Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

It doesn't matter kama ataamka au itashindikana,hapa tunachoangalia ni uamuzi wako baasi

Unashindwa kufikiri pia hata kama utaamua kumtibu mwenzi wako anaweza kufariki pia!

Sasa mkuu unapofanya maamuzi lazima ujiulize maswali muhimu sio tu unaangalia umuhimu wa jambo tu....lazima uangalie na mafanikio ya jambo hilo utakalochagua kulifanya ebo...
 
Simple namtibu mke wako hizo dk 30 wapige simu kwenye shule zote za chekechea na watangaze kwenye tv na kufanya evacuation
 
Kisa chenye maudhui kama haya kilimpata Jack Baurer ndani ya 24, ila yeye ndiye alikuwa anatakiwa amuamuru daktari amtibu yupi kati ya gaidi na raia mwema ambaye dakika kadhaa nyuma huyo raia mwema aliyaokoa maisha ya Jack Baurer. Ishu ilikuwa ngumu ila Jack akaona ni heri atibiwe gaidi ili maisha ya wengi yalindwe na hivyo ndivyo ambavyo hata mimi ningefanya. (mh nafsi yangu inanisuta)
 
Moja,kinachotkiwa hapa ni uamuzi sahihi na sio kingine
Pili,tangu aseme kuwa bomu litalipuka baada ya dakika 45 hadi amefikishwa hospital tayari muda unakwenda,utaweza kuwaondoa watoto kwenye shule zote kwa muda huo?

Inaonekana unaogopa utakachokiamua hapa binti!

Siogopi mkuu..... the thing ni kuokoa roho za watoto, haimaanishi Doctor ndie anapaswa kwenda chekechea kuokoa, yeye anapaswa kumtibu mgongwa na aamke before 45 minutes jambo ambalo hakuna mwenye uhakika kama ataamka ama la... asipoamka ina maana utakua umepoteza mkeo, watoto na jambazi...lazima kuwe na plan B kuwa jamaa asipoamka uamuzi gani utachukuliwa?
Kuwaondoa watoto kwenye hizo shule haiwezekani?
 
Loooh, tamthilia hii inanikumbusha mbali, enzi za Shaban Robert, Chinua Achebe, Faraji H H Katalambula, Alex Laguma, David Mailu, Elvis Musiba etc etc
 
Sasa mkuu unapofanya maamuzi lazima ujiulize maswali muhimu sio tu unaangalia umuhimu wa jambo tu....lazima uangalie na mafanikio ya jambo hilo utakalochagua kulifanya ebo...

Hapa kuna uamuzi sahihi na usio sahihi

Ule ulio sahihi ni ule wenye manufaa kimantiki

Sasa niambie kama kuna wakati wa kujiuliza kama unachojiuliza kiko sahihi au laa kwenye situation hiyo

Mafanikio yanajulikana kuwa ni kuokoa maisha,either ya mwandani wako au ya watoto huko shule!
 
Kisa chenye maudhui kama haya kilimpata Jack Baurer ndani ya 24, ila yeye ndiye alikuwa anatakiwa amuamuru daktari amtibu yupi kati ya gaidi na raia mwema ambaye dakika kadhaa nyuma huyo raia mwema aliyaokoa maisha ya Jack Baurer. Ishu ilikuwa ngumu ila Jack akaona ni heri atibiwe gaidi ili maisha ya wengi yalindwe na hivyo ndivyo ambavyo hata mimi ningefanya. (mh nafsi yangu inanisuta)

Umenikumbusha mkuu

Kwanini roho inakusuta mkuu?
 
Hapa kuna uamuzi sahihi na usio sahihi

Ule ulio sahihi ni ule wenye manufaa kimantiki

Sasa niambie kama kuna wakati wa kujiuliza kama unachojiuliza kiko sahihi au laa kwenye situation hiyo

Mafanikio yanajulikana kuwa ni kuokoa maisha,either ya mwandani wako au ya watoto huko shule!

Usahihi tunaangalia matokeo ya kle utakachofanya
 
Huyo mgonjwa wa bomu unaweza kumfanyia upasuaji na akafa vile vile... the only soln ni kutoa watoto wote shule zote za chekechea haraka coz hata akipona na kusema liko sehemu fulani, ishu si kuwaondoa watoto tu? ama mtaanza kutoa na matofali na meza? watoto watolewe chekechea zote na mke atibiwe wakati kaz za kutoa watoto zikifanywa na wanajesh... huyo jambaz atakuwa next kama israel hajampitia...

kuwatoa watoto katika shule zote kwa wakati inawezekana tu kwa nchi zilizoendelea ambazo zina mifumo bora ya mawasiliano. kuna shule ngapi za chekechea hapa mjini? je shule zote zitapata taarifa kwa muda muafaka? sikatai kwamba kuwaondoa shuleni ni muhimu lakini pia kwa nafasi yako kama daktari unapaswa kufanya jambo. utafanya maamuzi yapi?
 
Siogopi mkuu..... the thing ni kuokoa roho za watoto, haimaanishi Doctor ndie anapaswa kwenda chekechea kuokoa, yeye anapaswa kumtibu mgongwa na aamke before 45 minutes jambo ambalo hakuna mwenye uhakika kama ataamka ama la... asipoamka ina maana utakua umepoteza mkeo, watoto na jambazi...lazima kuwe na plan B kuwa jamaa asipoamka uamuzi gani utachukuliwa?
Kuwaondoa watoto kwenye hizo shule haiwezekani?

Usiende nje ya box

Unatakiwa ubaki kwenye maamuzi ya utakachochagua hapo na sio kitu kingine

Ungechagua kumtibu yupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom