halafu mpaka wasomi kabisa na akili zao, eti....wanaacha kutumia VODA!!! wakati ni mitambo ya TCRA na makampuni yote wanafanya hivyo
Chochote nisichokusudia kisikiwe na MTU asiyetarajiwa nami ni siri yangu bila kujali mtazamo wako nduguOna huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?
Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?
Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.
Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
aiseeHapo kwenye mitambo ya TCRA sijakuelewa unamaanisha nini. Ujumbe upi ulitaka kuufikisha? TCRA wana mtambo upi huo?
Duu uzi umeungwaHaswaaa... Hakuna sehemu watakayohamia halafu wasidukuliwe kama watu watahitaji taarifa zao zitapatikana tu tena kirahisi sana inawezakana kuliko hata zilivyopatikana kutoka vodacom
Aiseee chalii kwa kupigasimu ama kama kijambioOoh tutumie tigo
Nioneshe nilipolazimisha nitakuomba radhiUnalazimisha tufuate mawazo yako mkuu. Kuna una hisa huko?
Kuhoji uraia, kupiga marufuku mikutano halali ya kisiasa.Hadi sasa mzee anapata taabu sana kutawala analazimika kudukua kuteka kupiga risasi kuua kufanya chochote kwa hata anayetoa mawazo guru kikatiba lakini hola he akikaa miaka 10 ataua wangapi?
Wabongo wameamua kususia kweli? Au stories za Twitter tu?Wanachofanya Voda sasa hivi ni ku Troll, wanapost mada nyingi za kujitetea kwa kutumia account za watu wao mbalimbali. Ishakula kwenu tayari Vodacom will never b the same again Kuajiri trolls kutetea ujinga wenu haitowaokoa. Solution mliyokuwa nayo ni moja tu, mshushe bei ya vifurushi vyenu kuwavutia wateja na hii inamaanisha mtapoteza faida na hapa tunarudi kulekule Vodacom will never b the same again
Kama wanajua sheria zinakataza kwa nini wakubali kutoa siri za watu,kwani wao hawawezi kutumia sheria zilizopo,huoni utetezi rahisi kabisa,kama kuna mitandao mingine itabainika nayo tutaipigia kelele kama Vodacom.Watanzania tusiwe na akili nyepesi kiasi hichi, Vodacom wamejipambanua jinsi wanavyolazimishwa kutoa siri za wateja wao, kosa lao kubwa sana ni kukubali kutoa mawasiliano kinyume na sheria ya nchi. Lakini je, mnajua mitandao ambayo haijatoa taarifa kama vile TIGO,ZANTEL,HALOTEL na AIRTEL ambao serikali ina hisa nyingi ina matatizo kiasi gani?
Tunapoulaumu mtandao ambao umekua huru kueleza masahibu unayopitia, kumbukeni kua kuna mitandao ambayo haijasema kitu. Kwa ujumla kupitia mazingira haya ya Vodacom ni lazima tuwe na hofu mitandao yote iliyopo nchini.
Safi sana..Kwa kuwa vodacom wameamua kutumia tabaka dhalimu la watawala badala ya kufanya biashara...
Na kwa kuwa vodacom wameamua kuwa sehemu ya mhimili huo wa uovu...
Na kwa kuwa sasa ni dhahiri wanashiriki kusaidia raia wema kufuatiliwa mawasiliano yao na kufanyiwa uhalifu na vyombo dhalimu vya dola...
Nimeamua kuungana na watanzania wazalendo walioamua kususia bidhaa za vodacom na hivi natangaza rasmi kuivunja vipande na kuichoma moto line yangu ya Vodacom ambayo nimekuwa nikiitumia tangu mwaka 2002.
Nimewaachia salio la Shilingi 0.56 kwenye akaunti yangu ya m'pesa...wale wafaidi.
May the unscrupulous and evil dogs of Vodacom go to hell and burn among the rocks!
Shubaaamit!
kama ni utoto , akili yako imepitiliza. Huwezi kuikimbia sheria hata uende wapi, ukitaka kuikimbia sheria jitahidi uitii na kuiheshimu.
Acha mazoea binadamu hubadilika,ndiyo maana mnafanya vitu kwa mazoea mkiamini watanzania ni wajinga.Wabongo wameamua kususia kweli? Au stories za Twitter tu?
Voda wameshajipambanua tayari, hayo makampuni mengine wakifanya hivyo, tutajua namna ya kupambana nao.Watanzania tusiwe na akili nyepesi kiasi hichi, Vodacom wamejipambanua jinsi wanavyolazimishwa kutoa siri za wateja wao, kosa lao kubwa sana ni kukubali kutoa mawasiliano kinyume na sheria ya nchi. Lakini je, mnajua mitandao ambayo haijatoa taarifa kama vile TIGO,ZANTEL,HALOTEL na AIRTEL ambao serikali ina hisa nyingi ina matatizo kiasi gani?
Tunapoulaumu mtandao ambao umekua huru kueleza masahibu unayopitia, kumbukeni kua kuna mitandao ambayo haijasema kitu. Kwa ujumla kupitia mazingira haya ya Vodacom ni lazima tuwe na hofu mitandao yote iliyopo nchini.