Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

Nitampokea mke wangu na kumpeleka Thieta, huyo Jambazi nitawashauri Polisi waachane naye ila wahakikishe wamewatoa watu kwenye shule zote za Chekechea za hilo eneo.......
 
Aa wapi... hizo principles huko huko... mke wangu kwanza

hahaha.... does a fair procedure justify the results?....btw what are the fundamental rights your wife is having?
 
hahaha.... does a fair procedure justify the results?....btw what are the fundamental rights your wife is having?

When you are talking of my wife you are talking of me. For this matter I can't let "me" die just for the sake of others...
 
When you are talking of my wife you are talking of me. For this matter I can't let "me" die just for the sake of others...

in which sense!!....genetically?....blood?...or are you connected to your wife via the number of children you have?....tuko bwana!!...ulishawahi kusikia/kwenda hospitali kumpeleka mtoto/mke wako anaumwa kisha ukafika hospital wakati uko kwenye folen akaja mgonjwa mahututi zaid ya mtoto/mke wako na wewe ukaruhusu kwanza ahudumiwe huyu mgonjwa mahututi aliyekuja hapo maana hali yake ni mbaya??...
 
who told u anaded??

kwanini uangalie jamii kwenye maamuzi yko?
kwa upande wangu ninemwacha MUNGU ndiye angenilindia

Haya bana .......

Nimekusoma!
 
Enzi hizo tulikuwa tunapewa assignment ya kusoma aya katika kitabu cha mtunzi wa kiafrika (African Writers) halafu munaandaa onyesho. Basi mambo yalikuwa ni kujipanga vizuri tu na kutekeleza.

Umeelewa nilichokuuliza?
 
Kama huyo daktari ni UKAWA atamtibu kwanza huyo jamaa aliyejeruhiwa na bomu ili ataje shule, si unajua UKAWA umma kwanza mimi baadaye. lakini kama ni INTERAHAMWE atamtibu kwanza mkewe, si unajua, sisi kwanza wao baadaye!
Mmimi nakuuliza wewe

Ungefanyaje?
 
OOOhhh u are wrong nakubaliana na Khantwe hawezi kufukuzwa kazi kwanni uangalie hisia??unafanya kazi kutokana na sheria zake.lazima gaid atibiwe ili tuokoe maisha ya walio wengi mke/mume atafuata mkuu

mkuu Eiyer kumbuka simu ya kwanza uliopokea ilikuwa ya watu wa usalama kwa ajili ya gaid

je kwann uanze kumtibu mkeo???

Sawa na sikusema unachodha nilisema .....

Soma upya!
 
Eiyer kwenye hili naomba niwe msomaji maana sijajua kitaaluma daktari atafanya kazi kwa utashi wake au atafanya kwa utashi wa usalama wa taifa. Kumbuka linapokuja swala la usalama wa taifa familia haina nafasi na ndiyo maana wapiganajia wanaweza wasizike wa kwao kwa sababu ya kulinda usalama wa taifa..........
 
It doesn't matter kama ataamka au itashindikana,hapa tunachoangalia ni uamuzi wako baasi

Unashindwa kufikiri pia hata kama utaamua kumtibu mwenzi wako anaweza kufariki pia!
wakati mwingine ili kutoa maamuzi sahihi, lazima kuangalia probability in two sides, nilicho comment mimi ni kuwa hata kama utadili na huyo mgonjwa gaidi, it wont work a thing due to the hali halisi. OK if you need my opinion, i will serve my spouse, not because i love her, its because of probability. Even if i choose to serve the dude, it wont work.
 
Ingekua mm ndo doctor ningemshauri mkuu wa polisi watoe alert kwa shule zote za chekechea ziwe evacuated effective immediately while i am busy trying to revive the thug atleast azinduke na kutoa informations ambazo ni nyeti katika usalama wa taifa. Mke wangu (in this case mume wangu) ningekubali tu afe coz i know i'ld be saving a lot more lives by letting her die and save the thugs life. Na pia nikifanikiwa kumtibu huyo jambazi na akapona atakua ni asset kubwa kwa usalama wa taifa coz watamtumia kupata njamaa zinginezo za kuiteketeza nchi. That is what we call making sacrifices.

Nilichotaka kwako sio msaada wa mawazo kuhusiana na tukio bali ni kuwa wewe ni daktari na umejikuta kwenye hali hiyo

Utafanyaje?
 
wakati mwingine ili kutoa maamuzi sahihi, lazima kuangalia probability in two sides, nilicho comment mimi ni kuwa hata kama utadili na huyo mgonjwa gaidi, it wont work a thing due to the hali halisi. OK if you need my opinion, i will serve my spouse, not because i love her, its because of probability. Even if i choose to serve the dude, it wont work.

Are you sure it won't work?
 
Eiyer kwenye hili naomba niwe msomaji maana sijajua kitaaluma daktari atafanya kazi kwa utashi wake au atafanya kwa utashi wa usalama wa taifa. Kumbuka linapokuja swala la usalama wa taifa familia haina nafasi na ndiyo maana wapiganajia wanaweza wasizike wa kwao kwa sababu ya kulinda usalama wa taifa..........
Bila hata kusema msimamo wako tayari nimeshajua uamuzi wako........!
 
Nitampokea mke wangu na kumpeleka Thieta, huyo Jambazi nitawashauri Polisi waachane naye ila wahakikishe wamewatoa watu kwenye shule zote za Chekechea za hilo eneo.......

Jambazi sawa,lakini lina taarifa ambazo zitaokoa watoto wengi!
 
bomu linalipuka baada ya dk 45 na mgonjwa kapoteza fahamu,afanyiwe upasuaji ili aseme bomu lilipo.ataamka muda upi? upasuaji dakika ngapi? hawi sedated?.....mgonjwa wa bomu acha tu afe kwani muda hauruhusu.ukimsaidia wa bomu dk 45 zitaishia kwenye upasuaji na mkeo atakufa na bomu litalipuka.
kula tano, mimi mwenyewe nilitaka kuandika hvyohvyo, maana op si chini ya lisaa limoja
 
Back
Top Bottom