Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

Ikulu ni pango la wanyang'anyi hao waliokuta kufanya kikao cha chama ikulu ni Interahamwe wakubwa
 
Mbona hata kina Dr Slaa waliwahi kukutana ikulu na JK ? lakini nyie kinawauma nini wakati sio Rais wenu ? Rais wenu c Dr Slaa au ni lini CDM walibadili msimamo wa kumtambua JK kama Rais??
Unaonesha una kiwango cha chini sana cha uelewa. Ile ni ofisi ya uma siyo ya chama na hawakuwa katika shughuli au mkutano wa chama bali wa mambo yanayohusiana na nchi kwa ujumla. Hata hivyo hao unaowataja hawatumii ikulu kama ikulu ya shughuli zao za chama. Kikwete kakabidhiwa ikulu kwa shughuli za uma wote sio CCM. Nenda shule usiwe na akili za kinape utachekwa!
 
Back
Top Bottom