Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Ni ukweli mtupu wandungu!
kuna msafara mrefu sana, Bodaboda mbele, baiskeli, daladala, saloon cars zinafuata.
Wazee wa maamuzi magumu wanafanya mkutano ndani ya manispaa ya Arusha.
 
utaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!! naishi arusha na sitegemei utaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo kimefunika Arusha ni kwenye ufunguzi wa matawi 16nimebahatika kuhudhulia ufunguzi wa tawi moja la Soko kuu hakika CHADEMA hapendwi mtu kinapendwa chama.sipati picha kesho

Nilichelewa kufika hivyo sikuweza kuwakalibia makamanda..ila alikuwepo meya wa musoma, Peter msigwa, Lema...
Photo-0057.jpg
Photo-0058.jpg
Photo-0059.jpg
Photo-0060.jpg
Photo-0061.jpg
Photo-0062.jpg
Photo-0063.jpg
 
big up sn watu wa ARUSHA naimani mnaakili sn na mtaichagua chadema! PEOPLESSS POWERRR
 
thanx!
Ubarikiwe.

Ngongo atatuletea habari zaidi...lol..
 
go ahead arusha,the voice of people is the voice of God.people'ssssssssssssssssss.....................................power
 
Nimekusoma mkuu tuko pamoja ila niko njiani naelekea Dar kuanzia moshi mail sita hadi hapa maeneo ya korogwe nashuudia foleni kubwa kwenye vituo vya mafuta sijui huko mbele itakuwaje
 
CDM ni chama makini, kama tanu ya nyerere enzi hizo. Wawe makini sana, kwa sababu tanu ile ndio leo imebaki magamba matupu, wananchi tunependa itoke hata leo na cdm iongoze.

Nina mashaka kidogo na zito, inspite of his smartness pontential to cdm, he seems to be too close na magamba sugu, it kind of smells rat to me.

Niondoeni huu wasiwasi wangu kama mnaweza jamani au Zitto mwenyewe hebu he tuondoe huu wasiwasi yaani malaika kuwa rafiki na shetani na bado akabaki na umalaika wake kamili.
 
nimepita mjini nikajiuliza kunani, maana daladala na magari mengineyo yanapeperusha bendera za chadema.
 
Asante kwa taarifa people's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! magambo hoi
 
Nimekusoma mkuu tuko pamoja ila niko njiani naelekea Dar kuanzia moshi mail sita hadi hapa maeneo ya korogwe nashuudia foleni kubwa kwenye vituo vya mafuta sijui huko mbele itakuwaje
Huku Arusha hali siyo mbaya sana hasa kwa magari yanayotumia petrol
 
Back
Top Bottom