Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Maswali rahisi kama haya mi siyapendagi kabisa, siwezi hatarisha maisha ya mtu anae ni-keep busy for the sake of others, kwenye chumba cha upasuaji nipo mimi na nurse, the choice is simple, save the wife first! police wanaweza kuzitaarifu shule zote kusitisha masomo kwa muda cause nani anajua kama gaidi likizinduka litasema ukweli? hilo 1 but pia nani anahakika kama police wanaweza kwenda on time?
 
Mh.!huyo gaidi kwa kweli atafahamiana na bomu lake..jibu lipo wazi mke wangu kwanza hatakama kalitega kwenye mkusanyiko wa watu..,
 
Dakika 45 zinatosha kuwarudisha wanafunzi nyumbani na hakuna mtu anaeruhusiwa kukaa eneo la shule.

Hao wana usalama hawajui hata kuwaza.

Jack Bauer at work.
 
namshughulikia mgonjwa ambaye ana hali mbaya kwanza
 
Wewe unabisha kwa sababu mind yako umeipeleka kwenye kubisha. Kipi rahisi, kupiga simu au kubroadcast wanafunzi wote watoke mashuleni au kugamble na mgonjwa ambaye chances za kuzinduka only God knows.
Anyway enjoy your arguments. I am out of here.
Hayo ndiyo majibu Kaunga
mm ningekuwa Dr ningelidunga hilo Gaudi sindani liKufilie mbali niwape taarifa No More
halafu nakimbilia kwa Mke wangu

  • Huyo gaidi hawezi kupona
  • na hata akipona anaweza asitaje mahali sahihi pa hio Bomu
  • bado wakati ukimtibu ili arudi katika hali yake utakuwa chini ya ulinzi wa hao Security
  • Hata Gaidi likitamka hizo mbio za kwenda tegua Bomu kwa dk zilizobaki hazitoshi
Eiyer km mm Dr namsindikiza ahera huyo Gaidi akatajie Bomu liliko hukohuko kuzimu, watoto wote wa chekechea wataarifiwa kwa ving'ora na matangazo wakimbie dk 40 zinatosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Watoto wote nyumbani..af kwani hapo kuna hospital moja..wagonjwa ntawatawanya..
 
Hayo ndiyo majibu Kaunga
mm ningekuwa Dr ningelidunga hilo Gaudi sindani liKufilie mbali niwape taarifa No More
halafu nakimbilia kwa Mke wangu

  • Huyo gaidi hawezi kupona
  • na hata akipona anaweza asitaje mahali sahihi pa hio Bomu
  • bado wakati ukimtibu ili arudi katika hali yake utakuwa chini ya ulinzi wa hao Security
  • Hata Gaidi likitamka hizo mbio za kwenda tegua Bomu kwa dk zilizobaki hazitoshi
Eiyer km mm Dr namsindikiza ahera huyo Gaidi akatajie Bomu liliko hukohuko kuzimu, watoto wote wa chekechea wataarifiwa kwa ving'ora na matangazo wakimbie dk 40 zinatosha kabisa

Aiseee!!!!!!!
 
Mkuu bado hujaja tu na hilo jibu
tumeshindwa
nakuchagua mji hutaki

Roho yako ipo kwa Mke au Gaidi watoto wasife

Usijali mkuu.jibu linakuja kwa kuandika thread kabisa .....
Vuta subira ....!!
 
Kikawaida hata vitabu vya dini vinasema nafsi yako kwanza then vingine vinafuata for that coincidence mke anastahili kuanza kutibiwa kwa hata huyo jamaa hawezi ku recover in a provided time
 
okay.. this is what I'll do..
kwa uelewa wangu mdogo wa intelligence, nitamshauri huyo Kiongozi Mkuu kwamba bila kuwataarifu wananchi juu ya kinachoendelea(maana itasababisha hofu au public panic), awatoe wanafunzi wote katika shule zote za chekechea akizipa first priority zile shule ambazo zipo karibu na maeneo ambayo alikamatwa huyo gaidi.
kwa upande wa hospitali, mimi ndiye daktari pekee niliyopo lakini wapo nurses ambao ndiyo wasaidizi wangu, hivyo basi, gaidi will be treated by the nurses while I go to my wife. sababu za kufanya hivyo ni kwamba, gaidi amesema bomu litachukua dk 45, na mimi daktari najua nikimfanyia operation itachukua approximately 30 minutes, na kwa hali aliyonayo gaidi itamchukua muda mrefu kuamka tena na kupata nguvu za kuongea, kwahiyo hakutakuwa na faida yoyote kumwokoa gaidi kwa sababu yeye mwenyewe ameshaua watu wengi, so ni vema yule Kiongozi Mkuu afuate ushauri ili kuokoa damu za watu. kwa hiyo, nitamfanyia operation my lovely wife, na kama I'll be on time basi nitakwenda kumshughulikia na gaidi.

nadhani kwa uamuzi nilioufanya, nitakuwa nimewaokoa wenye HAKI ambao ni mke wangu na watoto wa shule za chekechea, ikitokea nikamwokoa na gaidi, sio mbaya, cause hana umuhimu kwa kuwa yeye hakuona umuhimu wa maisha yake na ya wengine kwa kujitoa muhanga.

Regards
Dr Wolf
 
kwani wakati ukiwa kazini huzimi simu...........all in all itategemea na hali itakavyokuwa........
 
Back
Top Bottom