Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

btw

mkutano wa Dr Slaa jana na mkutano huu wa CCM leo ni utukizi tu?
 
MAANDALIZI UCHAGUZI: CCM yamteua Philip Mangula kuongoza timu ya wataalam itakayoandaa ilani ya chama hicho uchaguzi ujao serikali za mitaa, Nape atangaza leo.
 
Mwalimu Nyerere aliposema "...ikulu sio pango la walanguzi...." hatukumuelewa! Yaani hawahawa walanguzi wanao kwaza kupatikana kwa katiba ya wananchi huku wakinunua kwa kulangua bei kila wanaye muona atawaokoa kuhadaa wananchi ili kudharau maoni yao kwenye rasimu ya tume ya warioba ndio haohao wanakutana pale pale ambapo mwalimu Nyerere huyohuyo alisema kuwa "...Ikulu ni mahali patakatifu..."

Wakati mwingine huwa nafikiria kuwa huenda miongoni mwa watoto wakorofi wa Msafari wamepiga machata na kuchora picha za wachumba zao kwenye kuta za ikulu... Mungu aepushie mbali
 
Bavita nawasikitia sana mnakuwa na mawazo mgando na hata maana ya vikao hamjui. Mmekaa kijuha juha kama hamnazo vile!!!. Hivi humu ndani kuna aliyeenda shule kweli au mnajua tu kuandika na kusoma kihafifu. Mnashindwa kujua kuwa kila kundi lina katiba na katiba inaagiza nini hasa kuhusu vikao na mikutano. Bahati mbaya naongea na mazoba, majitu yasiyojitambua hata kidogo. Mnakuja humu na tahaswisi nyepesi mno amabazo hata mtoto wa darasa la pili hatazidharau. Haiwezekani watu wasifanye vikao vyao kwa ratiba yao heti watu uchwachwa na uchwara watazungumbumza kimbumbumbu na wakti wanajua hao ni hamnazo na mazoba wa kutupwa. Kweli tumbili ni tumbili tu hawezi kuwa nyani hata kidogo. Kwa heri mazoba endelea kuzungumza ufala kama mlivyo watu wanapiga kazi

Ndugu,

Umeandika kutetea yanayofanyika bila kujenga hoja.Ikulu sio mahali pakupanga mikakati ya kivyama.ile ni ofisi ya Rais wa watanzania wote.ni ofisi ya serikali sio ofisi ya chama.
 
Wakuu,

Taarifa toka chanzo chetu Magogoni ni kuwa Kamati Kuu ya CCM ninapoandika wapo Ikulu na inahisiwa watajadili hali ya kisiasa nchini (UKAWA, Bunge la Katiba na Mtikisiko unaoletwa na 'Wagombea Urais') na kuandaa Agenda za Kikao cha NEC kitakachofanyika Mbeya hivi karibuni.

Zaidi, tegeni masikio

==========

UPDATE:

attachment.php

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo

CCM mnahangaika sana ili muendelee kubaki madarakani lakini mmeshasahau kuongoza siku nyingi mmebakia kutawala tu ,hii nchi ni yetu sote na itajengwa na sisi sote kama Watanzania na sio kikundi kodogo kuwakilisha mawazo ya wengi.Jadilini mambo kwa manufaa yetu sote lakini uamuzi wa mwisho wabakiwe nao wananchi (wenye nchi).
 
Wana ofisi pale Lumumba, kwanini wasiwe wanakutana hapo? Hivi Ikulu ni ofisi ya chama? Hayo ni matumizi mabaya ya rasmali za serikali kwa manufaa ya chama kimoja. Mwenyekiti wao anatakiwa kupelekwa darasani!
 
Kwa akili yako unaona Ukawa wanaitisha ccm,Watanzania mnachekesha,kuna nini kipya,Lipumba yuleyule,Slaa yuleyule,Mbatia yuleyule unajua mnatakiwa mfikiri zaidi ya upuuzi huu wa ukawa

CCM ni walewale!
 
Tusisahau pia impact ya karipio kutoka CCT. Ni taasisi yenye influence kubwa kwenye jamii, so lazima magamba vyupi vitakuwa vimewabana tu!
 
Bavita nawasikitia sana mnakuwa na mawazo mgando na hata maana ya vikao hamjui. Mmekaa kijuha juha kama hamnazo vile!!!. Hivi humu ndani kuna aliyeenda shule kweli au mnajua tu kuandika na kusoma kihafifu. Mnashindwa kujua kuwa kila kundi lina katiba na katiba inaagiza nini hasa kuhusu vikao na mikutano. Bahati mbaya naongea na mazoba, majitu yasiyojitambua hata kidogo. Mnakuja humu na tahaswisi nyepesi mno amabazo hata mtoto wa darasa la pili hatazidharau. Haiwezekani watu wasifanye vikao vyao kwa ratiba yao heti watu uchwachwa na uchwara watazungumbumza kimbumbumbu na wakti wanajua hao ni hamnazo na mazoba wa kutupwa. Kweli tumbili ni tumbili tu hawezi kuwa nyani hata kidogo. Kwa heri mazoba endelea kuzungumza ufala kama mlivyo watu wanapiga kazi

wau wau kikwetu ni MJINGA MJINGA. Kwaiyo sishangai ujinga uliou-post hapo.
 
naona JK hajatosheka kuitwa dhaifu,hivi hakuna sem ya kukutania isipokuwa ikulu?daah,hizi ni dharau za kujitakia
 
Kikao anachoingia Nape huwa hakina jambo la maana sana litakaloamuliwa..ajenda ya mtoto wa rais kutaja majina 11 ya wanaofaa kuwa ma rais haitajadiliwa?

Hili nalo neno!

Mtoto wa mfalme kashatoa mwongo kazi kwa wapambe kutekeleza jukumu nani kati yao 11 anafaa.

Ila cha ajabu Jembe halimo kwenye 11 ya mtoto wa mfalme.Usiniul;ize jembe nani!
 
Kimwete ameshusha heshima ya ikulu....kikwete ameshusha hadhi ya urais..kikwete ni janga la taifa.

UKAWA. ..tafadhalini msisitize kwenye katiba mpya kuwa "rais wa chama kitakachokuwa tawala...asiwe mwenyekiti wa chama." Ili kutenganisha mambo ya chama yasibwebwe na rais..hiyo itasaidia kutotumia madaraka vibaya kama anavyofanya kikwete...itasaidia pia kutotumia nguvu ya vyombo vya dola kama jeshi, polisi, mahakama, waalimu, wakuu wa wilaya, wakuu wa mkoa na viongozi mbali mbali wa serekali ya chama tawala.

Upuuzi kama huu ili usiwepo, ni lazima rais asiwe mwenyekiti wa chama chochote kile.
Hadhi ya ikulu imeshuka mpaka eti diamond naye anaitwa ikulu. Ni aibu
 
Kama Jolly club?
 
Back
Top Bottom