KAMPENI YA kitaifa ya OKOA MAISHA SOMALIA yazinduliwa na JK. Hali ikoje hapa nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAMPENI YA kitaifa ya OKOA MAISHA SOMALIA yazinduliwa na JK. Hali ikoje hapa nchini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoto Wa Mbale, Sep 2, 2011.

 1. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF:

  Katika taarifa ya habari ya leo usiku kupitia TBC1 nimeona habari ya JK kuzindua kamati maalum ya kitaifa ya Okoa maisha somalia. Sina tatizo na kampeni hiyo, kwa misingi ya utu!

  Hata hivyo nina shaka na dhamira yake hasa nikizingatia ukweli kwamba maeneo mbalimbali ya nchi yetu yanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula. Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma, Manyara, Mara, Mwanza nk inakabiliwa na njaa hata kusababisha mahindi kuzuiwa kuuzwa nje ya nchi.

  Kinachokera zaidi ni pale ambapo serikali haijachukua hatua yeyote kuwafidia wakulima kutokana na hasara walizopata kutokana na ukame, achilia mbali mkakati mahsusi wa kukabiliana na njaa!

  Tunaelekea wapi??
   
 2. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii ya Somalia ni janga linalo gusa dunia nzima, sasa hivi unaambiwa kila baada ya nusu saa mtoto anakufa na hawa wafanyabiashara wamefanya la maana sana. Na hii njaa inayosumbua mikoa fulani ya Tanzania ni wajibu wa serikali zaidi. Kwa sasa tuwasaidieni Wasomali hali ni mbaya.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Somalia ni janga la kitaifa, vyakula hivyo wala JK, hausiki amewaomba matajiri wachangie.
  1. Bakharesa katoa tani 50 za ngano
  2. Zakaria katoa tani 50 za mafuta
  3. Mengi katoa kontena moja la maji ya kunywa
  4. Mohamed katoa tani 50 za chakula
  jumla kontena 20 zitapatikana na bado michango inaendelea
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Habari nzuri hii nimeipenda. Ila wakumbuke kodi nyumbani!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mwislamu ndugu yake mwislamu mwenzake, kwahiyo anatimiza sunna za mtume.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Is Mengi serious au ana joke?

  Kwa BILIONEA kama yeye anayoa kontena moja tuu la maji ?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mabilionea wa kiislamu kama Yusuf Manji na Rostam Aziz wametoa nini?
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sliding Roof... i don't want to believe you are that blond... Cm'on bana....
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Matola give your self a Break!! It always has to be about religion???
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kila swali linastahili jibu lake,..........
  Mengi sio mtu wa kubezwa katika kutoa misaada,
  Ninayo software ya kuwabaini wote wanaochangia topic humu wakiwa na hidden Agenda.
  Kazi yangu ni moto kwa moto na upendo kwa upendo,
  Hakuna namna nyingine ya kudeal na watu ambao ni radical.
  Kumbuka hii software ninyotumia ni ghali mno, kwahiyo siwezi kuiacha isifanye kazi.
  Have a nice day.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Be it as it may... Kua na hio software having access to it as a result ya ku afford or by any mean does not mean that you should use the data at any possible or impossible moment... Are you telling me kua just because the software is expensive basi you have to use it all the time? To a person ambae yuko that committed (as noted from the post) You really have to be careful ni wapi pana hidden agendas... Hio Post ya Slide proof ni kweli members waweza interpret tofauti... But religion was definately not one of which to define by... Well and i too could be wrong which in this case just my IMO - But i urge read the post again free of judgement and pre-triggered-emotions and say that again....

  Kua na weekend njema...
   
 12. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wasomsli siyo watu wazuri, ukijaribu kuwasaidia watakugeuka siyo muda mrefu, angalia walivyo na ubaguzi kama waarabu. angalia wlipatiwa nafasi Kenya sasa hivi wakenya Eastleigh wanajuta sana. hiki ni kizazi cha kupunguza tu duniani. elewa watoto ndio haohao wanaokuja kuwa watu wazima. Maharamia na Al-shabab.
   
 13. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Umechangia nini wewe? kwani maji siyo msaada? au ulitaka apeleke Pombe?
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Trush me AshaDii, maisha ndani ya JF yalikuwa ni mazuri sana kabla ya 2010 kama wewe hii sio ID yako ya kwanza utakubaliana nami, lakini ghafla Watu tuliowategemea kutuunganisha kama Taifa wakageuza hapa kama kijiwe cha mihadhala na hili halijafanyika kwa bahati mbaya, wenye nia njema tulilikemea hili lakini haikusaidia kitu, ndipo watu kama mimi nilipochukuwa maamuzi ya kukunuwa hii software ambayo imeonesha ufanisi mkubwa kuliko ile aliyonayo Rev Masanilo.

  Kuna jukwaa la dini hapa JF lakini limebakiwa na members wasiozidi 10, kila mtu upupu wake wa mambo ya dini anauleta jikwaa la siasa au la hoja mchanganyiko, hivi ni kwanini haujiulizi mbona jukwaa la MMU, Mambo ya kikubwa, JF doctor na Technoloji yapo powa, sababu kuu kuna watu wameachiwa kuleta upuuzi wao kwenye jukwaa hili, naona solution ni kumkoma nyani Giladi.
   
 15. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,069
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  Unapoingiza suala la udini tena kwa lengo la ku-degrade upande fulani katika issue inayohitaji umoja wetu kama wanadamu inasikitisha sana. Unakaribisha malumbano yenye kuumiza hisia badala ya kuleta majibu yatakayoiokoa jamii ya wanadamu wanaoangamia kule somalia. hili linasikitisha sana....... I believe you have a better way to contribute on this.....
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Cool Blue wameahidi kupeleka kontena 10 za maji

  Surely Mengi could do better than this. I'm sure kontena moja la maji halizidi 10,000 usd

  afterall kusafirisha inapelekwa na UNHCR hivyo hana cost hapo Mengi

  Labda alimaania Kontena 100 za maji
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Matola this is my brand new ID... And i am one of those person ambae kama ningekua na former ID hapo kale ninge admit thou bila kutaja the ID in question... I never regret what i have done be it good or bad for i learn thru my experiences... making me what i am today... Ni forum nyiingi wanaongelea saana jinsi ilivokua before na ilivo sasa - na it seems before ilikua for the better (as most wasemavo) which siwezi shangaa... Nimesahau JF imeanza lini but i believe wakati inaanza access ya net was soo limited and it was only possible via the comp, ambayo kwa sasa nikua it has completely changed... Kama sikosei kuna CM ambazo ni Lak na nusu na una access ya net... in that sense ni kua Kenge wamekua weengi saaana. But hata hivo haimaanishi kua sababu Kenge ni wengi basi nawe uambatane nao... Pale ambapo wanachemka Koromea... But usiwe na too much emotion hata ambapo ni Black and White wataka kuweka shades of Grey... HATUJENGI... Napenda kama mimi sielewani na my fellow jf member (for instance you...) iwe sababu tumekosana kimsingi... lakini sio sababu eti Mie ni Muislam natetea Uislam na wewe sie na wa Uponda Uislam... For nimenotice kuna watu ambao sio hata waislam wanajifanya ni Ilsams sababu tu ya kuchafua....

  Back to the Topic at hand... Nimependa ulivoelezea katika post yako... ina justify what you are doing/do.... But it does not make it right na wala it does not make you better... it only makes you an opponent to all people drawing conclusions from a few wild ones... Na lile the so called Jukwaa la Dini... nafikiri wabadilishe jina... hamna dini pale bali kuna mijadala inayotumia maneno ya dini Kuwakilisha...
   
 18. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  mkwala huo
   
 19. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,069
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  Hatna mamlaka ya kuamuru ni kizazi kipi kibaki katika ulimwengu huu, japo hisia na maono yetu yanaweza yakatuelkeza huku na kule.........yote haya yasababishwayo na wasomalia ni changamoto ya kidunia, hatuna budi kujifunza kitu pale, maadam ni jamii ambayo ipo wa maepnzi ya Mungu basi sisi hatuna mamlaka ya kuiangamiza, tunachotakiwa kupambana nacho ni tabia na si nafsi.
  Pia kwa kukumbusha tu ni kuwa silaha iliyokubwa kuliko zote ya kuweza kuyashinda hayo uyaonayo kuwa ni matatizo yasababishwayo na wao ni UPENDO si Chuki, na kupenda si kauli na maelezo, hata simba mwenye njaa ukimsaidia atahakikisha unaondoka porini ukiwa salama.

  Waangalie akina mama, na watoto kwa jinsi wanavyopata taabu, halafu bado na wewe uwabebeshe mzigo wa lawama uliosababishwa na watu fulani wenye tamaa ya madaraka na uelewa mdogo wa mahitaji halisi juu ya nini Mungu anataka? Hapana, try to undo you statements.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  This is a realy meaning of Great Thinker,........
  Hivi ndio vichwa vinavyohitajika hapa. Kudos!
  Ungekuwa mke wangu nadhani ungenisaidia mengi.
   
Loading...