Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Bahati nzuri mi sio daktari, na bahati nzuri zaidi sina mtoto anayesoma chekechea.

Mi nna bahati kama nyau walah.
 
Nitamtibu Mr,hao wana usalama nitawashangaa kama hawajatoa watoto kwenye nursery school zote mpaka muda huo wanasubiri kauli ya mtu aliye mahututi ambaye hata akirejewa fahamu anaweza asikumbuke chochote!!
 
umbuje wa hommie, dk 45 zinatosha kutoa watoto katika nursery schools zote za Kinondoni.

Balaa linakuja unamtibu gaidi, bado dk 5 bomu lilipuke ndo anazinduka.

Nikiwa daktari, ntamtibu mke wangu. Hao wenye watoto nursery sikuwalazimisha wasioe/olewe na madaktari.
 
Hiyo ni profession yao hommie wake umbuje,watajua wajigawe vipi na ikibidi wa outsource TMK na Ilala waokoe watakavyoweza.
Kama ile ilyotegwa ikiangukia kuwa ya mwisho kwenye list na wakashindwa kuifikia ndio basi tena,sie wenye imani zetu tunasema ahadi yao ilifika na alipangalo Mungu binadamu hapangui!!!
 
Tuchukulie kuwa wewe ni daktari mkuu wa eneo fulani na upo kwenye ndoa

Siku moja ukiwa kazini unasikia habari za kigaidi eneo husika kuwa kutokana na habari za kiintelijensia kuna mahali limetegewa bomu na inasemekena ni eneo na mkutanyiko wa watu wengi ila hawajui ni wapi,lakini baada ya muda mfupi unapokea simu kutoka kwa kiongozi mkuu wa eneo husika kuwa wanausalama wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja ambae anahusika na njama hizo za kigaidi na katika harakati za wanausalama kumkamata walimjeruhi sehemu za kifuani na amevuja damu sana na alikuwa amekubali kuwatajia eneo bomu lilipotegwa na alikuwa amesema kuwa ni shule moja ya chekechea

Lakini kabla ya kuitamka ni shule gani akawa amepoteza fahamu na alisema kuwa bomu hilo litalipuka baada ya dakika 45 hivyo wanakimbizana na muda na yupo njiani na mkuu alitaka wewe uendeshe zoezi la kumtibu na kumrudishia fahamu ili aitaje shule husika lilipotegwa bomu ili likateguliwe na kusalimisha maisha ya watoto hao

Lakini wakati unakata simu unapokea simu nyingine ikikujulisha kuwa mwenzi wako wa ndoa [mke/mume] amepata ajali mbaya sana na yupo njiani kuletwa hapo kazini kwako [hospital] kwaajili ya matibabu na unajulishwa kuwa hali yake sio nzuri kabisa

Kwa bahati sijui mbaya au nzuri wagonjwa wote hawa wawili wanafika hospital kwa pamoja na kwa kuwatazama unaona wote wako mahututi na kwa namna ambayo wameumia ni lazima wapelekwe "thieta" kwa upasuaji na kibaya zaidi daktari bingwa wakufanya hiyo kazi uko peke yako hakuna mwingine

Lakini kikubwa zaidi huwezi kuwafanyia wote kwa pamoja,yaani ni lazima uanze na mmoja na maamuzi yoyote yale utakayofanya utakuwa unahatarisha maisha au uhai wa mmoja kwa namna wote walivyojeruhiwa na matukio yao

Sasa hebu niambie,kama wewe ndio daktari huyu utachagua kumhudumia mgonjwa gani hapa?

Nijibu halafu nitakuja kuwapa sababu ya kuleta hiki kisa hapa ..........
Mtambuzi nakusalimu popote ulipo ......!!

mkuu swali lako nahisi kama nimelielewa sana, wachangiaji wengi sana wamekwenda kinyume n mawazo yako labda nisaidie hivi kwa wachangiaji wengine, ishu hapo ni wewe kuvaa uhusika kama daktari tu usitoe mawazo mengine sijui watoto watolewe kwenye mashule hapana unachotakiwa kufanya hapo n kuchagua nani utakaeanza kumtibu tu, bilashaka hili ndokusudi la mleta mada. bilashaka kuna kitu kizuricha kujifunza kutoka kwa mleta madatunasubiri jibu lako, mimi ntamtibu gaidi kuokoa maisha ya kizazi kicho.
 
nitamtibu yule tu atakayefika zaid ya mwenzie, sitaki kuamin kuwa watafika pamoja kwan hawakutoka sehem moja
 
Bahati nzuri mi sio daktari, na bahati nzuri zaidi sina mtoto anayesoma chekechea.

Mi nna bahati kama nyau walah.

hahaaaa! Mkuu umenichekesha sana! Unabahati kweli yani kwenye huu msala hakuna liliokugusa!
 
mkuu swali lako nahisi kama nimelielewa sana, wachangiaji wengi sana wamekwenda kinyume n mawazo yako labda nisaidie hivi kwa wachangiaji wengine, ishu hapo ni wewe kuvaa uhusika kama daktari tu usitoe mawazo mengine sijui watoto watolewe kwenye mashule hapana unachotakiwa kufanya hapo n kuchagua nani utakaeanza kumtibu tu, bilashaka hili ndokusudi la mleta mada. bilashaka kuna kitu kizuricha kujifunza kutoka kwa mleta madatunasubiri jibu lako, mimi ntamtibu gaidi kuokoa maisha ya kizazi kicho.

Asante sana mkuu na ningekuwa na uwezo ningekupa LIKE hata 100
Ubarikiwe sana!
 
Nitamtibu Mr,hao wana usalama nitawashangaa kama hawajatoa watoto kwenye nursery school zote mpaka muda huo wanasubiri kauli ya mtu aliye mahututi ambaye hata akirejewa fahamu anaweza asikumbuke chochote!!

Soma mada uelewe ......!!
 
hahaaaa! Mkuu umenichekesha sana! Unabahati kweli yani kwenye huu msala hakuna liliokugusa!

Mkuu nakushauri usiwe na mahusiano na madaktari ili ukwepe haya makitu. Na mwanao usithubutu kumpeleka chekechea ili kuyakwepa magaidi... ukifanikiwa hayo kunywa bia kwa wingi kwakuwa utakuwa umeyashinda majaribu.
 
Mkuu hata kwenye usafiri wa ndege tuna sistizwa sana wakati wa dharura kwanza ujisaidie wewe wengine watafwata, so mimi ntamsaidia mke wangu kwanza.
 
Tangazo litolewe watoto wote mashuleni warudi makwao then utaweya kumuhudumia mkeo
 
Back
Top Bottom