Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

hivi ile kamati ya kuandaa watoto wa maua nani amepewa? na kufundisha watoto kucheza show sijui nani amepewa hizo kamati nadhani unaweza changamkia mwenyewe mapema....... nitakufikiria na ka usafiri

ulikua wap hukua mwenyekiti asee?unafaaje?...
 
SS,
mm nachangia kumuheshimu braza angu Jg,na shem Husny tunapatana sana,ila mwenyekiti na mtunza fedha wa kamati wako kimapenzi zaidi!

Da, unaonaje tukianza mchakato wa kamati ya mapinduzi ya kamati ya harusi?

Au kama vipi tuwe kama clouds, tuinunue shughuli yote halafu tukusanye michango yooote kwetu
 
Tuko kimapenzi kweli na kazi utaiona tu....
Hivi hujachukua kamati bado???
 
Da, unaonaje tukianza mchakato wa kamati ya mapinduzi ya kamati ya harusi?

Au kama vipi tuwe kama clouds, tuinunue shughuli yote halafu tukusanye michango yooote kwetu

wazo la kwanza la msingi SS!..tafta mwanaharakati mwingine tuwe watatu!
 
Bagah...
na wewe naona hauko mbali sana....unajunguajungua tu

aha kumbe kila mwana harakati umamwita anajungua tu, sasa ngoja nitafute kamati mbadala/kamati kivuki na niendeshe mchakato wa kukupindua kwa kutumia PM
 
wazo la kwanza la msingi SS!..tafta mwanaharakati mwingine tuwe watatu!
ok, hebu ngoja nijaribu yaani hapa ikitokea Bishanga, Nitonye na Bujibuji wakawa upande wangu mbona natoka kimasomaso!!
 
aha kumbe kila mwana harakati umamwita anajungua tu, sasa ngoja nitafute kamati mbadala/kamati kivuki na niendeshe mchakato wa kukupindua kwa kutumia PM

nipo sambamba na ww!..naandaa mashuka meupee!naomba udesign maneno ya kashfa yakuandika juu ya kamati iliyopo!
 
ok, hebu ngoja nijaribu yaani hapa ikitokea Bishanga, Nitonye na Bujibuji wakawa upande wangu mbona natoka kimasomaso!!

kuna wakati nimemuona Mtei one maeneo haya...huyu namkubali...hata ndugu mwenyekiti wa sasa anasalute hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom