Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,145
- 4,714
Panya wa Dar wengi wanaijua mitego, baada ya kuligundua hilo huwa nanunua visamaki halafu nachanganya na sumu baada ya hapo nafunga kama nimeficha.
Hapo akili yao inajua nimeficha chakula changu ndo navyowapukutisha, uswahilini ukitega panya wengine watakufa huko nyumba ya 5.
Hapo akili yao inajua nimeficha chakula changu ndo navyowapukutisha, uswahilini ukitega panya wengine watakufa huko nyumba ya 5.