Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Mwenyekiti unavuka mipaka...hadi jina la mtoto uchague ww?hii kamati ya harusi au kamati ya uzazu?...
Dogo umeanza.....unasahau wadhfa wangu eeh
utakula ban ooh
Haya nimekusamehe...chagua kamati
 
Duh haka nahisi kanawafaa wanakamati aisee

ah ah ha a h hapana wanakamati kama excellent atakubali nitawapatia hako kausafiri hapo chini nitaomba tu mvumilie kama hamtakapenda.
stagecoach_manchester_bus.jpg

ila mkiwa wasumbufu nitawapa hii ya chini

1.1250010907.the-worst-bus-in-the-world.jpg
 
Lol haka kanawafaa wanywaji vinywaji vigumu....siwataji
 
...ebu nilale,bwana harusi mwenyewe hayupo!..wanarutubisha ujauzito...kamati yamajungu!...
 
bajaza?...nakwambia mwenyekiti nina mashaka na ww!
umeona eeh?! anajipendelea sana... mimi nataka kutangaza hali ya kutokuwa na iman juu ya Mwenyekiti, kwanza sijui ametumia vigezo gani kumchangua mtunza fedha!! hajaweka hadharani, japo kwa nepesi nyepesi nilizo nazo wote wnantoka mji mmoja.... sasa jumlisha na za kwako
!!
 
msinisahau kwenye kamati tafadhalini

hivi ile kamati ya kuandaa watoto wa maua nani amepewa? na kufundisha watoto kucheza show sijui nani amepewa hizo kamati nadhani unaweza changamkia mwenyewe mapema....... nitakufikiria na ka usafiri
 
umeona eeh?! anajipendelea sana... mimi nataka kutangaza hali ya kutokuwa na iman juu ya Mwenyekiti, kwanza sijui ametumia vigezo gani kumchangua mtunza fedha!! hajaweka hadharani, japo kwa nepesi nyepesi nilizo nazo wote wnantoka mji mmoja.... sasa jumlisha na za kwako
!!

SS,
mm nachangia kumuheshimu braza angu Jg,na shem Husny tunapatana sana,ila mwenyekiti na mtunza fedha wa kamati wako kimapenzi zaidi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom