Kampeni ya kuikataa Vodacom

Ungekua Unasikiliza Uhuru, hawana habari zaidi ya kuiponda Simba.

Wao wanajua Simba ni ya wapinzani, Yanga ya CCM.
 
Swali 2 & 3 ni maswali muhimu sana ukijumuisha na usalama wa pesa za wateja hasa wale ambao si rafiki wakubwa wa serikali kwa namna yoyote ile.

Fikiria leo hii mtu amesafiri kikazi au kwa jambo lolote la dharura na pesa yote ameweka kwenye simu ili kujiepusha na wezi, majambazi au kupoteza kisha itokee SimCard yake imefungiwa mawasiliano kwa matakwa ya mtu au kikundi cha watu(hata kama ni viongozi),
............ Au .........
Mtu adhurike/ kutekwa na mawasiliano yake hayapatikani, yeye na ndugu zake watakuwa kwenye hali gani na jambo hilo watalitafsiri nini?

Usalama & Faragha ya wateja wao ni jambo la msingi katika kuimarisha misingi ya biashara yao.
 
Tangu mwezi march sina Vidacom baada ya kuona si mtandao rafiki kiuchumi. Sasa ukiunganisha na hili, ndo hawataniona tena...! Byebye Vodacom.
 

Kampuni yeyeto ikivunja Sheria ya faragha yako buruza mahakamani kadai fidia upate pesa
 

Wameona watz wote ni salaka.
 
umeandika upumbavu gani ??na wewe ukitaka kubaki baki kimya kimya.......wadukuzi ni voda tu wengine unawajua wewe na uzwazwa wako!voda ni makaburu warudi kwao Tanzania hatuwataki tena!
 
Wanasiasa wetu wa upinzani hovyo na hopeless kabisa. Kwa nini hawakufanya uchunguzi wa vitegauchumi vya ccm na kutujulisha ili tuvisusie mapema? Yaani miaka 15 naineemesha voda kumbe naineemesha ccm.

Nilikataa simba na yanga kwa vile ni miradi ya ccm, nikakataa huduma zote katika maeneo ya ccm japo nilikwama kiwanja cha Mango Garden maana twanga ilikuwa si mchezo, kumbe voda wananifaidi kuelekea kijani.

Sasa imetosha ccm hampati pesa yangu tena
 
Inavyoonekana wanahisa wa Vodacom ni watu wa kitengo na imekuwa ikitumika miaka mingi kufuatilia prominent people kisirisiri, ila sasa mambo yamekabidhiwa kwa watu "wasio na kifua". Matokeo yake ndio hizi blunders. Sad!
 
KABLA HAMJAVUNJA line KOPENI SANA
 
Sawa lakini ujumbe utafika kwa wote
 
Simba na yanga zote mali ya ccm tuanze kwa kuzisusia hizi timu
 
Inamaana kampuni kubwa kama vodacom wanazidiwa na JF?
KUHAKIKISHA HILO (JF & MASHABIKI) TUZIME LINE ZAO KWA WIKI MOJA KAMA sio kuzitupa tuone IMPACT YAKE!! WENYE KUUNGA MKONO kazi kwenu. Yaani Rasmi kuanzia sasa kama ni line ya kikazi basi fanya taratibu za kubadili mtandao bila kuwaungisha vocha
 
Kampuni yeyeto ikivunja Sheria ya faragha yako buruza mahakamani kadai fidia upate pesa

Kwa jinsi tulivyo hoi mkuu hata hiyo hela ya kusimamia kesi tunayo?

Mtu mnyonge ni mnyonge tu ndio maana hawa wenye madaraka wanajipigia wanavyotaka!

Ndio maana haya mashirika yenye nafasi kwenye jamii kama Vodacom,etc yatutetee basi kibinadamu cha ajabu yanatugeuka!

Cha ajabu ndio yanashirikiana na mtoa roho kuonea wanyonge!

Mahakama ipo kwa wenye kipato mkuu!

Ku-hire powered lawyer tu ni milions!

Wewe na mimi tusio chochote regime inajua huna mbavu za kwenda court!

Vodacom imefanya unyama mkubwa sana kwa wanyonge!

Sana!
 

True thus why wanyonge ndo wamejaa jela sababu hawana pesa za kuhonga au kulipa wakili kesi zao zikimbie haraka haraka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…