KAMPENI YA kitaifa ya OKOA MAISHA SOMALIA yazinduliwa na JK. Hali ikoje hapa nchini?

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
This is a realy meaning of Great Thinker,........
Hivi ndio vichwa vinavyohitajika hapa. Kudos!
Ungekuwa mke wangu nadhani ungenisaidia mengi.

Tuliko toka sikutegemea kua naweza fika wakati
ukanifanya nicheke na ni Blush mapema hivi...lol

THANK YOU - I am Humbled...

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
3,254
Points
2,000

Hossam

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
3,254 2,000
Ndugu wana JF:

Katika taarifa ya habari ya leo usiku kupitia TBC1 nimeona habari ya JK kuzindua kamati maalum ya kitaifa ya Okoa maisha somalia. Sina tatizo na kampeni hiyo, kwa misingi ya utu!

Hata hivyo nina shaka na dhamira yake hasa nikizingatia ukweli kwamba maeneo mbalimbali ya nchi yetu yanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula. Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma, Manyara, Mara, Mwanza nk inakabiliwa na njaa hata kusababisha mahindi kuzuiwa kuuzwa nje ya nchi.

Kinachokera zaidi ni pale ambapo serikali haijachukua hatua yeyote kuwafidia wakulima kutokana na hasara walizopata kutokana na ukame, achilia mbali mkakati mahsusi wa kukabiliana na njaa!

Tunaelekea wapi??
Kaka tunaelekea kuzimu, ujue hata mie nimesikia hilo na nimesikitika sana, kweli mpungufu wa akili sio punguani na vichaa wamo.. ujue kaka nchi hii ina vituko sana, mbali na kuwa mikoa hiyo ulotaja ina njaa kali, nimesikia Singida sasa wanakula pumba, hii sifa anayotaka huyu Mkwrre mi siielewi kabisa, hivi unaweza kweli kuacha kwako kunaungua moto na ukaenda kuzima kwa jirani ili akusifie? Nachelea kusema jamaa hana washauri wenye kulitakia mema taifa letu, lakini kaka kama kawaida yetu, ki kulalamika tu with no reaction... tutapayuka tu mkuu ikitokea siku moja mmoja alianzishe kwamba sasa 'is enough' basi ukombozi utakuwa umefika, kila la heri...

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
Charity begins at home. Huwezi ukamnunulia kimada dera la laki 8 wakati mkeo anashindia kaniki mpaka unaona aibu kutoka nae.

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,856
Points
1,250

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,856 1,250
Mkuu, Somalia ni janga la kitaifa, vyakula hivyo wala JK, hausiki amewaomba matajiri wachangie.
1. Bakharesa katoa tani 50 za ngano
2. Zakaria katoa tani 50 za mafuta
3. Mengi katoa kontena moja la maji ya kunywa
4. Mohamed katoa tani 50 za chakula
jumla kontena 20 zitapatikana na bado michango inaendelea
hapo kwenye red sijakuelewa mkuu

utaombaje kitu halafu useme huhusiki??
ametumwa? kama ndio basi anahusika
amejituma? kama ndio basi anahusika

sijawahi ona mtu anakuita kwake kupokea vitu vya jamaa yake halafu tunasema hahusiki.............. AISEEEEEEEEEEE

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,112
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,112 2,000
kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe leo umeongea pwenti
Mkuu unadhani hawa watu hawana akilitimamu? ni makusudi tu wayafanyao mara tu wanapolog in JF basi akili wanazifungia kabatini, i value to differ lakini si kwa Argument za kipuuzi kabisa.
Angalia mtu kama Marelia sugu anahost website mwenyewe no matter ni ya kijinga au vipi lakini amearchive kitu na kuna pesa za matangazo ya biashara anapata, lakini angalia akiingia hapa JF utabaki mdomo wazi.
Na kuna siku kule jukwaa la Tekinolijia kuna huyu member anaitwa Jey key alimwaga material ya uhakika kuhusu computer lakini akija jukwaa lingine akili anazifungia kabatini. JF bana,.........

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,255
Points
2,000

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,255 2,000
Trush me AshaDii, maisha ndani ya JF yalikuwa ni mazuri sana kabla ya 2010 kama wewe hii sio ID yako ya kwanza utakubaliana nami, lakini ghafla Watu tuliowategemea kutuunganisha kama Taifa wakageuza hapa kama kijiwe cha mihadhala na hili halijafanyika kwa bahati mbaya, wenye nia njema tulilikemea hili lakini haikusaidia kitu, ndipo watu kama mimi nilipochukuwa maamuzi ya kukunuwa hii software ambayo imeonesha ufanisi mkubwa kuliko ile aliyonayo Rev Masanilo.

Kuna jukwaa la dini hapa JF lakini limebakiwa na members wasiozidi 10, kila mtu upupu wake wa mambo ya dini anauleta jikwaa la siasa au la hoja mchanganyiko, hivi ni kwanini haujiulizi mbona jukwaa la MMU, Mambo ya kikubwa, JF doctor na Technoloji yapo powa, sababu kuu kuna watu wameachiwa kuleta upuuzi wao kwenye jukwaa hili, naona solution ni kumkoma nyani Giladi.
Jikite zaidi kwenye lagha yako ya Kichagga hii lugha ingine kwako ni janga la kitaifa kama HIV, Shule za kata at work..teh teh teh teh

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
Jikite zaidi kwenye lagha yako ya Kichagga hii lugha ingine kwako ni janga la kitaifa kama HIV, Shule za kata at work..teh teh teh teh

ha ha ha ha haaa, unajua mi nilifikiri ni msamiati mpya wa 'kiingeledha', si nikaanza ku-install

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,351
Points
2,000

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,351 2,000
By Matola
Trush me AshaDii, maisha ndani ya JF yalikuwa ni mazuri sana kabla ya 2010 kama wewe hii sio ID yako ya kwanza utakubaliana nami, lakini ghafla Watu tuliowategemea kutuunganisha kama Taifa wakageuza hapa kama kijiwe cha mihadhala na hili halijafanyika kwa bahati mbaya, wenye nia njema tulilikemea hili lakini haikusaidia kitu, ndipo watu kama mimi nilipochukuwa maamuzi ya kukunuwa hii software ambayo imeonesha ufanisi mkubwa kuliko ile aliyonayo Rev Masanilo.

Jikite zaidi kwenye lagha yako ya Kichagga hii lugha ingine kwako ni janga la kitaifa kama HIV, Shule za kata at work..teh teh teh teh
Mkuu kwanini usijikite zaidi katika kujadili hoja? huoni kuwa lile ni suala la typing error tu? Vipi wewe ulivyoandika hapo kwenye nyekundu.
Ukiacha hoja na kujikita katika typing error utakuwa unatulazimisha tuamini kuwa uwezo wako unaishia kwenye kuona herufi tu na si kuziunganisha ili upate maana...

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,772
Points
1,195

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,772 1,195
hapo kwenye red sijakuelewa mkuu

utaombaje kitu halafu useme huhusiki??
ametumwa? kama ndio basi anahusika
amejituma? kama ndio basi anahusika

sijawahi ona mtu anakuita kwake kupokea vitu vya jamaa yake halafu tunasema hahusiki.............. AISEEEEEEEEEEE
Nisamehe mkuu, JK, anahusika

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
5,029
Points
1,500

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
5,029 1,500
Mkuu hii ya Somalia ni janga linalo gusa dunia nzima, sasa hivi unaambiwa kila baada ya nusu saa mtoto anakufa na hawa wafanyabiashara wamefanya la maana sana. Na hii njaa inayosumbua mikoa fulani ya Tanzania ni wajibu wa serikali zaidi. Kwa sasa tuwasaidieni Wasomali hali ni mbaya.
Our country is in big mess, hatuhitaji kuanza kufanya juhudi kwa ajili ya nchi nyingine wakati sisi wenyewe tuko hoi. Nchi nyingine zinafanya hivyo kutokana na sababu za kisiasa, na kutafuta ujiko, si kweli kama wana interest na wel being ya wasomali. If that was the case, wasomali wangekuwa better than they are now. Wana ndugu zao wengi wanaowaunga mkono na wenye kufanana kiitikadi, kiimani na kitabia, na wana pesa nyingi zaidi kuliko Tanzania.

Kidogo kilichopo Tanzania kitumike kuwasaidia watanzania, na Rais anatakiwa atumie muda wake mwingi kushughulikia matatizo yetu ya ndani na sio kufanya kazi ambazo hazina uhusiano na kutatua matatizo yetu ya ndani. He is our president not Somalias.

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,112
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,112 2,000
ʞontɹact Sniper;2442106 said:
By Matola
Trush me AshaDii, maisha ndani ya JF yalikuwa ni mazuri sana kabla ya 2010 kama wewe hii sio ID yako ya kwanza utakubaliana nami, lakini ghafla Watu tuliowategemea kutuunganisha kama Taifa wakageuza hapa kama kijiwe cha mihadhala na hili halijafanyika kwa bahati mbaya, wenye nia njema tulilikemea hili lakini haikusaidia kitu, ndipo watu kama mimi nilipochukuwa maamuzi ya kukunuwa hii software ambayo imeonesha ufanisi mkubwa kuliko ile aliyonayo Rev Masanilo.
Mkuu kwanini usijikite zaidi katika kujadili hoja? huoni kuwa lile ni suala la typing error tu? Vipi wewe ulivyoandika hapo kwenye nyekundu.
Ukiacha hoja na kujikita katika typing error utakuwa unatulazimisha tuamini kuwa uwezo wako unaishia kwenye kuona herufi tu na si kuziunganisha ili upate maana...
Thanks mkuu & kudos, sasa naanza kuona mwanga angalau wale walioundiwa jukwaa hili ili pawe home of Great thinkers mnaanza kuonekana kwa kujipambanua. Usijali kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani.
167541_1390032369824_1802575517_750317_699599_n.jpg

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,497
Points
1,225

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,497 1,225
Kila swali linastahili jibu lake,..........

Mengi sio mtu wa kubezwa katika kutoa misaada,

Ninayo software ya kuwabaini wote wanaochangia topic humu wakiwa na hidden Agenda.

Kazi yangu ni moto kwa moto na upendo kwa upendo,

Hakuna namna nyingine ya kudeal na watu ambao ni radical.

Kumbuka hii software ninyotumia ni ghali mno, kwahiyo siwezi kuiacha isifanye kazi.

Have a nice day.

Nia yako ututangazie unatumia software ya ghali au

Forum statistics

Threads 1,366,448
Members 521,454
Posts 33,369,382
Top