Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Kwani Lema ni mbunge wa taifa au wa Jimbo la Arusha mjini.
naomba mwongozo.
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
kama mwafaka utakuwa una harufu ya rushwa unategemea nini tukianza kufanya kazi na hawa mafisadi ni kugawana jasho la wana Arusha ni bora hata mtafute mwafaka miaka 3 halafu miaka 2 mkafanya kitu cha maana kuliko kuingia mwafaka wa kutongozana baada ya miezi 8 halafu mkakaa miaka 4.4 bila maendelea angalia CCM imekaa miaka 50 Arusha hatuna barabara za manispaa halafu ndiyo unataka hawa watu watuongoze tena baada ya kutuhonga, wewe utakuwa mwehu..Suala la msingi japo mnarukaruka. Je CC itajinasibu kwa lipi huko Arusha? Kwa malumbano wasitaka yaishe au kuwafukuza madiwani wake?
Je wananchi wa Arusha wanataka story za kufukuza madiwani au wanataka maendeleo ya jimbo lao lisilokuwa na barabara hata moja ya lami ya manispaa.
Wananchi wa arusha wao wenyewe wanajua wanachokitaka, na ndio hao wanaokusanyika katika shughuli za ufunguzi wa matawi na kisha kuhudhuria mikutano ya chadema.
Sasa sijui wewe unamsemea nani hapa wakati wenyewe wapo.
Ku$%^ma#^la*#mam$*aako(&@#$una%^&tom^(bwa!*mbw-a weeKama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.
Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.
Walimu wafanyakazi wasifika sana.
Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
tusubiri.tuone.Idumu CCM yangu.
Yaani hapa umeonyesha ulivyo kilaza....pitia bandiko upyaKwani Lema ni mbunge wa taifa au wa Jimbo la Arusha mjini.
naomba mwongozo.
]Kwa hisabau [/COLOR]nimemkumbuka Mwl Kilingo hapo.
Ungemalizia kule Masaburini.Ku$%^ma#^la*#mam$*aako(&@#$una%^&tom^(bwa!*mbw-a wee
Jamani niko hapa Mianzini Arusha nimekutana na msafara wa makamanda wa CHADEMA, wakiwa na gari la matangazo wanahamasisha watu hahudhulie kwenye mkutano.
Kiukweli magari ni mengi, pikipiki na hata daladala nazo zimefunga bendera za CHADEMA kwa mbele. Naona hapo kwenye mkutano patachimbika. Kwa haraka nimewaona Mh. Lema, Msigwa, Wenje na wengine sijawatambua vizuri.
Nasikia maoni ya watu huku mitaani wanalaani kitendo cha madiwani kukubali mwafaka feki. Kwa mimi navyoona huku Arusha hata uchaguzi ukirudiwa cdm inachukua kata zote. Wenye habari zaidi watujuze.
upupu mtupunaam, hiki ndicho chama mbadala
Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano
Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja
Hivi
Amani inapatika kwa watu kukamatwa na kubambikiwa kesi hovyo au madereva kukamatwa kisa kapakia abiria sehemu ambayo haitakiwi na huja muonyesha sehemu ya kupakia ambiria/kushusha ambiria mpaka wagome/waandamane ndiyo unawaonyesha sehemu ya kupakia/kushusha abiria....kama huna amani hata hayo maendeleo ni bure mfano watanzania tumekuwa watulivu kwa miaka 50 maendeleo yako wapi au mgao wa umeme kikwenu ni maendeleo, foreni kwenye vituo vya mafuta kwenu ni maendeleo, watu kushindia mihogo na maji tena machafu kwenu ni maendeleo.....Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano
Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja
Hivi
upupu mtupu
Dogo ni afadhali sasa hivi ulivyoamuwa kukaa pembeni na kupoteza muda mwingi kule jukwaa la MMU maana hapa jukwaa la siasa na huu upepo wa mabadiliko haupawezi, hapa hata Nape amekimbia ccm inapumulia mipira.upupu mtupu
kama mwafaka utakuwa una harufu ya rushwa unategemea nini tukianza kufanya kazi na hawa mafisadi ni kugawana jasho la wana Arusha ni bora hata mtafute mwafaka miaka 3 halafu miaka 2 mkafanya kitu cha maana kuliko kuingia mwafaka wa kutongozana baada ya miezi 8 halafu mkakaa miaka 4.4 bila maendelea angalia CCM imekaa miaka 50 Arusha hatuna barabara za manispaa halafu ndiyo unataka hawa watu watuongoze tena baada ya kutuhonga, wewe utakuwa mwehu..