Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Nikiwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harusi hii kubwa, napenda kutoa taarifa kwa wanajamii wote mtoe mapendekezo ya Wenyeviti wa kamati mbalimbali na wajumbe wa kamati hizo ili maandalizi ya harusi yaanze mara moja...
Kutokana na utaalamu alionao Amyner katika mambo ya fedha nimemteua awe Mtunza Hazina wa Kamati hii nzito.
Kamati nyingine naomba muwapendekeze watu kulingana na uzoefu wao!
Karibuni sana
Wenu
Erickb52
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi
Harusi ya Judgement na Husninyo
 
Kamati ya vinywaji hapa . Wageni watapata kila aina ya kinywaji walivyowai kusikia na kuviona , kuanzia gongo , kangara , komoni , mbege , mnazi , chimpumu ,togwa na vingine vingi.
 
Kamati ya vinywaji hapa . Wageni watapata kila aina ya kinywaji walivyowai kusikia na kuviona , kuanzia gongo , kangara , komoni , mbege , mnazi , chimpumu ,togwa na vingine vingi.
Aisee Bucho unataka kuwaua baadhi ya watu(Nitonye,Bagah na Mteo)
Lol una hatari aiseee
 
Nitatoa usafiri
Hapo una kazi maana kuna wengine wamezoea bodaboda tu sijui utawawezeshaje aisee maana magari kwao ni mgogoro kupanda....
Pia usisahau gari la maharusi ukizingatia mwili wa Bibi harusi(Bonge).Lol
 
wacha watu wale mema ya nchi . Ni shughuli kubwa hii mkuu.
Hahahahaaa ila huwezi amini watazimika ukumbini na hawatajua hata harusi iliendaje maana mtu kama Bagah anapenda vya bure hadi kero na akikutanaga na wenzake(watajwa pale juu) huwa balaa
 
Hahahahaaa ila huwezi amini watazimika ukumbini na hawatajua hata harusi iliendaje maana mtu kama Bagah anapenda vya bure hadi kero na akikutanaga na wenzake(watajwa pale juu) huwa balaa

kama anapenda mteremko mbona atakufa .Nitahakikisha Ntampa dumu la gongo lita 20 alimalize .
 
Hapo una kazi maana kuna wengine wamezoea bodaboda tu sijui utawawezeshaje aisee maana magari kwao ni mgogoro kupanda....
Pia usisahau gari la maharusi ukizingatia mwili wa Bibi harusi(Bonge).Lol

Usafiri upo wa kutosha we niamini tu.....ila sielewi ina mana amemwacha Uporoto na kwenda kwa Judgement?
 
me ntatoa nguruwe watatu km mchango wangu
Dah kwa hili ngoja tukipata mwenyekiti wa kamati ya Chakula na Nyama choma atatoa tamko juu ya hii kitu maana
hata mweka hazina wangu si mshirika hivyo najua hilo ni sheshe....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom