Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Nimecheka wallah hii dunia ina mambo kwa kweli.
Teh! mstiri mwenzako anatafuta mke
ufupi wake unaweza usiwe wa kawaida sio bureAlitangaza nikamkataa! Alikua muongo mno![]()
![]()
![]()
duh!!!!! Ulikua kama una kumbatia mtoto, hakutangaza ndoa kweli?
Bs tafuta mfupi mwenzio mkuuHabari za majukumu wanajukwaa..!
Rejea kichwa hapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3
Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!
Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi . Na wengine ni wafupi pia wananikataa kisa ufupi nashindwa kuwaelewa...!!
Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!
Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,
Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!
Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Inshu ya ufupi imekua serious kiasi hiki..?? Mbona wazee wa zamani walichukuana mwanaume mfupi na mwanamke mrefu tu...??
Pole, nilidhani ufupi ulimkosesha mke.Alitangaza nikamkataa! Alikua muongo mno
sio ufupi,itakuwa unawafwata wanawake wasio type yako..Protection ipi mnayoitaka...?? Nina mafunzo ya Kumfu na Jaikondo,... Hiyo protection ni ya aina gani labda...??
Hujawahi ona wanaume warefu waoga..?? Tena ndo wengi wao
Wala!!! Mi sina shida n ufupi!!!Pole, nilidhani ufupi ulimkosesha mke.
Kuhonga ni mkosi163 mfupi ? Looooh wanazingua achana nao na pesa usiwape ng''00oooooo
Kuhonga ujinga ebooooh