Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

We jamaa ndo umeua, ila wanaume wafupi wanakuwaga wanapata mizigo ya ukweli, nadhani ni kwa sababu ya confidence.
Nikiongea kwa experience.

Wanawake wengi wanapenda wanaume waliowazidi sio vimo tu hata pesa, elimu, status n.k.

Couple za mwanamme mfupi na mwanamke mrefu zipo ila sijaziona nyingi kama za kinyume chake.
 
163 mfupi ? Looooh wanazingua achana nao na pesa usiwape ng''00oooooo

Kuhonga ujinga ebooooh
 
Pole sana!!! Yaani mie niliwai kua na mkaka akinikumbatia kichwa kinazama kifuani!!! Yaani kimo chake hakikua tatizo!!! Ishu ni kwamba wasichana wengi tunapenda show offs.

1496595715302.jpg
 
endelea kuficha izo hela tu zitakuletea mke uko ziliko, izo ni excuse tu za wanawake embu toa hela jifanye uko busy mtumie hela na ujifanye uko busy kama hajakutafuta mwenyew acha ubahili
 
Back
Top Bottom