Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,302
1,971
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
 
Huyo ndio mkeo aliyekuacha kwenye simanzi!?
Anyway hiyo ilikuwa lazima itokee single mother wa watoto wa kiume ni hatari mno kuliko kawaida yani pigo analokuja kukupa usipozikwa basi utabaki na maumivu ambayo lazima uende nayo kaburini.
Kifupi story Yako tutabaki nayo kama funzo ila kwa Sasa jua hakuna kitu utafanya.
 
-----------------------------------
NIMEMSOMESHEA WATOTO HANITAKI TENA

Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.
Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?View attachment 2988456
Ulikuwa unatoa msaada,ulikuwa unatimiza wajibu wako au ulikuwa unawekeza?
 
Haya ma-ujinga ya Facebook na makundi ya Whatsup mna-copy na ku-paste hapa kwa nini? JF walifanya makosa sana kuwezesha kila kinachopostiwa kionekane kwenye ''trending''
 
Umetoa Sadaka Endapo Hii Uliyoileta Siyo Chai
Basi Tulia Pambana Taratibu Watajibiwa Kwa Namna Nyingine
Ila Uliwaza Kusomesha Hata Kibanda Cha Mgongo Wa Tembo Huna

Nafurahi Picture Umeambatanisha Uweke Na Simu
 
-----------------------------------
NIMEMSOMESHEA WATOTO HANITAKI TENA

Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.
Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia .

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?View attachment 2988456
Wewe unastahili uchapwe viboko Kisha utengwe na kutelekezwa na Kila kiumbe hai na kisicho hai
 
Back
Top Bottom