Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Kamati ya mapambo usinisahau mh. Mwenyekiti...

SL ,
Classmate wangu Mh. Zitto Zuberi Kabwe, ame'confirm kutoa tickets mbili za Emirate ,
Dar/Minesota/Dar kwa Members watakao kwenda huko kwa shoping tafadhali iwekeni hiyo taarifa kwenye protocal .
 
Lol
Bora nipande bajaji ya Preta

Itabidi utumie nguvu ya ziada kumkonvisi ili aachie 15000 ya siku hiyo kwa ajili ya harusi hiyo, ila angalia asije achia hiyo 15000 halafu akakosa hata nauli ya kufika ukumbini, hivi ukumbi ni wapi kwanza?
 
SL ,
Classmate wangu Mh. Zitto Zuberi Kabwe, ame'confirm kutoa tickets mbili za Emirate ,
Dar/Minesota/Dar kwa Members watakao kwenda huko kwa shoping tafadhali iwekeni hiyo taarifa kwenye protocal .
Lol
SweetLady Record hiyo....
Asante sana Bwana Harusi kwa Taarifa
 
SL ,
Classmate wangu Mh. Zitto Zuberi Kabwe, ame'confirm kutoa tickets mbili za Emirate ,
Dar/Minesota/Dar kwa Members watakao kwenda huko kwa shoping tafadhali iwekeni hiyo taarifa kwenye protocal .

Zitto ulikuwa nae wapi? Tosa au Udsm? Maana mie pia nilipita hapo tupa mawe
 
Itabidi utumie nguvu ya ziada kumkonvisi ili aachie 15000 ya siku hiyo kwa ajili ya harusi hiyo, ila angalia asije achia hiyo 15000 halafu akakosa hata nauli ya kufika ukumbini, hivi ukumbi ni wapi kwanza?
Kitu kimendikwa
'Bwana Ndiye Mchungaji wangu'
 
Hiyo imeipita SS....inafaa sana
kwanza hawajawahi panda km hiyo
Lol

kumbe hawajahi kuipanda!! basi waambie waje kwa rehearsal siku 2 kabla ya shughuli yenyewe, na nitawapa na menu ya jinsi ya kuitumia hii kitu
 
Lol hata ukiwa karibu hakuna tatizo maana bibi harusi mwenyewe anakaribia kujifungua na hata hivyo tunahofia anaweza kujifungulia ukimbini
Lol

Mmh! Umeshafikiria vibaya, najua hali aliyonayo bi harus wetu ndo maana ningependa kukanae karibu ili niwe wa kwanza kumchagulia jina la mtoto mtarajiwa.
 
Atakuja kaenda kutafuta washirika wake wa kamati

Mwambie asidanganyike akaenda kwa Nitonye atapotea, Nitonye ataishia kumzungusha tuuu.... bora amtafute Babu Dark City anaweza kumsaidia. halafu kama akitaka kagari ka vijana wa tarumbeta nitamuazima haka hapa, sijui katafaa?

1279851117958_hz-myalibaba-web18_835.jpg
 
Duh haka nahisi kanawafaa wanakamati aisee
 
Mmh! Umeshafikiria vibaya, najua hali aliyonayo bi harus wetu ndo maana ningependa kukanae karibu ili niwe wa kwanza kumchagulia jina la mtoto mtarajiwa.
Teh mbona tayari lipo....
Ataitwa Baby JF.....
Teh kutuenzi wanajamii Forums
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom