Kama Jolly club?
Mkuu hata jolly club ina nafuu..ikulu hadhi imekwisha..imekuwa ni kijiwe cha makutano ya wahuni
Kama Jolly club?
Wana ofisi pale Lumumba, kwanini wasiwe wanakutana hapo? Hivi Ikulu ni ofisi ya chama? Hayo ni matumizi mabaya ya rasmali za serikali kwa manufaa ya chama kimoja. Mwenyekiti wao anatakiwa kupelekwa darasani!
Mbona hata kina Dr Slaa waliwahi kukutana ikulu na JK ? lakini nyie kinawauma nini wakati sio Rais wenu ? Rais wenu c Dr Slaa au ni lini CDM walibadili msimamo wa kumtambua JK kama Rais??
Nikuulize wewe unayeshabikia upumbavu
Mapepo mama yako
Wakuu,
Taarifa toka chanzo chetu Magogoni ni kuwa Kamati Kuu ya CCM ninapoandika wapo Ikulu na inahisiwa watajadili hali ya kisiasa nchini (UKAWA, Bunge la Katiba na Mtikisiko unaoletwa na 'Wagombea Urais') na kuandaa Agenda za Kikao cha NEC kitakachofanyika Mbeya hivi karibuni.
Zaidi, tegeni masikio
==========
UPDATE:
![]()
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo
Mapepo mama yako
hii nchi imeyumba,iko mahututi yaani vikao vya chama vinafanyika ikulu?
Bavita nawasikitia sana mnakuwa na mawazo mgando na hata maana ya vikao hamjui. Mmekaa kijuha juha kama hamnazo vile!!!. Hivi humu ndani kuna aliyeenda shule kweli au mnajua tu kuandika na kusoma kihafifu. Mnashindwa kujua kuwa kila kundi lina katiba na katiba inaagiza nini hasa kuhusu vikao na mikutano. Bahati mbaya naongea na mazoba, majitu yasiyojitambua hata kidogo. Mnakuja humu na tahaswisi nyepesi mno amabazo hata mtoto wa darasa la pili hatazidharau. Haiwezekani watu wasifanye vikao vyao kwa ratiba yao heti watu uchwachwa na uchwara watazungumbumza kimbumbumbu na wakti wanajua hao ni hamnazo na mazoba wa kutupwa. Kweli tumbili ni tumbili tu hawezi kuwa nyani hata kidogo. Kwa heri mazoba endelea kuzungumza ufala kama mlivyo watu wanapiga kazi
Mwalimu
Nyerere aliposema "...ikulu sio pango la walanguzi...." hatukumuelewa!
Yaani hawahawa walanguzi wanao kwaza kupatikana kwa katiba ya wananchi
huku wakinunua kwa kulangua bei kila wanaye muona atawaokoa kuhadaa
wananchi ili kudharau maoni yao kwenye rasimu ya tume ya warioba ndio
haohao wanakutana pale pale ambapo mwalimu Nyerere huyohuyo alisema kuwa
"...Ikulu ni mahali patakatifu..."
Wakati mwingine huwa nafikiria kuwa huenda miongoni mwa watoto wakorofi
wa Msafari wamepiga machata na kuchora picha za wachumba zao kwenye kuta
za ikulu... Mungu aepushie mbali