sna Ila never loose hope utapata wa kufanana na wew ila wew sio mfupi sna, hao wanao kuacha sio ridhiki yko.
 
Umesema wapo wanaokupenda na huwapendi, unalalamika nn km nawe yamekutokea unapenda hupendwi?!! Chukua hao wanaokupenda ikiwezekana oa wote
 
Hao waliokukataa Mola hajaandika mmoja awe wako. Atatokea atakaye kupenda jinsi ulivyo
 
Mwanaume halilii mke, acha kuzalilisha jinsi yetu.
Hao unaokutana nao hawakupendi ndio maana hutoa hizo sababu
Nimebaini kuwa unatongoza vitoto visivyojua maisha.
Alafu unaonekana huna pesa za kutosha maana sisi watu wafupi kidogo huwa lazima tuwe na sifa za ziada ndio watupende lasivyo hutompata wakumuoa ndio maana wafupi tunasifiwa kuhandle, kugegeda, na aina yoyote ile ya kumthamini Lady.
Ila kumbuka kuwa wanawake wanavutwa sana na mwanaume smart na nadhifu pia elimu na kipato.
Sasa fikiri kaka ucje kuta huna cfa na unataka makubwa.
Wanawake wote duniani wanataka kuolewa na wanaume waliowazidi kila kitu, kuanzia urefu, pesa, elimu, n.k lakini kama huja mzidi jipange kaka kumshawishi kwa namna nyingine
Ila uoe kijana
 
Protection ipi mnayoitaka...?? Nina mafunzo ya Kumfu na Jaikondo,... Hiyo protection ni ya aina gani labda...??
Hujawahi ona wanaume warefu waoga..?? Tena ndo wengi wao
Kitu anachotaka kusema siyo kumlinda asipigwe ngumi maana kama ni hivyo matumla angekuwa na wanawake million moja. Ni kuwa wanapenda kwanza akiwa na mwanaume ajue ana kisomo hivyo akitaka kuuliza apate jibu la uhakika, ana madaraka ili akikaribishwa kwa shoga yake aseme huyu ni mme wangu ni katibu mkuu wa wizara ya maji, ana pesa siyo kila siku afikirie atapata wapi pesa ya kununua mkaa n.k LadyAJ . Nasikitika ukitumbuliwa mara nyingi mke ndiye anapata dhahama zaidi.
 
Kama kweli kasema hivyo, anachojali yeye ni mwonekano wa siku moja tu, yaani ya harusi. Na kwa uelewa wake anaona ni lazima bi harusi avae viatu vya mchuchumio? Uelewa wa ujumla wa huyo bibie unauonaje?
 
Back
Top Bottom