Mpimaardhi
Senior Member
- Jun 7, 2014
- 169
- 14
Ikulu ni ofisi ya serikaali si ya CCM
Wakuu, Taarifa toka chanzo chetu Magogoni ni kuwa Kamati Kuu ya CCM ninapoandika wapo Ikulu na inahisiwa watajadili hali ya kisiasa nchini (UKAWA, Bunge la Katiba na Mtikisiko unaoletwa na 'Wagombea Urais') na kuandaa Agenda za Kikao cha NEC kitakachofanyika Mbeya hivi karibuni. Zaidi, tegeni masikio
watakutana sana mwaka huu ila wajue n'gombe hanenepi siku ya mnada.
Wamewahi Juisi Ya Wananchi,Ambayo WASSIRA Kaikatalia.
Upinzani wa Tanzania ni wa kipumbavo sana hakuna mkakati wa maana kuitisha ccm,nyie mmekalia umbea hivi mnajua huku vijijini hakuna mtu anajua neno zaidi ya ccm? Maeneo machache sana kuna hawa aina ya upinzani,akina lipumba jueni hili ili mjipange kuhamia vijijini ndipo mtajivuna kuichachafya ccm,vinginevyo jifurahisheni kwa maneno ya kishenzi mkija ucchaguzi mnapigwa
Makombora ya Jana ya Dr. Slaa yanawachanganya........
Bavita nawasikitia sana mnakuwa na mawazo mgando na hata maana ya vikao hamjui. Mmekaa kijuha juha kama hamnazo vile!!!. Hivi humu ndani kuna aliyeenda shule kweli au mnajua tu kuandika na kusoma kihafifu. Mnashindwa kujua kuwa kila kundi lina katiba na katiba inaagiza nini hasa kuhusu vikao na mikutano. Bahati mbaya naongea na mazoba, majitu yasiyojitambua hata kidogo. Mnakuja humu na tahaswisi nyepesi mno amabazo hata mtoto wa darasa la pili hatazidharau. Haiwezekani watu wasifanye vikao vyao kwa ratiba yao heti watu uchwachwa na uchwara watazungumbumza kimbumbumbu na wakti wanajua hao ni hamnazo na mazoba wa kutupwa. Kweli tumbili ni tumbili tu hawezi kuwa nyani hata kidogo. Kwa heri mazoba endelea kuzungumza ufala kama mlivyo watu wanapiga kazi
Mtaweweseka sana. CCM inamiliki ofisi yake Dodoma. Nyie mliozoea kupanga ndo mna mawazo kama hayo
Kwani wewe ugali na mpunga unaokula unatoka wapi kama si kijijini? Unatema ushuzi humu yote hayo kwa vile umeshiba ugalihao wa vijijini siwajinga kama wewe, hawajitambui kama wewe, ndio maana kura zenu nyingi mnapata toka vijijin
Nikuulize wewe unayeshabikia upumbavuLizaboni, hivi na wewe ni Mtanzania?
Hapo ndipo utakapojua kuwa taarifa hii ni ushuzi toka KinondoniIkulu au Lumumba??? Kukutana Ikulu ni kiserikali, lakini kama ni kamati kuu ya chama cha CCM basi inatakiwa iwe kwenye makao makuu ya CCM au sehemu nyingine na yoyote ile ya chama..
Unaamini hata kama anakutolea harufu mbaya?Huwa naamini sana antena zako@Informer
Dr Slaa hana hoja zozote zaidi ya kuendelea na ushenzi wake wa kulalamika na kudai eti ana nyaraka za sirihakuna wa kupangua hoja za DR SLAA pale , wanapoteza muda tu .
Wakuu,
Taarifa toka chanzo chetu Magogoni ni kuwa Kamati Kuu ya CCM ninapoandika wapo Ikulu na inahisiwa watajadili hali ya kisiasa nchini (UKAWA, Bunge la Katiba na Mtikisiko unaoletwa na 'Wagombea Urais') na kuandaa Agenda za Kikao cha NEC kitakachofanyika Mbeya hivi karibuni.
Zaidi, tegeni masikio
Ukawa hata wafanyeje mwisho wao watarejea bungeni ambako tutawatandika tena makomboraMuda unavyosogea tutaambia wanahamishia vikao ktk Meli....wanajua UKAWA noma...na woga wao mkuu ni Msimamo wa UKAWA na ujio wa Tanganyika mpya...! Wanajua kwa sasa wananchi wameiva na hakuna wa kuzuia mabadiliko...hata wafanye vikao ktk ndege.....! ....Peeople's....pwr!
Nikuulize wewe unayeshabikia upumbavu