Achana nae mtoto wa watu huyo Oman.Kwani umekula wewe?
Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.
Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.
Walimu wafanyakazi wasifika sana.
Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
Pole sana mkuu, kama unataka kujua tutajinasibu nini njoo kwenye mkutano kesho...au kama uko nje ya A-Town pitia JF utapata...matusi ya nini Bro.
Jibu hoja sio kubwabwaja. wananchi wa Arusha wanataka maendeleo sio malumbano. Hivi mikutano yenu mtajinasibu kwa lipi?

Je unakumbuka ahadi za mbunge wenu wakati anaomba ridhaa za wananchi. Pitia kanda ile ya TVT kipindi cha mchakato majimboni. Alipanga mambo ake katika siku 100, miezi mitatu na mwaka mmoja na kuendelea. Sasa nafikiri sasa ni wakti muafaka kujustify ahadi zake ndani ya miezi tisaa.

Je Amewafanyia nini wakaazi wa Arusha town ndani ya uongozi wake. Je ahadi zake ametimiza. Hizo ndio itakuwa silaha zao kuu kuwanadi wagombea udiwani wao kama itaamuliwa uchaguzi urejewe.

Miaka 50 tangu nchi ipate uhuru hamjaweza kuzitia lami halafu leo ndo unaanza kulialia hapa?
We subiri tu, baada ya muda mfupi utapita kwenye lami. Huu ni mwezi wa nane, wewe unasema mgogoro una takriban mwaka mzima wakati ni miezi michache si zaidi ya minane, nashindwa kushangaa huko ilboru ulifikaje ikiwa hesabu ndogo hivi huifahamu!!
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
Kwani Lema ni mbunge wa taifa au wa Jimbo la Arusha mjini.

Usimweke Lema kwenye level ya madiwani, Lema anafanya ,mambo mengi na ya level ya kitaifa zaidi. Hata hicho alichokifanya mpaka sasa hakuna mbunge hata mmoja wa magamba amefikia record yake ya hii miezi tisa.
Tupe Mmagamba ambaye amefanya kitu ambacho kila mtanzania aka appreciate kama alivyoibomoa wizara ya mambo ya ndani.
Kasome hotuba ya Lema uone jamaa anavyofanya kazi kwa kujituma!
Tukiwa na akaina Lema kumi nchi hii kila mtu atabadilika na Kila mwananchi atapata haki yake!
Nchi hii hatunashida ya kufanya vitu vya maendeleo maana resource zote tunazo, issue ni uongozi bora ndo umekosekana. Tukiliweka sawa hila la uongozi bora maendeleo ni kitu cha muda mfupi tu.
Kama wewe Barubaru ukioa tu unanenepa kwa muda wa mwezi mmoja kisa mkeo anakupikia vizurui tofauti na ulivyouwa unakula baa vivyo hivyo wanaArusha mambo ya maendeleo yatakuja kwa ulaini tu kama Tukiondoa vipingamizi vyote vya magamba kama ufisadi na rusha pamoja na uminyaji wa haki za watu.
Hakuna utamu wa maendeleo tukiwa kwenye hali hii ya sasa maana the country is in coma kwa ufisadi na rushwa. Maendeleo unayoyataaka tukiwa katika hali ya sasa ni kuwafaidisha mafisadi na wala ruswa nchi hii.
Tuna hitaji haki zetu kwanza na tunahitaji a completely change of direction. We need a vector country and not a scalar country like is now!
Tafakari pale ulipo sio salama sana kufumba na kufumbua utabaki uchi!
Go go go go go Lema!
Hahahahahah Jipe Moyo
Je unakumbuka ahadi za mbunge wenu wakati anaomba ridhaa za wananchi. Pitia kanda ile ya TVT kipindi cha mchakato majimboni.
Alipanga mambo ake katika siku 100, miezi mitatu na mwaka mmoja na kuendelea. Sasa nafikiri sasa ni wakti muafaka kujustify ahadi zake ndani ya miezi tisaa.
Je Amewafanyia nini wakaazi wa Arusha town ndani ya uongozi wake. Je ahadi zake ametimiza. Hizo ndio itakuwa silaha zao kuu kuwanadi wagombea udiwani wao kama itaamuliwa uchaguzi urejewe.
Suala la msingi japo mnarukaruka. Je CC itajinasibu kwa lipi huko Arusha? Kwa malumbano wasitaka yaishe au kuwafukuza madiwani wake?
Je wananchi wa Arusha wanataka story za kufukuza madiwani au wanataka maendeleo ya jimbo lao lisilokuwa na barabara hata moja ya lami ya manispaa.

Wewe Barubaru, kwa mara ya pili sasa nakuuliza kwa nini unauliza CHADEMA wamefanya nini kwa moja mmoja na sio CCM waliokaa miaka 50? What is your problem?