Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

This is super, kumbe kwa CDM hakuna MTU, KABILA wala PESA, huu ni mfano wa kuigwa. Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
Lema wakati akifungua tawi pale sokoni kasema tuna kata mti tunapanda mti...
 
Habari yako mkuu, jana uliomba katiba ya CHADEMA nikakupatia vipi umeipitia, je umeona makosa ya CC ya Chadema?...
hapo juu kwenye rangi nyekundu hebu nikumbushe ziko wilaya gani na nani diwani, mbunge wa sehemu husika, kwnye rangi ya blue siijui hii barabara...
unashangaa kwanini CC ya CHADEMA imekuja hapa Arusha madiwani watano siyo mchezo kama ingekuwa CCM kamwe wasinge wafukuza sasa basi watu wa Arusha wengi hawajui kilicho tokea na Lema peke yake pengine wengine wasinge mwelewa kwani walio fukuzwa wana mtuhumu na hata leo Asubuhi nimepita sehemu wanaangea na baadhi ya wana Arusha kuwa tazizo ni Lema hivyo Kamati kuu ni busara nani kuonyesha kuwa heshimu wapiga kura wao wa Arusha kuja kuwajulisha kilicho tokea mpaka kufikia kuwatimu madiwa hao... ni maoni yangu tu

Ahali yangu nimeipata hio katiba na nashukuru sana.
Sasa naomba muda kidogo niipitie kwa kina nikilinganisha na tamko la CC la chadema kisha nitakujuza.

Nipe muda kwani katika sio kitabu cha khadithi.
 
IKULU INGEKUWA AR. Jk angeshapa mwendo. Huko Dar sijui wakoje. Utadhani wamelegezwa na magamba lege lege.loh. Amkeni banaaa,?
Taratibu wataamka na ngoja wauza mafuta waendelee na mgomo na mgao huu wa umeme hapata kalika pale dar...afadhali kidogo huku Arusha
 
Ahali yangu nimeipata hio katiba na nashukuru sana.
Sasa naomba muda kidogo niipitie kwa kina nikilinganisha na tamko la CC la chadema kisha nitakujuza.

Nipe muda kwani katika sio kitabu cha khadithi.
acha uvivu nenda kwenye kipengele husika kwani kukusaidia anzia page ya 11 mpaka ya 12 ..ukimaliza uje uchukue kadi...
 
VIVA CDM, pamoja Arusha ndo mabadiliko ya kweli hua huanzia,,toka Azimio la Arusha n.k wengine tutafuata!
 
KATA MTI PANDA MTI, Hiyo nayo ni akili tosha.
Big up chadema.
.
 
Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?

Sasa majibu unayo, halafu unayafanya maswali. Ungekuwa uamuzi mwepesi, kusingekuwa na sababu ya kwenda huko. By the way, hizo barabara unazosema zingekuwa zilijengwa miaka kibao iliyopita. Unadahani kuwa madiwani walikuwa wanakimbimbilia maendeleo ya wananchi na sio mifuko yao?
 
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
 
Kwani wewe huoni? Ukifungua Macho utaona amabacho kimefanyika. Acha kutazama kwa kutumia naniii bana!

Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
 
Yaani CCM na CDM kweli kuna tofauti kubwa mno fundamentally, CCM mafisadi wakifukuzwa watapokelewa kifalme huko majimboni kwao just remember walipojiuzulu wakati CDM hao jamaa wamekuwa wadogooooooo!!!!!!
 
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.

Kwanini usiulizie miaka 50?
 
acha uvivu nenda kwenye kipengele husika kwani kukusaidia anzia page ya 11 mpaka ya 12 ..ukimaliza uje uchukue kadi...

ndugu katiba sio kitabu cha khadithi au gazeti. Inakupasa usome kwa makini sana na kuichambua. Nipe muda nitakujuza usiwe na shaka.

Vile vile ukisoma katiba inasema kadi anatakiwa kupewa Mtanzania na sio mgeni. Hivyo sistahikhi
 
@ Dohar, Qatar aka barubaru, Asalaam Aleykum!!
Pole na swaumu kwanza!
Kwa Ilborian kuwaza namna hiyo,ninajipa moyo kwamba umeamua tu kutania,haupo serious. Au siyo?
Hizo ni typical kauli za watu wa level ya Nape, Tambwe et al.

Watu makini wa Arusha wanatambua kuwa mahitaji yao ni zaidi ya "kutiwa lami" barabara za umenyeni ekenywa na enaboishu na kwa lonin'go......na wanatambua kuwa kamwe ukombozi wao hautakuja kwa muujiza ukipitia kwa serikali ya CCM.

Kinachoendelea sasa ni work in progress ya kuung'oa huu utawala dhalimu (Si Arusha pekee) na kuweka uongozi makini utakaowaelekeza kwenye Arusha na Tanzania waitakayo. Hayo ya vibarabara vya umenyeni "kutiwa" lami ni secondary sana! Huu sio umri wa kudanganyiana peremende mkuu.

Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.

Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.

Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.

Walimu wafanyakazi wasifika sana.

Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi
 
Jamani mimi nipo hapa karibu na soko kuu kwenye jengo la Salim Alii, kweli hali ni shamra shamra tupu. Nimemuona Rasta Msaliti akikatiza huku na huko asijue cha kufanya, Nimemuona anaingia pale Arusha City Park ila sidhani kama watamuuzia hata chakula kuwadi huyu
 
Kwanini usiulizie miaka 50?

Kama kila mtu atajiuliza miaka 50 mtaendelea kweli? Kwani nia ya kuutoa uongozi uliopita na kuwapa Chadema walitegemea mabadiliko. Sasa ndio nikauliza mmewatendea nini wapiga kura wenu toka mlipochagulia takriban mwaka mmoja sasa? au mtajinasibu kwa hayo malumbano na CCM na kufukuzana.
 
Labda kwa haraka haraka unaweza kuniambia Chadema wamewafanyia nini wakaazi wa Arusha mjini kwa takriban mwaka mmoja toka waingie madarakani.
Aisee wewe! Kwa nini unatulazimisha kukutengulia swaumu yako? Unaulza maswali ya kijinga hivyo ndo nini jamani? Mbona miaka 50 ya 1. Tumejaribu 2. Tumeweza na 3. Tunasonga mbele huisemei? Miaka 50 nchi iko kwenye majaribio wewe haikugusi kabsa! Ila umeguswa na miezi 8 ya CDM! Is it??
 
Back
Top Bottom