Sasa kama hakuna Muda wa kushauriana sasa huo muda wa kumzindua huyo mgonjwa unatoka wapi? Kwa nini huo muda watakasubiri mgonjwa azinduke wasiutumie kutawanya hao wanafunzi?
kuwatoa watoto katika shule zote kwa wakati inawezekana tu kwa nchi zilizoendelea ambazo zina mifumo bora ya mawasiliano. kuna shule ngapi za chekechea hapa mjini? je shule zote zitapata taarifa kwa muda muafaka? sikatai kwamba kuwaondoa shuleni ni muhimu lakini pia kwa nafasi yako kama daktari unapaswa kufanya jambo. utafanya maamuzi yapi?
Hukuweka limit ya kutoka nje ya box... anyway.... itadepend na mume niliye naye, kama ni majanga tu ndani ya nyumba na umri umeenda lol... Rest in Peace dear husband...
Wewe umechagua kumtibu nani?
Hahahaha hebu fikiria siku ya pili yake magazeti, redio, Tv na mitandao yote inatoa habari yangu. Ninapambwa kwa kila namna, nyimbo za kunisifu huko uso wangu ukionyesha matumaini makubwa ila moyoni nateketea kwa kumkosa mke wangu, moyoni sina amani, dunia inakuwa chungu, donge limenikaa moyoni...... sina maisha tena!
Na kumponya huyo aliyezimia kwa wakati unaotatikana inawezekana tu katika nchi zilizoendelea ambazo zina mfumo mzuri wa matibabu.
haifahamiki bomu limetegwa wapi, je wataweza kuwatoa wanafunzi kila shule?
ila angalau dhamira yako itaonekana. Na kwenye kumbukumbu itaandikwa kwamba ulifanya kila uliloweza ila ilishindikana.
ila angalau dhamira yako itaonekana. Na kwenye kumbukumbu itaandikwa kwamba ulifanya kila uliloweza ila ilishindikana.
Ukioa tu mwingine unamsahau huyu .....lol
Inauma lakini ndio ukweli!
Mkuu una akili sana
Leng la kuuliza hili ni kujua maamuzi watu watakayochukua kwenye hali hii
Lakini naona wengine hawaelewi kabisa!
Achana na kuhusiana na mume sijui yukoje
Mimi nimesema kuwa ni mumeo baasi
Hebu niambie utafanyaje hapo?
Ni upuuzi. Shujaa ni yule ambaye atatoa wazo la kuwatawanya wanafunzi. Daktari hapo hawezi kuwa shujaa hata kama huyo mtu akizinduka halafu ikashindikana kuokoa maisha ya watu waliotegewa bomu.
Tatizo hunielewijibu nimekupa... itadepend na faida za huyo husband... huwez ukaamua kufanya kitu bila kukitafakari na kujipa reasons za kufanya hivyo... the problem with you hutaki plan B wala kutafakari kwanza.... it will depend.... mume akiwa kama Nicas Mtei inabidi tu nimrestishe in peace...