Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

@ Dohar, Qatar aka barubaru, Asalaam Aleykum!!
Pole na swaumu kwanza!
Kwa Ilborian kuwaza namna hiyo,ninajipa moyo kwamba umeamua tu kutania,haupo serious. Au siyo?
Hizo ni typical kauli za watu wa level ya Nape, Tambwe et al. Watu makini wa Arusha wanatambua kuwa mahitaji yao ni zaidi ya "kutiwa lami" barabara za umenyeni ekenywa na enaboishu na kwa lonin'go......na wanatambua kuwa kamwe ukombozi wao hautakuja kwa muujiza ukipitia kwa serikali ya CCM. Kinachoendelea sasa ni work in progress ya kuung'oa huu utawala dhalimu (Si Arusha pekee) na kuweka uongozi makini utakaowaelekeza kwenye Arusha na Tanzania waitakayo. Hayo ya vibarabara vya umenyeni "kutiwa" lami ni secondary sana! Huu sio umri wa kudanganyiana peremende mkuu!

Kwa Loning'o na kwa Kishuu tulikuwa tunapata mahitaji yetu pale kama mikate na msosi mbadala kama Skuli kulipikwa Chui.

Hakika kuna mengi ambayo najua wazi wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji kama waTz wengine. Lakini nafikiri kwa muda huu suala la barabara ni muhimu hususan kwa wakaazi wa sehemu hizo.

Siku zote hisabu huanzia moja. sasa tujiulize kwa kipindi kifupi takriban mwaka mmoja walichowekwa madarakani Chadema hususan hapo Mjini Arusha wamewafanyia nini wapiga kura wao ukilinganisha na utawala uliopita? Hili ni suala la msingi sana katika kufikia maamuzi na kuwateka wananchi ili wakupe kura zaidi

Kama kila mtu atajiuliza miaka 50 mtaendelea kweli? Kwani nia ya kuutoa uongozi uliopita na kuwapa Chadema walitegemea mabadiliko. Sasa ndio nikauliza mmewatendea nini wapiga kura wenu toka mlipochagulia takriban mwaka mmoja sasa? au mtajinasibu kwa hayo malumbano na CCM na kufukuzana.
Mwaka 1, unataka mabadiliko gani?... Afu wewe una maswali na majibu yako hapo hapo. Haya tukusaidie nini?

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi

Kwa nini usiwaulize chama cha magamba wenye dhamana ya kukusanya kodi ya wanachi unawauliza Chadema habari za maendeleo ya barabara " r u ok"

Kwa Loning'o na kwa Kishuu tulikuwa tunapata mahitaji yetu pale kama mikate na msosi mbadala kama Skuli kulipikwa Chui.

Hakika kuna mengi ambayo najua wazi wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji kama waTz wengine. Lakini nafikiri kwa muda huu suala la barabara ni muhimu hususan kwa wakaazi wa sehemu hizo.

Siku zote hisabu huanzia moja. sasa tujiulize kwa kipindi kifupi takriban mwaka mmoja walichowekwa madarakani Chadema hususan hapo Mjini Arusha wamewafanyia nini wapiga kura wao ukilinganisha na utawala uliopita? Hili ni suala la msingi sana katika kufikia maamuzi na kuwateka wananchi ili wakupe kura zaidi
Mbunge aliyekuwepo kabla ya lema alifa nini?? Uliwahi kumwuliza??

Kwa wale ambao tayari wanazo taarifa za mkutano wa kesho wawajuze na wengine,pamoja sana katika kulijenga taifa.Gari nyingi leo zimefungwa bendera za Chadema one love

Aisee wewe! Kwa nini unatulazimisha kukutengulia swaumu yako? Unaulza maswali ya kijinga hivyo ndo nini jamani? Mbona miaka 50 ya 1. Tumejaribu 2. Tumeweza na 3. Tunasonga mbele huisemei? Miaka 50 nchi iko kwenye majaribio wewe haikugusi kabsa! Ila umeguswa na miezi 8 ya CDM! Is it??

Hio miezi minane ni muhimu sana kuonyesha changes na kuomba ridhaa ya kupewa zaidi na zaidi kwani hicho ni kipimo.

Binafsi naona agenda kuu ya Chadema itakuwa kuwavua uongozi hao madiwani watano na sio kujinasibu kwa kipindi kifupi walichopewa kuwa waliweza kuleta maendeleo yaliokusudiwa zaidi ya kuleta malumbano.

Siku zote mtu makini huwa anasoma alama za nyakati. Mimi naamini wazi kuwa wananchi wa Tz hususan Arusha hawapo tayari hata kidogo kusikia malubano wao kiu yao ni maendeleo na ustawi wa jamii zao.

Sasa chadema mtajinasibu kwa lipi mlilofanya kwa miezi minane ya uongozi wenu kwa wakazi wa Arusha?

Kwa nini usiwaulize chama cha magamba wenye dhamana ya kukusanya kodi ya wanachi unawauliza Chadema habari za maendeleo ya barabara " r u ok"
No! He is not ok. Hajakula mchana!

Mbunge aliyekuwepo kabla ya lema alifa nini?? Uliwahi kumwuliza??

Huyo ni shemeji letu na ndio maana wakaazi wa Arusha waliamua kumbadili mara baada ya kuona hajakidhi matakwa na kuleta maendeleo husika kwao. Vipi na Chadema wanajinasibu kwa lipi kwa hii miezi minane waliyopewa uongozi.

Hio miezi minane ni muhimu sana kuonyesha changes na kuomba ridhaa ya kupewa zaidi na zaidi kwani hicho ni kipimo.
Binafsi naona agenda kuu ya Chadema itakuwa kuwavua uongozi hao madiwani watano na sio kujinasibu kwa kipindi kifupi walichopewa kuwa waliweza kuleta maendeleo yaliokusudiwa zaidi ya kuleta malumbano.

Siku zote mtu makini huwa anasoma alama za nyakati. Mimi naamini wazi kuwa wananchi wa Tz hususan Arusha hawapo tayari hata kidogo kusikia malubano wao kiu yao ni maendeleo na ustawi wa jamii zao.

Sasa chadema mtajinasibu kwa lipi mlilofanya kwa miezi minane ya uongozi wenu kwa wakazi wa Arusha?
Wewe ni t...a...a...h...i...r...a. Katafute ma..t..a..a..h..i..r..a wenzio ukawaongeleshe huu u..t..a..a..h..i..r..a wako!...

Kwa Loning'o na kwa Kishuu tulikuwa tunapata mahitaji yetu pale kama mikate na msosi mbadala kama Skuli kulipikwa Chui.

Hakika kuna mengi ambayo najua wazi wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji kama waTz wengine. Lakini nafikiri kwa muda huu suala la barabara ni muhimu hususan kwa wakaazi wa sehemu hizo.

Siku zote hisabu huanzia moja. sasa tujiulize kwa kipindi kifupi takriban mwaka mmoja walichowekwa madarakani Chadema hususan hapo Mjini Arusha wamewafanyia nini wapiga kura wao ukilinganisha na utawala uliopita? Hili ni suala la msingi sana katika kufikia maamuzi na kuwateka wananchi ili wakupe kura zaidi

Ulishawahi kumuhoji kwa kutaka kujua ni yapi aliyoyafanya mbunge Wa ccm aliepita!?,vipi miaka 50 uchumi Wa nchi yako Tanzania unakua au unashuka!?Je yapo mazuri yaliofanywa na viongozi wa ccm hapa Tz!!?Kama yapo je yanalingana na raslimali zilizopo hapa Tanzania!?

CHADEMA INELICHUKUA JIMBO KTK HALI GANI?,majibu baki nayo na usiulinganishe muda Wa miezi 6 Wa utawala Wa Chadema ktk jimbo hili la Arusha dhidi ya miaka 50 ya ccm ktk ngazi ya kitaifa mpaka chini.

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi

Mkuu Nakumbuka last tym niko Ilboru ilikuwa Jimbo la Arumeri Magharibi ambako mbunge wake by that tym alikuwa Molel ila kwa sasa ni bwana Ole Medeye

Hivi hiyo Alhamisi ni siku ya kazi au ni mapumziko? Utaandaaje mkutano siku ya kazi? Mi naona hawa CDM wanaleta vurugu tu hapa nchini na kuwanyima wananchi fursa ya kufanya kazi na kujikwamua kiuchumi!
Kazi zenyewe ziko wapi.

Huyo ni shemeji letu na ndio maana wakaazi wa Arusha waliamua kumbadili mara baada ya kuona hajakidhi matakwa na kuleta maendeleo husika kwao. Vipi na Chadema wanajinasibu kwa lipi kwa hii miezi minane waliyopewa uongozi.

CCM imefanya nini katika miaka 50 ambayo ni sawa na MIEZI MIA SITA (600 Months). Mkuu kweli umesoma Umenyeni wewe? Nina shaka mkuu

Ulishawahi kumuhoji kwa kutaka kujua ni yapi aliyoyafanya mbunge Wa ccm aliepita!?,vipi miaka 50 uchumi Wa nchi yako Tanzania unakua au unashuka!?Je yapo mazuri yaliofanywa na viongozi wa ccm hapa Tz!!?Kama yapo je yanalingana na raslimali zilizopo hapa Tanzania!?CHADEMA INELICHUKUA JIMBO KTK HALI GANI?,majibu baki nayo na usiulinganishe muda Wa miezi 6 Wa utawala Wa Chadema ktk jimbo hili la Arusha dhidi ya miaka 50 ya ccm ktk ngazi ya kitaifa mpaka chini.

Je unakumbuka ahadi za mbunge wenu wakati anaomba ridhaa za wananchi. Pitia kanda ile ya TVT kipindi cha mchakato majimboni. Alipanga mambo ake katika siku 100, miezi mitatu na mwaka mmoja na kuendelea. Sasa nafikiri sasa ni wakti muafaka kujustify ahadi zake ndani ya miezi tisaa.

Je Amewafanyia nini wakaazi wa Arusha town ndani ya uongozi wake. Je ahadi zake ametimiza. Hizo ndio itakuwa silaha zao kuu kuwanadi wagombea udiwani wao kama itaamuliwa uchaguzi urejewe.

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana

Popote ninapokwenda inasifika sana,

Kwa usafi na majengo inasifika sana.

Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi

bway bway bway bway cheko la kuondoa mafisadi hilo,teh teh teh cheko la kunyanganya waliogoma kuuza mafuta shame on u barubaru.ilboru aiwez kuwa shule yako nyambf zako.mrema kawepo tangu nipo prmary school till now nipo chuo akufanya la maana mr lema kakaa miezi sita na mkutano wa bunge la bajet aujaisha unataka miujiza kama ya babu wa ccm wa kikombe loliondo ile lami maguful amepeleka kule mwambie aje kuiweka njia ya ilboru...

matusi ya nini Bro.
Jibu hoja sio kubwabwaja. wananchi wa Arusha wanataka maendeleo sio malumbano. Hivi mikutano yenu mtajinasibu kwa lipi?
Unajuwa mimi huwa nashindwa kukuelewa wewe kiumbe, hivi mambo ya Watanganyika wewe ambae si Mtanganyika yanakuhusu vipi? au hizo tabia za watu wa Oman zimeshakuharibu akili?
Ok, mkuu labda unataka kutupa uzoefu wako uko nyuma ulivyoutumia huko Oman.

Back
Top Bottom