Hiyo ni nguvu ya soko.

Wakiona watunwengi bado wanaendelea kunuanua hawatapunguza ila wakiacha na wao watarekebisha.
 
Mwenye vifurushi vya ttcl aweke hapa tuone maana hii sasa na balaa hakuna hata kwa kukimbilia
 
Wanajua hatuna cha kufanya sana sana kulamika
Mitandaoni tu

Ova
 
Na wametuma message hapa kesho watakua wanaboresha vifurushii nahisi watazid kupunguza hawa wehu
 
Back
Top Bottom