Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kwani Lema ni mbunge wa taifa au wa Jimbo la Arusha mjini.

naomba mwongozo.

Nenda kajielimishe hata kwa kupitia njia ya MEMKWA majukumu ama wajibu wa mbunge. Uzuri mmoja wabunge wenu wa magamba wanaishia kwenye level ya jimbo hawana uelewa na uwezo wa kitaifa, contrary na wabunge wa chadema ambao wako level ya kitaifa.
 
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.

Wamewaamusha kiakili/kifikra, hiyo ni hatua muhimu kwa binadamu kuelekea katika mafanikio.
 
Suala la msingi japo mnarukaruka. Je CC itajinasibu kwa lipi huko Arusha? Kwa malumbano wasitaka yaishe au kuwafukuza madiwani wake?

Je wananchi wa Arusha wanataka story za kufukuza madiwani au wanataka maendeleo ya jimbo lao lisilokuwa na barabara hata moja ya lami ya manispaa.
kama mwafaka utakuwa una harufu ya rushwa unategemea nini tukianza kufanya kazi na hawa mafisadi ni kugawana jasho la wana Arusha ni bora hata mtafute mwafaka miaka 3 halafu miaka 2 mkafanya kitu cha maana kuliko kuingia mwafaka wa kutongozana baada ya miezi 8 halafu mkakaa miaka 4.4 bila maendelea angalia CCM imekaa miaka 50 Arusha hatuna barabara za manispaa halafu ndiyo unataka hawa watu watuongoze tena baada ya kutuhonga, wewe utakuwa mwehu..
 
Wananchi wa arusha wao wenyewe wanajua wanachokitaka, na ndio hao wanaokusanyika katika shughuli za ufunguzi wa matawi na kisha kuhudhuria mikutano ya chadema.

Sasa sijui wewe unamsemea nani hapa wakati wenyewe wapo.

Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano

Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja




Hivi
 
Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
Ku$%^ma#^la*#mam$*aako(&@#$una%^&tom^(bwa!*mbw-a wee
 
kwa muda mrefu sasa nilikuwa sijajitokeza katika jukwaa kutokana na jukwaa hili kutawaliwa na siasa uchwara, matusi na unafiki mwingi sana, ila hili swala la chadema kutimua madiwani wao limenigusa na limenifanya nijitokeze baada ya kuwa away kwa miezi mingi sasa.

Kimsingi chadema wameonyesha dharau kubwa sana kwa wapiga kura waarusha ambao bila kujali mvua na jua kali siku ya uchaguzi walijitokeza siku ya uchaguzi kuchagua madiwani ambao eti leo wanaonekana ni wasaliti,naamini busara haikutumika katika kuwavua uanachama wale madiwani kwani naaamini hata kama ni adhabu kuna adhabu nyingi sana za kutoa lakini kuwavua uanachama na wao kupoteza udiwani ni matusi kwa wapiga kura wa arusha, nachadema kimsingi imeanza kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi, hivi wataendelea na timua timua hadi lini?

Ombi langu viongozi wa juu wa chadema wawaombe radhi wananchi na madiwani wale coz ni UNAFIKI wa huyu muiba magari( according to zombe) ndio hali imekuwa hivyo arusha
 
CCM haitadumu, isipo kuwa kwa mabavu tu haya tunayoyaona, kwani kunauchafu mwingi unaotungiwa majina kama kujivua magamba, notice zisizotekelezeka, kamati zisizoleta manufaa wala majibu, ufisadi uliokithiri.

Ukiwa mtanzania halisi huwezi kusema neno hilo ulilolisema la unamsalahi yako.

tusubiri.tuone.Idumu CCM yangu.
 
mi kwanza namtafuta huyu Bayo sana simuoni kwanini kachezea kura yng kwa kuhongwa na magamba,inamaana alikuwa anallala njaaa makalio yake
 
Jamani niko hapa Mianzini Arusha nimekutana na msafara wa makamanda wa CHADEMA, wakiwa na gari la matangazo wanahamasisha watu hahudhulie kwenye mkutano.

Kiukweli magari ni mengi, pikipiki na hata daladala nazo zimefunga bendera za CHADEMA kwa mbele. Naona hapo kwenye mkutano patachimbika. Kwa haraka nimewaona Mh. Lema, Msigwa, Wenje na wengine sijawatambua vizuri.

Nasikia maoni ya watu huku mitaani wanalaani kitendo cha madiwani kukubali mwafaka feki. Kwa mimi navyoona huku Arusha hata uchaguzi ukirudiwa cdm inachukua kata zote. Wenye habari zaidi watujuze.

Happy are those who dream dreams and are ready to pay the price to make them come true
 
Kufukuzwa kwa madiwani watano mkoani Arusha kisichukuliwe kama kitendo cha kawaida. We are are taking it so simple that they have been fired, haishii hapo there is what we call after impacts which you dont feel instantly.

Actually there are something behind the screen and LEMA knows very well and ONE DAY the rest will KNOW. This is a timed BOMB.

Nimetoa tip, mtakaochukua chukueni mtakao nibeza nibezeni.

Cheers
Nduka Original
 
Mod ilo ngatazo la tigo hapo chini linanigwalagwala haliwezi kuwekwa sehemu nyingine?
 
Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano

Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja

Hivi

Ushabiki ni huu unaotaka kuleta hapa wewe.

Maendeleo ni kwa ajili ya watu na yanaletwa na watu.

Viongozi wa chadema wana vision ya kweli ya maendeleo ya watanzania, arusha ikiwa sehemu ya watanzania wameipokea chadema na wana imani ya kupata maendeleo. Kwahiyo kufunguliwa matawi ya chadema ni ishara ya kuku8balika na wananchi, na hii lazima ikukere kwakuwa magamba hamna jeuri ya kufungua japo shina sasa hivi.

Umeme umewashinda, maji yamewashinda, barabara zimewashinda na sasa wafanyabiashara ya mafuta wamewashinda.
Kama ungekuwa unatumia akili yako vizuri ulitakiwa kujielekeza kuwashauri magamba wenzako kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo, lakini kwa kuwa hamna hoja zaidi ya kupiga kelele utaendelea kuwepo hapa jf jioni unakwenda ofisini kwa nape kujichukulia ujira.
 
Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano

Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja




Hivi
Amani inapatika kwa watu kukamatwa na kubambikiwa kesi hovyo au madereva kukamatwa kisa kapakia abiria sehemu ambayo haitakiwi na huja muonyesha sehemu ya kupakia ambiria/kushusha ambiria mpaka wagome/waandamane ndiyo unawaonyesha sehemu ya kupakia/kushusha abiria....kama huna amani hata hayo maendeleo ni bure mfano watanzania tumekuwa watulivu kwa miaka 50 maendeleo yako wapi au mgao wa umeme kikwenu ni maendeleo, foreni kwenye vituo vya mafuta kwenu ni maendeleo, watu kushindia mihogo na maji tena machafu kwenu ni maendeleo.....
 
upupu mtupu
Dogo ni afadhali sasa hivi ulivyoamuwa kukaa pembeni na kupoteza muda mwingi kule jukwaa la MMU maana hapa jukwaa la siasa na huu upepo wa mabadiliko haupawezi, hapa hata Nape amekimbia ccm inapumulia mipira.
 
kama mwafaka utakuwa una harufu ya rushwa unategemea nini tukianza kufanya kazi na hawa mafisadi ni kugawana jasho la wana Arusha ni bora hata mtafute mwafaka miaka 3 halafu miaka 2 mkafanya kitu cha maana kuliko kuingia mwafaka wa kutongozana baada ya miezi 8 halafu mkakaa miaka 4.4 bila maendelea angalia CCM imekaa miaka 50 Arusha hatuna barabara za manispaa halafu ndiyo unataka hawa watu watuongoze tena baada ya kutuhonga, wewe utakuwa mwehu..

Nafikiri ni wakti muafaka wa Chadema kusoma alama za nyakati na kujua nini wananchi wana kiu nacho na kuweka vipaumbele.

Sifikiri hata haingii akilini hata siku moja kwa mtu mwenye akili timamu kumweleza hayoulioandika kisha akuoe kura yake. Nafikiri mtakuwa na nadhalia za kusadikika na sio halisia.

Kwa mwendo hou sioni kama kutakuwa na mwanga kwa watanzania waliokuwa gizani. mimi naona kama wameingia kwenye giza totolo.

My Interest ni kujua CC ya Chadema itajinasibu kwa lipi kwa maendelo ya Arusha. nafikiri usahihi wa haya nitayapata kwenye vyombo vyenu vya habari hapo kesho kwani hapa sijaona jibu zaidi ya kukejeli na kuthihaki.

Kuna mengi yaliahidiwa na wengi lakini sasa naona kazi ipo katika utekelezaji. Haya sie yetu macho na kuvuta subra kusikia maneno matamu ya viongozi kama mlivo kawaida yenu wadanganyika
 
Back
Top Bottom