Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Mkuu nilikosa piriton nikawapa LIGABA walikufa Hadi kwa jirani nikapata nguvu na kutega Shambani walikufa wa kutosha nikasalimisha mahindi yangu.
Chief iyo ligaba yapatikana famasi au kwa hawa wauzaji wa mtaani
 
Mkuu nilikosa piriton nikawapa LIGABA walikufa Hadi kwa jirani nikapata nguvu na kutega Shambani walikufa wa kutosha nikasalimisha mahindi yangu.
Ligaba likoje mkuu umeniacha njiapanda
 
Je, umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?

Je, umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?

Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;

Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho.

Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa.

Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili.

Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu.
Aiseee !! kwahiyo kumbe nchi yenu dawa zinauzwa kwa yeyote tu karanga ?
 
Aisee kwangu wako wengi sana ila wanatoka nje. Mchana huwaoni ila usiku dah! Wamekula koti langu la maana sana.
 
Mkuu aheri kutumia "Mouse glue traps " kuliko sumu, mara inamfanya kama Teja yaani anakufa kwa taabu tupu "Kuna nchi kuua panya bila kibali ni kosa kama kuua mnyama wa porini bila kibali.
hilo gundi bei yake nikuanzia shilingi 2000 nakuendelea na linakamata Panya 3 au 4 ukipiga hesabu kati ya Panya 4 kila mmoja utakua umemuua kwa shilingi 500, kwa usawa huu naona kama hasara!!
 
Panya sumbawanga tunawala kama kitoweo wewe unasema tuwaue kwa sumu!
 
Ahhh aseeh kwenye sabufa yangu pale kweny lile tobo aliingia nikiwa namuona kabisa ilikuwa mchana basi ilikuwa on nikaweka bluetooth nikatafuta nyimbo yenye mdundo wa maana alafu nikaongezaaaa sauti volume hadi mwisho nikapita kinyuma nyuma nikaziba kwa haraka lile tundu na nguo kisha nika play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchangamsha niliplay nyimbo tano zenye mdungo mkubwa kisha nikatoa tambara alitoka anatembea kama mlevi nikamalizia kuua saafi

Mkuu nimekumbuka hii stori yako ikabidi niitafute maana na mimi imenitokea leo.

Jioni hii mida ya saa mbili mbili nimekaa zangu sebuleni nacheki movie nimalizie easter, mara nikasikia panya anakukuruka ndani ya kochi nililokalia! Huyu panya ameshanisumbua mda mrefu hua namuona anakatiza spidi ila nikimtafuta ana dissappear katika mazingira ya kutatanisha. Zaidi ya mara tatu ameshaniponyoka. Sasa leo niliposikia kukuru kakara nikapigapiga kochi kwa pembeni mara namuona huyo kachomoka nduki kali sana. Kumuangalia vizuri nikaona kaenda kwenye sabufa na akatumbukia kwenye kale kashimo.... nikatabasam baada ya kukumbuka huu uzi!!😀😀😀

Kwakua ni usiku nikaona nisifungulie muziki, nikaziba kile kitundu kisha nikabeba sabufa mpaka kwenye chumba kimoja ambacho hakina kitu ndani. Basi nilichofanya ni kuitikisa ile sabufa kwa nguvu kama dakika moja kisha nikaiweka chini nikafunua kale kashimo. Panya kachomoma nduki, lahaulaaa akakuta hana pa kujificha, yupo uso kwa uso na jitu linalotisha lenye fimbo ya ufagio mkononi! Kilichofuata hapo ni mtanange wa kukata na shoka, patashika nguo kuchanika na mpaka mwisho wa pambano, mimi 1 panya 0!

Nikamtoa na kumtupa nje kishujaa, nikarudi zangu kuendelea kucheki muvi kama vile hakuna kilichotokea. Hata dakika tano hazijapita, nikashangaa chini ya lile kochi kachomoka panya mwingine mkubwa mara mbili ya yule, nae nduki kali! Kumbe hua wako wawili!! Kumuangalia tena, nae akazama kwenye tundu lilelile la sabufa! Nikatabasamu tena, na mchezo ukawa ni ule ulee...!!! 😂😂😂😂😂 Huyu wa pili kanipeleka mperampera balaa, panya anaruka anatembea kwenye ukuta kama bruce lee, almanusura anitoe knock out. Ila bahati haikua yake, kwani mpaka mwisho wa pambano, mimi 2 panya 0.
 
Mkuu nimekumbuka hii stori yako ikabidi niitafute maana na mimi imenitokea leo.

Jioni hii mida ya saa mbili mbili nimekaa zangu sebuleni nacheki movie nimalizie easter, mara nikasikia panya anakukuruka ndani ya kochi nililokalia! Huyu panya ameshanisumbua mda mrefu hua namuona anakatiza spidi ila nikimtafuta ana dissappear katika mazingira ya kutatanisha. Zaidi ya mara tatu ameshaniponyoka. Sasa leo niliposikia kukuru kakara nikapigapiga kochi kwa pembeni mara namuona huyo kachomoka nduki kali sana. Kumuangalia vizuri nikaona kaenda kwenye sabufa na akatumbukia kwenye kale kashimo.... nikatabasam baada ya kukumbuka huu uzi!![emoji3][emoji3][emoji3]

Kwakua ni usiku nikaona nisifungulie muziki, nikaziba kile kitundu kisha nikabeba sabufa mpaka kwenye chumba kimoja ambacho hakina kitu ndani. Basi nilichofanya ni kuitikisa ile sabufa kwa nguvu kama dakika moja kisha nikaiweka chini nikafunua kale kashimo. Panya kachomoma nduki, lahaulaaa akakuta hana pa kujificha, yupo uso kwa uso na jitu linalotisha lenye fimbo ya ufagio mkononi! Kilichofuata hapo ni mtanange wa kukata na shoka, patashika nguo kuchanika na mpaka mwisho wa pambano, mimi 1 panya 0!

Nikamtoa na kumtupa nje kishujaa, nikarudi zangu kuendelea kucheki muvi kama vile hakuna kilichotokea. Hata dakika tano hazijapita, nikashangaa chini ya lile kochi kachomoka panya mwingine mkubwa mara mbili ya yule, nae nduki kali! Kumbe hua wako wawili!! Kumuangalia tena, nae akazama kwenye tundu lilelile la sabufa! Nikatabasamu tena, na mchezo ukawa ni ule ulee...!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu wa pili kanipeleka mperampera balaa, panya anaruka anatembea kwenye ukuta kama bruce lee, almanusura anitoe knock out. Ila bahati haikua yake, kwani mpaka mwisho wa pambano, mimi 2 panya 0.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hilo gundi bei yake nikuanzia shilingi 2000 nakuendelea na linakamata Panya 3 au 4 ukipiga hesabu kati ya Panya 4 kila mmoja utakua umemuua kwa shilingi 500, kwa usawa huu naona kama hasara!!
Kuua panya mmoja kwa 500 kweli hii ni hasara. Ngoja nami nitumie Piriton, Indocid.
Anaejua sumu nzuri kwa ajili ya paka shume anijulishe tafadhali yamekula sana vifaranga wangu.
 
Mkuu unauwa panya? hao sio kitoweo kule mahala fulani?

Mimi nataka dawa ya kuwaondoa nyoka maeneo ya hom (nimechomekea kdogo😃😃)
 
Back
Top Bottom