Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Ahhh aseeh kwenye sabufa yangu pale kweny lile tobo aliingia nikiwa namuona kabisa ilikuwa mchana basi ilikuwa on nikaweka bluetooth nikatafuta nyimbo yenye mdundo wa maana alafu nikaongezaaaa sauti volume hadi mwisho nikapita kinyuma nyuma nikaziba kwa haraka lile tundu na nguo kisha nika play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchangamsha niliplay nyimbo tano zenye mdungo mkubwa kisha nikatoa tambara alitoka anatembea kama mlevi nikamalizia kuua saafi
Yesu na Mariamu 🤣🤣🤣
 
Tatizo la hizi sumu za panya, hujui panya ameangukia wapi mpaka zipite siku kadhaa kunaanza kunuka, shughuli ni pale kwenye kusogeza vitu ili kumtafuta alipoangukia huyo panya
 
Huu uzi huwaga unanichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Panya ni mjanja mnoo mnoo kuliko hata tunavyodhani afu ana roho mbaya balaa, badala afate misosi misosi asepe lenyewe linakutafunia nguo, sofa anakata kata manyaya za redio, TV yaan mshenzi asee
 
Huu uzi huwaga unanichekesha sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Panya ni mjanja mnoo mnoo kuliko hata tunavyodhani afu ana roho mbaya balaa, badala afate misosi misosi asepe lenyewe linakutafunia nguo, sofa anakata kata manyaya za redio, TV yaan mshenzi asee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unachekesha sijui unajichekesha! Maana umeambiwa duka la dawa za binadamu wewe unajua gulioni
 
Panya watanifirisi dukani kwangu, huu uzi labda utanisaidia[emoji24]
 
Indocid kwa sasa hazipatikani sana madukani. Valium ni nzuri sana, akila zinafanya mfumo wa upumuaji kusinyaa soo wanakufa, tatizo ukitega alafu akala mbwa, naye utampoteza.
Asante kwa taarifa laii Nasumbuliwa Sana na paka wa mbibi mmoja mchawi, kila siku usiku wanapenya kwenye fensi na kuja kulia Lia kwangu.
Dose kwenye samaki niweke ngapi? Je Valium Ina harufu wasije wakastuka.
 
Mmoja aliingia kwenye mfuko wa suruali akatafuna mfuko,mwingine alikula nyanya chungu nikasema huyu sasa mlafi kupitiliza.Mwingine alitafuna kopo la plastiki la sukari
Sasa hivi wamehamia kwa jirani,yeye anachoma chapati na maandazi.
 
Wakuu hapa nipo macho mida hii nimesikia panya kaingia kwenye woofer ya sony ht rt3 anakula vitu vitu humo.Sijui namtoaje aisee redio yangu maskini.Panya ni washenzi
 
Back
Top Bottom