DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 474
- 999
Habari za mchana wasaka tonge na ma-hustlers popote mlipo?. Nina imani mpo salama japo matatizo hatulingani.
Ni hivi; kwa takribani wiki kadhaa sasa hasa hii kanda ya Afrika Mashariki tumekuwa tukizungumzia habari za ukame!, ukame!.
Hali hii imepelekea hasa sisi wakazi wa Pwani na viunga vyake maji kutaka kututoa roho maana yamekuwa kama dhahabu uliyopotea ghafla mchangani toka kwa mmiliki wake(nilikuwa nachomekea tu).
Pointi kubwa hapa ni kwamba; Kumekuwa na habari zikisambaa sana mitandaoni kuhusu ukame wa Kenya kuua tembo na wanyama wengine hata pia wale wa kufugwa na binadamu.
Somalia, nako hali ni vilevile.
Turudi hapa nchini Tanzania;
Hizi habari za ukame zimekuwa zikitangazwa lakini km vile hazipewi kipaumbele sana zaidi ya kusikia wakazi wa Dar es Salam wakihangaikia maji tu kana kwamba kuna kitu kinafichwa kisijulikane na wengi!.
Je!, hali ikoje kwenye hizi mbuga za wanyama wetu?, vp huko Ruaha, Serengeti, Ngorongoro, Selous, Tarangire, mkomazi, kilimanjaro, Chato,n.k?.
Wanyama kule hawafi wapo salama?, maji yapo ya kutosha?, wana majani ya kutosha?, yaani kiufupi wapo salama tukiachana na habari za wajangili?
Tuwekane sawa bila kuja na kivuli cha kulinda heshima ya Ze Royo Tuuaae na ukakasi wa matumizi na matanuzi yake huko marekani yalivyokuwa. Na km wanyama watakuwa wanakufa, hatimiliki ya Ze Royo Tuuaae iuzwe wanyama wachimbiwe mabwawa kuliko kutegemea mabwawa ya asili.
Najua mpo humu, tuwekane sawa.
Nawasilisha.
View attachment 2417462