Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja.

Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!.

Dec 9 asibakie MTU nyumban.
Noted
 
Achana na ukatoliki uislamu sijui. Kumpa Mzanzibar Wizara ya Elimu ambao kwao kila mwaka shule zao zinashika mkia kitaifa ni jaribio la kuizika mazima Elimu yetu.
 
For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja.

Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!.

Dec 9 asibakie MTU nyumban.
Tuna shule zetu. Hana impact huyo kilaza kawekwa kupata uzoefu
 
For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja.

Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!.

Dec 9 asibakie MTU nyumban.
Zamu yenu kulalamika
 
Mkuu tuachane na mambo ya udini mbona wengine ni waislamu na hatumtaki Samia tunaitaka Tanganyika yetu.
 
Naibu waziri wa elimu mwenye elimu ya mbalimbali za hapa na pale. Tutegemee ONGEZEKO la mawinga na madalali
 
Umefika mbali sana.
Kiongozi, huko ndiko waliko. Bila kutarajia mwamba amejikuta ametoka boko. Ukweli ni kuwa sababu kuu ya wasiomtaka Samia ni dini yake tu basi........haya mengine sijui utawala Bora, utekaji, demokrasia, maisha magumu, uchaguzi ni uongo mtupu. Na hili linaongozwa vizuri tu na TEC.
 
Back
Top Bottom