LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Unaamini hata kama anakutolea harufu mbaya?
Hapo ndipo utakapojua kuwa taarifa hii ni ushuzi toka Kinondoni
Ccm wanajificha ikulu yetu sasa hivi
Kweli kikwete ana zarau mbaya sana
Na tumeyatega kweli kweli.Cha muhimu wakubali kwenda kujadili Rasimu ya Warioba na mambo yendelee.Basi. Lakini,Ikulu kunaweza kufanyika kikao cha chama?
cc Informer
hakuna wa kupangua hoja za DR SLAA pale , wanapoteza muda tu .
Watu makini hawawezi kufanyia kikao cha chama ofisi ya serikali.pole sanachama cha watu makini kinajadili ajenda makini na muhimu..ukawa sio ajenda ya CCM na haitakuwa ajenda kamwe.
Wenzake hoja wanatoa kwa wananchi sio pale maelezo.
Eti nini Ikulu?????
BACK TANGANYIKA