Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

Serikali inayoendekeza ''groupthink'' ni hatari sana kwa wananchi wake. Nachelea kusema kwamba hicho kikao wajumbe wote wataenda kupewa misimamo na kazi yao ni kuconform tu. what a shame.!!

hapo unakuta mshauri mkuu wanayemuaminia ni wassira.
 
Wakuu,

Taarifa toka chanzo chetu Magogoni ni kuwa Kamati Kuu ya CCM ninapoandika wapo Ikulu na inahisiwa watajadili hali ya kisiasa nchini (UKAWA, Bunge la Katiba na Mtikisiko unaoletwa na 'Wagombea Urais') na kuandaa Agenda za Kikao cha NEC kitakachofanyika Mbeya hivi karibuni.

Zaidi, tegeni masikio

Exactly, kikao kikao kinaendelea hapa, lakini kuna hali ya wasiwasi sana kwa yanayoendelea hasa suala la Escrow, ma empower wa ccm wameingiwa na hofu baada ya suala hilo kuigia mikononi mwa Dr Slaa, wanasema ni ngumu kumpuuza kama walivyokuwa wanamfanyia Mr Kafulila.
 
Watajadili yale majina 11 ya mtoto wa Rais lipi lipitishwe.
 
Exactly, kikao kikao kinaendelea hapa, lakini kuna hali ya wasiwasi sana kwa yanayoendelea hasa suala la Escrow, ma empower wa ccm wameingiwa na hofu baada ya suala hilo kuigia mikononi mwa Dr Slaa, wanasema ni ngumu kumpuuza kama walivyokuwa wanamfanyia Mr Kafulila.
JB in de house,lete fitna zote
 
Na tumeyatega kweli kweli.Cha muhimu wakubali kwenda kujadili Rasimu ya Warioba na mambo yendelee.Basi. Lakini,Ikulu kunaweza kufanyika kikao cha chama?

cc Informer

Unazungumzia kikao cha chama! Mademu wanaenda kujiuza ikulu hatushangai.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli siku ya kufa nyani miti yoote huteleza wanaacha kusimamia na kutatua kero za wananchi kwa wakati wanashinda kuuwazia urais cha moto watakiona
 
watakutana sana mwaka huu ila wajue n'gombe hanenepi siku ya mnada.

Kwa akili yako unaona Ukawa wanaitisha ccm,Watanzania mnachekesha,kuna nini kipya,Lipumba yuleyule,Slaa yuleyule,Mbatia yuleyule unajua mnatakiwa mfikiri zaidi ya upuuzi huu wa ukawa
 
9k=
CCM SASA ........
 
Upinzani wa Tanzania ni wa kipumbavo sana hakuna mkakati wa maana kuitisha ccm,nyie mmekalia umbea hivi mnajua huku vijijini hakuna mtu anajua neno zaidi ya ccm? Maeneo machache sana kuna hawa aina ya upinzani,akina lipumba jueni hili ili mjipange kuhamia vijijini ndipo mtajivuna kuichachafya ccm,vinginevyo jifurahisheni kwa maneno ya kishenzi mkija ucchaguzi mnapigwa
 
...

......Kombora moja la DR SLAA watu
wanatafutana !!!

.....2015 ccm watajazana magerezani na huko jiandaeni na kilimo kwanza....
 
Makombora ya Jana ya Dr. Slaa yanawachanganya........
 
Sidhani kama kuna ajenda nyingine zaidi ya Ukawa ajafu jana Dr kuongea na wandishi wa habari basi wameweweseka sana
 
Upinzani wa Tanzania ni wa kipumbavo sana hakuna mkakati wa maana kuitisha ccm,nyie mmekalia umbea hivi mnajua huku vijijini hakuna mtu anajua neno zaidi ya ccm? Maeneo machache sana kuna hawa aina ya upinzani,akina lipumba jueni hili ili mjipange kuhamia vijijini ndipo mtajivuna kuichachafya ccm,vinginevyo jifurahisheni kwa maneno ya kishenzi mkija ucchaguzi mnapigwa
Chadema ni msingi imetinga huko mkuu,matawi 2000 yameshafunguliwa kote nchini.
 
watakutana hata choo bado ukawa ndo sumu ya kuuwa ccm na vibaraka wake wote
 
Back
Top Bottom