Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

WAKAZI WA ARUSHA HAWATA TUANGUSHA....!

Mkuu aksante sana kwa pictures zako nzuri sana,

watu waerevu huwa wanatanguliza MASLAHI YA CHAMA MBELE, ndivyo walivyo waakazi wa Arusha!
wapo pamoja na chama chao CDM, tusubiri hiyo kesho mambo yatakavyo kwenda vizuri ktk mkutano wao. wataanzania wapenda-mabadiliko wote wapo pamoja nao CDM!
wanaoishi mbali, macho na masikio yao yatakuwepo hapo Arusha hiyo kesho!

Ushauri wa bure CCM wajifunze kufanya maamuzi magumu na mazito toka CDM.

wasione haya maana kila siku binadamu tunahitaji kujifunza, everyday is a new day!

Dr slaa mkaribishe Julius Mkama aje CDM, kujifunza jinsi ya kuongoza chama kwa kufuata misingi, taratibu n.k uliyowekwa ktk katiba ya chama husika, badala ya kuangalia nn Chairman na Family yake wanataka nn ktk chama!!! (angalieni CCM kinavyoendeshwa)

safari ni ndefu but tutafika tuuu, dawa ni kuondokana na laana ya UOGA na HOFU.
 
Kwa Loning'o na kwa Kishuu tulikuwa tunapata mahitaji yetu pale kama mikate na msosi mbadala kama Skuli kulipikwa Chui.

Hakika kuna mengi ambayo najua wazi wananchi wa Arusha walikuwa wanahitaji kama waTz wengine. Lakini nafikiri kwa muda huu suala la barabara ni muhimu hususan kwa wakaazi wa sehemu hizo.

Siku zote hisabu huanzia moja. sasa tujiulize kwa kipindi kifupi takriban mwaka mmoja walichowekwa madarakani Chadema hususan hapo Mjini Arusha wamewafanyia nini wapiga kura wao ukilinganisha na utawala uliopita? Hili ni suala la msingi sana katika kufikia maamuzi na kuwateka wananchi ili wakupe kura zaidi

Kwa Mwaka mmoja Chadema wameweza kuwaonyesha watanzania jinsi nchi yao inavyoibiwa na wao kuachwa wakitaabika kwa matatizo mbali mbali, na pia imewza kuwaeleza wananchi makosa ya serikali iliyopo na watu wengi sasa wanaanza kugundua tatizo la serikali iliyopo madarakani.

wamewaeleza juu ya unyasaji unafanywa polisi, mahakani, katika vitengo mbali mbali vya serikali kama ardhi, wamewaeleza jinsi madini yetu yavyoibwa na ilhali huduma za jamii ni mbovu kupindikia, wamewaeleza jinsi mawaziri wanavyodanganya umma akiwemo hata waziri mkuu.

hayo ni baadhi ya mafanikio ya chadema mbaka sasa, subiri yanakuja mengi.
 
Lema amefanya vitu vingi kwa miezi 8 ambapo hakuna mbunge wowote wa CCM aliyefanya kwa kipindi hicho,anasomesha watoto 400 katika shule za sekondary kwa pesa alizozitafuta kwa wahisani,ametoa ambulance 2 kwa hospital ya mkoa wa Arusha, je huyu meya wa Arusha wa CCM yeye kafanya nini na madiwani wake wa CCM?

WANA arusha wanaelimu ndiyo mana hawadaganyiki nendeni mkawadaganye wasio kuwa na elimu,ila si muda mrefu na wao wataelimika,sijui mtawadaganya kina nani tena,nchi ipo gizani kila siku,mafuta nayo shida,ajira hakuna,kweli hii ndiyo miaka 50 ya uhuru wa CCM.
 
Amani inapatika kwa watu kukamatwa na kubambikiwa kesi hovyo au madereva kukamatwa kisa kapakia abiria sehemu ambayo haitakiwi na huja muonyesha sehemu ya kupakia ambiria/kushusha ambiria mpaka wagome/waandamane ndiyo unawaonyesha sehemu ya kupakia/kushusha abiria....kama huna amani hata hayo maendeleo ni bure mfano watanzania tumekuwa watulivu kwa miaka 50 maendeleo yako wapi au mgao wa umeme kikwenu ni maendeleo, foreni kwenye vituo vya mafuta kwenu ni maendeleo, watu kushindia mihogo na maji tena machafu kwenu ni maendeleo.....

Crashwise na Mwita Maranya nawaombeni msimjibu huyo ***** Barubaru mtajaza hii page nyingi sasa hata mtu aliechelewa atapata shida kutufikia page tuliopo.

Tukiliendekeza jitu taahira tofauti haitoweza kuonekana, maana yeye hayupo hapa kwa ajili debate bali chuki zimemjaa mpaka anasema yeye sio Mtanzania wakati kila siku unamkuta humu kwenye forum zetu Watanzania ambazo ndio tunatumia kujadili mambo ya Taifa letu.
 
Ni Arusha gani hiyo ambayo wananchi wake wanahitaji matawi na mikutano lakini sio maendeleo.
Acha uongo mkuu. wananchi wanataka maendeleo sio mikutano wala matawi.wanataka amani na usalama na sio malumbano

Kuwa muwazi na sio kuleta ushabiki bila hoja

Hivi
Amani kwenu ni watu kukamatwa na kubambikiwa kesi hovyo..mfano juzi madereva 45 walikamatwa na kutozwa TZS 50000 kwa kila mmoja kisa wamepaki sehemu ambayo hawatakiwi lakini kiukweli walikuwa hawjaonyeshwa shemu ya kupaki kuchukua abiria/kubeba abiria mpaka walipogoma/andamana ndipo wakaonyeshwa sehemu husika za kuchukua/kushusha abiria na wote walio kamatwa wakaachiwa huru je hiyo ndiyo amani na haki....

Wanafunzi walikuwa wanalipwa 5000 kwa siku lakini wabunge wanalipwa zaidi ya 150, 000 walipo andamana wanalipwa 7500..unasema watu wa Arusha wanataka maendeleo je CCM iliyo tawala kwa miaka 50 huku Arusha tukiwa hatuna hata barabara moja ya manispaa hayo ndiyo maendeleo....je unajua kipato cha Arusha....
 
Naku-ignore rasmi barubaru....huleti jipya....kumbe unatuvutia swaumu wenzio. Hivi kwa time za Dohar sasa hivi futuri si imekaribia sana? Anyway umefanikiwa kwa kweli....nenda sasa kafuturu,ila ukirudi tafuta mtu wa kucheza naye karata mie hunipati tena!!!
My foot nafikkaje home,dogo niliyemwachia kidumu apange foleni sheli amekosa kiwese!AAaaaagrrrrrrr!!!!

Nafikiri ni wakti muafaka wa Chadema kusoma alama za nyakati na kujua nini wananchi wana kiu nacho na kuweka vipaumbele.

Sifikiri hata haingii akilini hata siku moja kwa mtu mwenye akili timamu kumweleza hayoulioandika kisha akuoe kura yake. Nafikiri mtakuwa na nadhalia za kusadikika na sio halisia.

Kwa mwendo hou sioni kama kutakuwa na mwanga kwa watanzania waliokuwa gizani. mimi naona kama wameingia kwenye giza totolo.

My Interest ni kujua CC ya Chadema itajinasibu kwa lipi kwa maendelo ya Arusha. nafikiri usahihi wa haya nitayapata kwenye vyombo vyenu vya habari hapo kesho kwani hapa sijaona jibu zaidi ya kukejeli na kuthihaki.

Kuna mengi yaliahidiwa na wengi lakini sasa naona kazi ipo katika utekelezaji. Haya sie yetu macho na kuvuta subra kusikia maneno matamu ya viongozi kama mlivo kawaida yenu wadanganyika
 
najua hakuna walichofanya kwa miezi yote toka wawekwe madarakani zaidi ya kuendeleza malumbano na uhasama baina ya waliowachagua.<br />
<br />
Suala langu lingine je watajinasibu kwa lipi hapo Mjini Arusha?<br />
Je wananchi wa Arusha town wanataka malumbano au maendeleo?<br />
Je wamewafanyia nini mpaka sasa katika zile ahadi zao walizowaahidi

Kwanza Arusha waangalie zile ahadi za jk alizowaahidi kama rais wao zimetimizwa? Kama bado na ninaamini ndivyo ilivyo, baru jiulize kuna budget ngapi zimepita toka chadema ichukue jimbo? Na hivi meya wa jiji ni wa chama gani? Je mkurugenzi na dc je?

Propandanda hizihitajiki kwa sasa, wananchi tunachotaka ni ukombozi wa nchi kutoka mikono michafu ya mafisadi basi. Maendeleo yatakuja kama hatua ya pili baada ya ukombozi.

Mbona hata hayo yaliyopo ni sisi wananchi tumejiletea wenyewe? Na kama sii serikali ya magamba kutufisadi tungekuwa mbali zaidi ya hapo.
 
Naku-ignore rasmi barubaru....huleti jipya....kumbe unatuvutia swaumu wenzio. Hivi kwa time za Dohar sasa hivi futuri si imekaribia sana? Anyway umefanikiwa kwa kweli....nenda sasa kafuturu,ila ukirudi tafuta mtu wa kucheza naye karata mie hunipati tena!!!
My foot nafikkaje home,dogo niliyemwachia kidumu apange foleni sheli amekosa kiwese!AAaaaagrrrrrrr!!!!

usimlaumu sana ni mmoja wa wale walengwa masaburi ila huyu anafikiria kwa kalio
 
kwa muda mrefu sasa nilikuwa sijajitokeza katika jukwaa kutokana na jukwaa hili kutawaliwa na siasa uchwara, matusi na unafiki mwingi sana, ila hili swala la chadema kutimua madiwani wao limenigusa na limenifanya nijitokeze baada ya kuwa away kwa miezi mingi sasa. kimsingi chadema wameonyesha dharau kubwa sana kwa wapiga kura waarusha ambao bila kujali mvua na jua kali siku ya uchaguzi walijitokeza siku ya uchaguzi kuchagua madiwani ambao eti leo wanaonekana ni wasaliti,naamini busara haikutumika katika kuwavua uanachama wale madiwani kwani naaamini hata kama ni adhabu kuna adhabu nyingi sana za kutoa lakini kuwavua uanachama na wao kupoteza udiwani ni matusi kwa wapiga kura wa arusha, nachadema kimsingi imeanza kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi, hivi wataendelea na timua timua hadi lini? ombi langu viongozi wa juu wa chadema wawaombe radhi wananchi na madiwani wale coz ni UNAFIKI wa huyu muiba magari( according to zombe) ndio hali imekuwa hivyo arusha

Endelea kujificha huko huko ulikokuwa sbb huku kweli hapakufai kabisa.Nnaomba unijibu kuwa waweza kumjua binaadamu juu ya tabia yake?Sidhani Kama unalo jibu la uhakika.

Wananchi walifanya maamuzi sahihi kuwachagua viongozi wao(madiwani)wakitegemea uongozi bora(uadilifu)na si bora uongozi.Kama wananchi walidhani waliemchagua alikuwa kondoo kumbe ndani ni chui je waendelee kukaa na chui awaumize!!?

Eti sababu waliteseka juani kuchagua!?Nnadhani umetekwa sana na dhana ya kulindana Kama ilivyo kwa viongozi Wa ccm.Chadema hamnaga hiyo habari ya kulindana na kuchekeana na kupeana muda!!hiyo sahau.

Je hao madiwani wakiachwa kesho wakashika nyadhifa za juu wakija kuiuza nchi utakenua meno?
 
Crashwise na Mwita Maranya nawaombeni msimjibu huyo ***** Barubaru mtajaza hii page nyingi sasa hata mtu aliechelewa atapata shida kutufikia page tuliopo.
Tukiliendekeza jitu taahira tofauti haitoweza kuonekana, maana yeye hayupo hapa kwa ajili debate bali chuki zimemjaa mpaka anasema yeye sio Mtanzania wakati kila siku unamkuta humu kwenye forum zetu Watanzania ambazo ndio tunatumia kujadili mambo ya Taifa letu.
Barubaru kwangu mimi = mtumwa anaeishi kwa basha wake Oman.
Natamani kumjibu kwa sababu namuona ni mwepesi sana na nina naninauzoefu wakushughulika na matahira kama huyu Barubaru...nitafanya hivyo kadri muda utakavyo niruhusu..
 
Natamani kumjibu kwa sababu namuona ni mwepesi sana na nina naninauzoefu wakushughulika na matahira kama huyu Barubaru...nitafanya hivyo kadri muda utakavyo niruhusu..
kuna watu wanahitaji kushiriki hii thraed sasa wakija wakikuta ipo page ya 30 huoni kama mtu ananyong'onyea kupitia post by post.
 
Nafikiri ni wakti muafaka wa Chadema kusoma alama za nyakati na kujua nini wananchi wana kiu nacho na kuweka vipaumbele.

Sifikiri hata haingii akilini hata siku moja kwa mtu mwenye akili timamu kumweleza hayoulioandika kisha akuoe kura yake. Nafikiri mtakuwa na nadhalia za kusadikika na sio halisia.

Kwa mwendo hou sioni kama kutakuwa na mwanga kwa watanzania waliokuwa gizani. mimi naona kama wameingia kwenye giza totolo.

My Interest ni kujua CC ya Chadema itajinasibu kwa lipi kwa maendelo ya Arusha. nafikiri usahihi wa haya nitayapata kwenye vyombo vyenu vya habari hapo kesho kwani hapa sijaona jibu zaidi ya kukejeli na kuthihaki.

Kuna mengi yaliahidiwa na wengi lakini sasa naona kazi ipo katika utekelezaji. Haya sie yetu macho na kuvuta subra kusikia maneno matamu ya viongozi kama mlivo kawaida yenu wadanganyika

Umezungumza jambo zuri la kuvuta subira ya hiyo kesho kusikia nn kitazungumzwa ktk huo mkutano. ila nilipenda kukumbusha kuwa ktk kuleta maendeleo ya Arusha muhimu ni usimamizi mzuri wa utekelezaji wa mipango kulingana na rasilimali iliyopo.

Govt ya CCM bila usimamizi uliyotukuka na wenye maadili huwa ni ZERO! so lazima pawepo wasimamzi wazuri ktk utekelezaji wa kilichopangwa kufanyika kwa manufaa ya wakazi wa Arusha.
 
Msiandikie mate na wino upo. Kesho tutapata majibu yote ya masuala yangu ingawa suala kuu ni nini cha kujinasibu kwa Chadema arusha town, najua vyombo vyenu vya habari vitaripoti yote kwa mapana yake na marefu.

Kila la kheir na mkutano mwema
 
umezungumza jambo zuri la kuvuta subira ya hiyo kesho kusikia nn kitazungumzwa ktk huo mkutano. ila nilipenda kukumbusha kuwa ktk kuleta maendeleo ya Arusha muhimu ni usimamizi mzuri wa utekelezaji wa mipango kulingana na rasilimali iliyopo! Govt ya CCM bila usimamizi uliyotukuka na wenye maadili huwa ni ZERO! so lazima pawepo wasimamzi wazuri ktk utekelezaji wa kilichopangwa kufanyika kwa manufaa ya wakazi wa Arusha!

Swadakta.

haya ndio maneno ya mtu unaejua kabisasio tu ameenda shule bali pia ameelimika.

Ahsante sana.
 
Well kama inawajali kwanini iende kuonana nao leo na si kabla ya kuwafukuza.
Hawaendi kuonana na waliofukuzwa wanaenda kuonana na wananchi wenye imani nao, kama wewe huna imani kaa pembeni mpaka hapo imani yako itakapojengeka..
 
Lema amefanya vitu vingi kwa miezi 8 ambapo hakuna mbunge wowote wa CCM aliyefanya kwa kipindi hicho,anasomesha watoto 400 katika shule za sekondary kwa pesa alizozitafuta kwa wahisani,ametoa ambulance 2 kwa hospital ya mkoa wa Arusha, je huyu meya wa Arusha wa CCM yeye kafanya nini na madiwani wake wa CCM?

WANA arusha wanaelimu ndiyo mana hawadaganyiki nendeni mkawadaganye wasio kuwa na elimu,ila si muda mrefu na wao wataelimika,sijui mtawadaganya kina nani tena,nchi ipo gizani kila siku,mafuta nayo shida,ajira hakuna,kweli hii ndiyo miaka 50 ya uhuru wa CCM.

saafiii sana hiyo mkuu, barubaru yuu wp? aisome hii...., ili atleast ubongo wake uanze kufunguka kufikiri
habari kama hizi zitaweza kuwaondelea ujuha wakina barubaru na wengineyo humu ndani..
 
Back
Top Bottom