Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Samuel Sitta Mwakyembe na Nape walikwenda Mbeya kuimalisha Makalio?
Aisee wanatia hasira hawa wehu! Hivi ni kweli hawaelewi au? Mi nahisi nkiendelea kuchangia ntakula ban. Wacha nkae pembeni, sina ID nyingine!

mkuu ..... bravo sana

nimefurahia na kupata faraja knatinka bandiko lanko hili ..... hiii inaashiria umaknini kwenye dhana nzima ya uongozi na dhamana ya uwakilishi wa wananchi

safi sana mkuu

N

Nafikir magamba wangeomba semina elekez kutoka CDM namna ya kufanya maamuz magumu badala ya kuvuana magamba yaliyogandamana na nyama ambayo hata mtoto mdogo anajua Gambaz wamechemka.
Big up CDM.

Lema amefanya vitu vingi kwa miezi 8 ambapo hakuna mbunge wowote wa CCM aliyefanya kwa kipindi hicho,anasomesha watoto 400 katika shule za sekondary kwa pesa alizozitafuta kwa wahisani,ametoa ambulance 2 kwa hospital ya mkoa wa Arusha, je huyu meya wa Arusha wa CCM yeye kafanya nini na madiwani wake wa CCM?

WANA arusha wanaelimu ndiyo mana hawadaganyiki nendeni mkawadaganye wasio kuwa na elimu,ila si muda mrefu na wao wataelimika,sijui mtawadaganya kina nani tena,nchi ipo gizani kila siku,mafuta nayo shida,ajira hakuna,kweli hii ndiyo miaka 50 ya uhuru wa CCM.

I like your intelligence. Keep it up

Kashaga,
Ulipotea baada ya kugundua kwamba tumeamua kukudharau tu kutokana na post zako za hovyo na thread za uongo kama ile ulioandika kuhusu karatu. Hata hivyo nasikitika umerudi vilevile. Yaani hujabadilika!

Kuhusu swala la madiwani wetu, wao ndio wametulea dharau baada ya kuwachagua. Wametusaliti wapigakura na kimsingi tungekihama chama kama kingeamua tofauti. Wamekiuta katiba ya chama, wakaambiwa waombe radhi wakadharau.

Wakati bado tunauguza na kuwasaidia ndugu zetu waliopata ulemavu kwa kupigwa na serikali ya ccm, wao wameingia muafaka wa kugawana vyeo bila kujali maumivu na mzigo tuliobebeshwa na polisi.

Huu ni usaliti mkubwa ambao hatuwezi kuendelea kuwa nao. Hatuwataki tena na tutachagua wengine wenye kujali maslahi yetu kwanza!

Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.

Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano

Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja

Hivi

We upo oman mawazo ya wana arusha umeyajulia wapi kama si umbea unakusumbua!

Jamani hebu nisaidieni hii thread imefikia page 14 lakini toka jana kila ukiangalia users ni wawili au watatu inakuwaje au ni hali ya kawaida.

There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)

najua hakuna walichofanya kwa miezi yote toka wawekwe madarakani zaidi ya kuendeleza malumbano na uhasama baina ya waliowachagua.

Suala langu lingine je watajinasibu kwa lipi hapo Mjini Arusha?
Je wananchi wa Arusha town wanataka malumbano au maendeleo?
Je wamewafanyia nini mpaka sasa katika zile ahadi zao walizowaahidi

Wamefanya maamuzi magumu, hakuna cha siku 90 au 120. Sasa turidi kwenye swali langu la msingi pamoja na kwamba unajaribu kukwepa - Miaka 50 vipi?

CHADEMA karibuni sana A-Town hapo kesho!!!!!!!!!

Chonde njooni upesi, tutakashieni Jijiletu la Arusha liondokane kabisa na tatizo la WACHUMIA TUMBO na bdala yake tungependa kuona dira pekee inabakia kuwa ni ile ya KUWEKA MBEELE MASLAHI YA UMMA MBELE kama tai!!!

Hivyo diwani yeyote asiyeweza hilo ni sharti akaachie ngazi na kusahauliwa kabisa na historia.

Teeeeeh.....teeeeeh kwa jinsi barubaru alivyo sababisha thread kujaa haraka humu,wote mliokuwa mnajibizana nae mnaonekana mna madhaifu makubwa nayo ni ''ushabiki uliopitiliza''.Laiti kama mngeruhusu vichwa vyenu kufikiri hata kwa sekunde asingewafikisha hapa.

Natoa pongezi nyingi sana kwa maamuzi hayo mazito, mkutano wa hadhara ni muhimu hata kama polisi watazuia lazima ufanyike, hatuwataki MADIWANI wapiga DEAL. Waende CCM wakapatiwe kazi, mchezo wote uliochezwa na Pinda na JK hapo umefikia kikomo. Diwani yeyote wa CDM atakayebainika kukisaliti chama ni OUT. Hatuogopi kwenda kwenye uchaguzi mdogo, hata kama ni Mbunge kapiga DEAL ni OUT.

Safi sana CDM, tunasubiria ya Nape na magamba yake

Teeeeeh.....teeeeeh kwa jinsi barubaru alivyo sababisha thread kujaa haraka humu,wote mliokuwa mnajibizana nae mnaonekana mna madhaifu makubwa nayo ni ''ushabiki uliopitiliza''.Laiti kama mngeruhusu vichwa vyenu kufikiri hata kwa sekunde asingewafikisha hapa.

baada ya masuala machache tu ambayo ni very basic kwa muomba kura yoyote au kiongozi yeyote aliepata nafasi ya kuongoza jamii nafikiri angetoa majibu kwa haraka na usahihi kabisa. Nimeona hakika wanachama wengi kama si wote wa Chadema ni watu wa jazba wasio fahamu sera za uongozi na watu wa kushabikia bila kujua lakini kubwa kuliko yote ni mbumbumbu wa sharia na taratibu za sheria.

Hii nafikiri inasababishwa na ushabiki uliokithiri au kupenda bila kujua. Kuna kazi kubwa sana kwa jamii hii kuuelimisha.

Nachelea kusema kuwa itawachukua muda kwa jamii hii kuweza kutoa au kuongoza jamii. Naweza kusema kama uchaguzi wa madiwani wa kata hizo tano utarejewa nina imani kubwa CCM watachukua kata zote.

Sioni nkwanini kuwe na muafaka

Niko pub generator languruma mafuta yameisha? Vijana wanaimba chorus hapo juu. Kumekucha mkutano kesho. Nimekubali sasa Ar. Moto kwa gamba . Its a matter of time. Wazee nao wamejiunga kwenye mistari.Mungu mkubwa.

Nahisi hii thread ilitakiwa iwe kwenye jukwaa la siasa. MODs tunaomba msaada kwenye hili.

Kweli niko gizani natumia nokia kangu. Mods help please

Niko pub generator languruma mafuta yameisha? Vijana wanaimba chorus hapo juu. Kumekucha mkutano kesho. Nimekubali sasa Ar. Moto kwa gamba . Its a matter of time. Wazee nao wamejiunga kwenye mistari.Mungu mkubwa.

Hiyo ni cha mtoto! Subiri mambo hapo Tomorrow ! Bila ya kukosa!

[h=1]Hatujivui Gamba, Tunaua Nyoka: CHADEMA Yawasha Moto Arusha.[/h] Misafara mirefu iliyojaa mbwembwe za kila aina ya magari, pikipiki, baiskeli na mikokoteni iliyofungwa bendera za Chadema, ilipopita kwenye kata nne ambazo zilikuwa zikiongozwa na madiwani kiliowatimua uanachama hivi karibuni.

Wengi wananchi wa Arusha waliunga mkono chama cha CHADEMA , nawanasema ni heri ya kumua nyoka kuliko kusubiri hajivue gamba.
Madiwani hao waliofukuzwa baada ya mvutano wa muda mrefu na uongozi wa makao makuu ni Estomih Mallah (Kimandolu), John Bayo (Elerai), Charles Mpanda (Kaloleni), Reuben Ngowi (Themi) na Rehema Mohamed (Viti Maalumu).

Mgogoro huo ulianza Juni 20, mwaka huu wakati madiwani wa Chadema Manispaa ya Arusha walipoingia muafaka wa kumtambua, Diwani wa Kata ya Olorien, Gaudance Lyimo kuwa Meya.

Awali, madiwani hao pamoja na chama chao walipinga kuchaguliwa kwake kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za uchaguzi za halmashauri. Kupinga huko kulifuatiwa na maandamano yaliyofanywa kwa nguvu na chama hicho licha ya kupigwa marufuku na polisi na kusababisha vifo vya watu watatu Januari 5, mwaka huu.

Kashaga,
Ulipotea baada ya kugundua kwamba tumeamua kukudharau tu kutokana na post zako za hovyo na thread za uongo kama ile ulioandika kuhusu karatu. Hata hivyo nasikitika umerudi vilevile. Yaani hujabadilika!
Kuhusu swala la madiwani wetu, wao ndio wametulea dharau baada ya kuwachagua. Wametusaliti wapigakura na kimsingi tungekihama chama kama kingeamua tofauti. Wamekiuta katiba ya chama, wakaambiwa waombe radhi wakadharau. Wakati bado tunauguza na kuwasaidia ndugu zetu waliopata ulemavu kwa kupigwa na serikali ya ccm, wao wameingia muafaka wa kugawana vyeo bila kujali maumivu na mzigo tuliobebeshwa na polisi. Huu ni usaliti mkubwa ambao hatuwezi kuendelea kuwa nao. Hatuwataki tena na tutachagua wengine wenye kujali maslahi yetu kwanza!
hujaacha umbeya FILIPO

Back
Top Bottom