Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

RIP Voda, ila utabaki nao Rostam na Fred maana hata watumishi was umma watakuwa TTCL

Wewe utaRIP VODACOM Tanzania utaiacha juu kileleni. Halafu watumishi wa umma ni 500,000 tu. Sijui una data za idadi ya watuamiaji wa simu nchini?
 
Mkuu, usemalo ni kweli but fanya utafiti upya, airtel money inakua kwa kasi ya ajabu sana sasa hivi; binafsi nina mwezi 2 hu sinunui kabisa vocha zao hawa jamaa, sababu yangu ilikua ni wizi, lilipo ibuka suala la udukuzi ndio kabisaaa, nimewafutilia mbali. Mke wangu mwenyewe nae nimemnunulia line ya airtel, Maisha yanasonga
Airtel money serikali ya CCM ni mmiliki
 
Wewe kuniita b1tch ni dalili tu za akili yenye mapungufu kwa hiyo sikurudishii. Makampuni ya simu hayana uwezo wa kudukua simu za wateja, mfano, mazungumzo halisi. Data wanazoweza kutoa ni za mwenendo wa mawasiliano tu. Udukuzi hufanywa na wengine kwa teknoljia zingine. Hizo za kudhibiti matumizi ya line ndo nakwambia na narudia kuwa unaelekeza hasira zako sehemu isiyo sahihi. Wanalazimika kutii sheria. Kwani wakiambiwa na mamlaka zuia line hii kwa sababu zilizo ndani ya sheria wao wanatakiwa kwenda mahakamani kwa niaba ya mteja kuthibitisha?

Haya, tukishaiacha hiyo VODA ndo too much power itaacha kutumika? Ni akili kupinga too much power kwa kuisusia kampuni ya simu? Halafu sioni tofauti yako na jiwe kwenye kutumia too much power. Nawe ni mkurupukaji na mropokaji. Vodacom wanajua kila mteja anafanya kazi gani au ana tuhuma gani mpaka useme kuwa wameshiriki utekaji? Hiyo move ya kuikataa VODA fanya wewe na wenzio wenye akili zinazofanana. Mimi siachi kutumia VODA leo wala kesho.

Punguani wewe!

Wewe ni regime apologist!

Unatetea the biggest evil unaacha kumtetea mwananchi mnyonge kabisa!

Kusema mwingine ndio anaweza kudukua na sio Voda,you are just clueless!

Unaitoa Voda kwenye kudukua as if Voda is saint here!

Third Party agent anaweza kudukua na Vodacom pia inaweza kudukua the same way!

Sheria sio tatizo,kama Voda inaweza kusimama ikakataa uonevu kutoka kwa regime na waka-pay price kwa niaba ya mteja asie na hatia!

Voda sio some stupid box unaenda kusema nataka hiki mimi ni serikali,kuna ethics ambazo ni allowed worldwide zinasimamiwa na world bodies such as ITU,huwezi ruhusu udukuaji kis3ng3 s3ng3 maana serikali mbalimbali duniani pia ni evil like other evils!

ITU na GSM board inaweza fanya majukumu yake na ikigundua kwa udhibitisho kwamba evil regime inatumia makampuni ya simu yasiyo maaminifu kuonea wanadamu powerless wanaweza ban TZ from the world GSM board na mkaishia kupigiana simu za makopo kwenye kiinchi chenu wenyewe!

Wewe unadhani hii dunia unajiamulia kufanya unachotaka sababu wewe ni Jiwe?

Plus,sijui wewe uhakika kua sio Voda iliyodukua umeupata wapi maana huna uwezo wa kuichunguza Voda na serikali kwenye hili.Hata kama umechunguza tukuamini wewe kama nani?

Voda unaambiwa fungia namba ya huyu mama na huyu baba,kisa ni waandishi wa habari!Dukua huyu dukua yule kisa ni Waziri Mkuu aliepita!Dukua huyu kisa ni mwanachama wa Chadema,etc!Huu upumbavu usio na mipaka wewe ndio una utetea?!

Vodacom haikosi lawama hapa ku-act kama agent of evil kwa niaba ya evil regime!

Na hii chuki mioyoni mwa wananchi powerless itaifanya iwe number 2.Already Tigo ashakua number one karibu katika kila category!

Na nakuhakikishia,binafsi yangu nimejaa chuki na TTCL then Vodacom,TCRA na chochote connected to the regime!

Sijui wengine,binafsi yangu ndio hivyo na ninajua wapo wengine wenye chuki na hivi vi-agents of evil!

Makampuni makubwa tuliyotegemea walao yasimame their ground against this biggest evil of all times,hao hao ndio wameamua kuipigia magoti,sijui nani atatutetea against this bully!

I really dont know!

Our end,of us all,including you unaejiona leo upo salama sababu unatetea regime,your days are coming too!
 
Mkuu, usemalo ni kweli but fanya utafiti upya, airtel money inakua kwa kasi ya ajabu sana sasa hivi; binafsi nina mwezi 2 hu sinunui kabisa vocha zao hawa jamaa, sababu yangu ilikua ni wizi, lilipo ibuka suala la udukuzi ndio kabisaaa, nimewafutilia mbali. Mke wangu mwenyewe nae nimemnunulia line ya airtel, Maisha yanasonga
Airtel ndo mikakati yao inafeli kila siku walikuja na vocha ya mia mbili walifeli wamefungua airtel money kila kona ila bado wamefeli
 
Bavicha ni mbumbumbu! Hata hapa mnatuma coments kwa lain ya Voda
 
Msipotoshe,issue sio kurekodiwa,issue ni kutoa/kuvujisha mawasiliano ya wateja kinyume na sheria taratibu tena kwa masilahi yenye mwelekeo wa kisiasa.

CCM bakini na voda yenu kwa masilahi yenu.
Swadakta !
 
Punguani wewe!

Wewe ni regime apologist!

Unatetea the biggest evil unaacha kumtetea mwananchi mnyonge kabisa!

Kusema mwingine ndio anaweza kudukua na sio Voda,you are just clueless!

Unaitoa Voda kwenye kudukua as if Voda is saint here!

Third Party agent anaweza kudukua na Vodacom pia inaweza kudukua the same way!

Sheria sio tatizo,kama Voda inaweza kusimama ikakataa uonevu kutoka kwa regime na waka-pay price kwa niaba ya mteja asie na hatia!

Voda sio some stupid box unaenda kusema nataka hiki mimi ni serikali,kuna ethics ambazo ni allowed worldwide zinasimamiwa na world bodies such as ITU,huwezi ruhusu udukuaji kis3ng3 s3ng3 maana serikali mbalimbali duniani pia ni evil like other evils!

ITU na GSM board inaweza fanya majukumu yake na ikigundua kwa udhibitisho kwamba evil regime inatumia makampuni ya simu yasiyo maaminifu kuonea wanadamu powerless wanaweza ban TZ from the world GSM board na mkaishia kupigiana simu za makopo kwenye kiinchi chenu wenyewe!

Wewe unadhani hii dunia unajiamulia kufanya unachotaka sababu wewe ni Jiwe?

Plus,sijui wewe uhakika kua sio Voda iliyodukua umeupata wapi maana huna uwezo wa kuichunguza Voda na serikali kwenye hili.Hata kama umechunguza tukuamini wewe kama nani?

Voda unaambiwa fungia namba ya huyu mama na huyu baba,kisa ni waandishi wa habari!Dukua huyu dukua yule kisa ni Waziri Mkuu aliepita!Dukua huyu kisa ni mwanachama wa Chadema,etc!Huu upumbavu usio na mipaka wewe ndio una utetea?!

Vodacom haikosi lawama hapa ku-act kama agent of evil kwa niaba ya evil regime!

Na hii chuki mioyoni mwa wananchi powerless itaifanya iwe number 2.Already Tigo ashakua number one karibu katika kila category!

Na nakuhakikishia,binafsi yangu nimejaa chuki na TTCL then Vodacom,TCRA na chochote connected to the regime!

Sijui wengine,binafsi yangu ndio hivyo na ninajua wapo wengine wenye chuki na hivi vi-agents of evil!

Makampuni makubwa tuliyotegemea walao yasimame their ground against this biggest evil of all times,hao hao ndio wameamua kuipigia magoti,sijui nani atatutetea against this bully!

I really dont know!

Our end,of us all,including you unaejiona leo upo salama sababu unatetea regime,your days are coming too!

Kumbe regime inapingwa hivi!😃😃 Basi sawa. Kila heri mtetezi wa wanyonge.
 
Povu la nini mtoto wa kike, kama hutaki/uhungi mkono kampeni yake au unaona haina mana wewe unaumia nini? Pita kimya mwache na kampeni yake. Je lazima kuunga mkono kila jambo?
Pumbavu! Hii nayo mtaishia patupu kama kipindi kile.

Sikia, watu hawatumii Voda sababu Lema au Msigwa au Mbowe kasema tumieni, Bali wa natumia voda sababu ya huduma zao,

Huduma zao ndio zitakazoamua uitmuie au laa!

Wakati mwingine tumieni akili.
 
nina laini 3; voda, tigo na airtel(nimesajili hapa majuzi).

Hata hivyo laini yangu napigiwa ila sipatikani ingawa nipo hewani... sasa ukichanganya na haya mazagazaga haya basi ndo naachana nayo kabisa...
Bye Bye Vodacom...
 
Wate car g
20190730_201635.jpeg
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako unaona voda inaweza kufa sababu wateja watahama kwakuwa hawatunzi faragha zao?
. Zipi hasa?
Misingi ya biashara inataka biashara iwe na loyalty kwa wateja. Si kwa viongozi wa kisiasa.

Hususan kama hakuna sheria za kuishurutisha biashara.

Ndiyo maana akili kubwa ya uongozi wa Jamiiforums imeshurutishwa na serikali kutoa habari za wanajamiiforums, ikakataa na kupigania haki ya faragha za wanajamiforums mpaka mahakamani.

Kwa ujinga huo unaosema, watu wanaweza kuona Vodacom si kampuni yenye kutunza faragha za wateja wake,wakahama, biashara ikafa.

Leo nimeona watu washaanza kampeni ya kususia Vidacom.

Sasa hapo hao CCM watafaidika vipi?
 
Back
Top Bottom