Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Mkuu, Arusha hapendwi mtu kina pendwa chama, ilikuwa issue ya dakika chachetu lakini watu sijui wametokea wapi....
Uko sawa kabisa. Binafsi nimeshuhudia msafara maeneo ya mianzini... Inapendeza kuona watu wameamka kiasi hicho.. In short watu wa arusha hawadanganyiki tenaaaa!

Uko sawa kabisa. Binafsi nimeshuhudia msafara maeneo ya mianzini... Inapendeza kuona watu wameamka kiasi hicho.. In short watu wa arusha hawadanganyiki tenaaaa!
nafiri hata huko kuna matawi yanaenda kufunguliwa ingawa sijui hasa ni sehemu gani...ila walipotoka Sokoni walielekea kwenye gome kuu Disemba...

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi

...acha moto uwake,kama ni mbwai naie-mbwai,ukimwaga mboga tunamwaga sembe!...ARUSHA kesho apatoshi ni mchakamchaka mpaka kieleweke,hao waliokuwa madiwani wanafki Mungu wajaalie afya njema wajionee mwisho wa usalti wao...tukimalizana na hao madiwani wa'kichina,SHIBUDA tia maji nukta!..."CHAAAAADEMAAAAAA VEMA VEMA"...PIPOOOOOS PAWA...haina kwele kwa-ki'english au ata kwa-kwa'kiswazy wetwanga kwokwote!

Kaza buti cdm ili tuikomboe nchi,na udiwani viti vyote vitarudi cdm.

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
Hahahahaha! Utakufa nacho kijiba cha roho!..

IKULU INGEKUWA AR. Jk angeshapa mwendo. Huko Dar sijui wakoje. Utadhani wamelegezwa na magamba lege lege.loh. Amkeni banaaa,?

Chama cha demokrasia na Maendeleo kimefunika Arusha ni kwenye ufunguzi wa matawi 16nimebahatika kuhudhulia ufunguzi wa tawi moja la Soko kuu hakika CHADEMA hapendwi mtu kinapendwa chama.sipati picha kesho

Nilichelewa kufika hivyo sikuweza kuwakalibia makamanda..ila alikuwepo meya wa musoma, Peter msigwa, Lema...

This is super, kumbe kwa CDM hakuna MTU, KABILA wala PESA, huu ni mfano wa kuigwa. Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
i
Habari yako mkuu, jana uliomba katiba ya CHADEMA nikakupatia vipi umeipitia, je umeona makosa ya CC ya Chadema?...
hapo juu kwenye rangi nyekundu hebu nikumbushe ziko wilaya gani na nani diwani, mbunge wa sehemu husika, kwnye rangi ya blue siijui hii barabara...
unashangaa kwanini CC ya CHADEMA imekuja hapa Arusha madiwani watano siyo mchezo kama ingekuwa CCM kamwe wasinge wafukuza sasa basi watu wa Arusha wengi hawajui kilicho tokea na Lema peke yake pengine wengine wasinge mwelewa kwani walio fukuzwa wana mtuhumu na hata leo Asubuhi nimepita sehemu wanaangea na baadhi ya wana Arusha kuwa tazizo ni Lema hivyo Kamati kuu ni busara nani kuonyesha kuwa heshimu wapiga kura wao wa Arusha kuja kuwajulisha kilicho tokea mpaka kufikia kuwatimu madiwa hao... ni maoni yangu tu

Nimepita hapa kituo cha Tax Baracuda karibu na manispaa Arusha namwona Rasta yaani aliyekuwa diwani wa Kaloleni kwa tikiti ya CDM akiwa amevalia suti nyeusi then akaingia kwenye gari yake Escudo huku akivuta sigara kwa hisia na haongei na mtu.

Na pale headquarters ya wakereketwa Philips nimekuta watu wakiwa wameshika bendera za CDM na kuna uwezekano wa maandamano ya CDM kwa upande mmoja na waliofukuzwa wanajaribu ku fight back kwa upande mwingine. Tusubiri jioni sijajua kitakachotokea ila kuna kila dalili hata wananchi wamefurahi hao jamaa kufukuzwa.

unapiga ngoma wewe na unakatika wewe!

Back
Top Bottom