Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

Kiumbe dhaifu hakiwezi hata kuzuia haja akipata amueba tumbo likamvuruga vizuri lakini anataka ahoji kuhusu uumbaji wa MUNGU.
Ukiskia mdomo uliponza kichwa ndo kama hii..
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yani mtoa mada unaujuaji mwingi.

Wapo watu kibao walikuwa na uvimbe unaoneekana wakaombewa na wakapona, wapo vipofu, viziwi vilewa wenye miguu mifupi wakaombewa na wakapona kuwa sawa asa unasemaje huwa tunakimbilia vitu visivyoonekana.

Unasema watu wa dini ndo wanamatatizo mengi kuliko nyie msioamin, by the way ww ndio unamatattizo makubwa na mengi kuliko wanaoamini sema tu ww huyaon hayo matatizo yako umefungwa ndo mana unaona kama huna mamttzo.

Nakushauri tu shika sana ulichonacho usiyumbe yumbe boss...
 
Wewe ni Sawa na Mtoto mdogo ambae yupo tumboni Kwa mama Ake. Mtoto mdogo ambae yupo tumboni Kwa mama ake huwaga hajui Wala hatambui kama mama ake ana exist. Lakini mtoto huyo anakula kupitia mama ake, anakunywa kupitia mama Ake, anavuta hewa kupitia mama Ake, anakaa vizuri tumboni Kwa Sababu mama ake ana take precautions zote kama vile kufanya mazoezi nakadhalika,analindwa na mama ake etc.

Siku utakayo toka "tumboni mwa mama ako" ndio siku utakayo tambua kumbe Mungu yupo.
 
Yani mtoa mada unaujuaji mwingi..

.

Nakazia
 
Mtoa mada wewe akili zako ni Sawa Na akili za kinyago.

Kinyago hakijitambui kama kipo Wala hakimjui alie kichonga.
 
Unaamini uchawi ila huamini Mungu

Ni sawa na useme unaamini spiderman yupo ila huamini unicorn kuwa yupo
 
Yani mtoa mada unaujuaji mwingi..
Wapo watu kibao walikuwa na uvimbe unaoneekana wakaombewa na wakapona, wapo vipofu, viziwi vilewa wenye miguu mifupi wakaombewa na wakapona kuwa sawa asa unasemaje huwa tunakimbilia vitu visivyoonekana.
Nina uhakika hukushuhudia,hizi ni story za vijiweni ulisimuliwa.
 
Wewe ni Sawa na Mtoto mdogo ambae yupo tumboni Kwa mama Ake. Mtoto mdogo ambae yupo tumboni Kwa mama ake huwaga hajui Wala hatambui kama mama ake ana exist. Lakini mtoto huyo anakula kupitia mama ake, anakunywa kupitia mama Ake, anavuta hewa kupitia mama Ake, anakaa vizuri tumboni Kwa Sababu mama ake ana take precautions zote kama vile kufanya mazoezi nakadhalika,analindwa na mama ake etc.

Siku utakayo toka "tumboni mwa mama ako" ndio siku utakayo tambua kumbe Mungu yupo.
Kama hujawahi kumshuhudia huyo Mungu wako, usilete porojo.. hauta make any sense.
 
Utafika mda wa taabu na majuto makuu ya kile ulichofanya pamoja kushuhudia kam ulichoandika lakin mda utakua umekuacha mbali Sana. Kijana kibri cha uzima ni cha muda mfupi tu.

Alaf unaweza toa ushahidi wa uchawi hapa? watu wote tulio against na wew tushuhudie kwa macho ya nyama.
 
Nyie wote(mtoa mada na wachangiaji) ni wajinga(sio tusi). Kitu cha kuamini bila evidence nyie mnatafuta kukiprove, karagabahoo!!!
 
Mimi kinacho nichosha ni mungu wao alivyo na hasira yani anaroho mbaya sijapata ona imagine anakuchoma moto na kukuachia laana hapa duniani mpaka kizazi cha 4.

Pata picha mungu wao watu wa dini anawapa mali wasio mpenda huyo mungu lakini wanaompenda mungu hawapi pesa wala mali. Watu wa dini wanapewa adhabu kali magonjwa na umaskini lakini watu wasiokuwa na mungu wana ishi vizuri sehemu kali kama masaki mbezi beach mikocheni nk.
 
Back
Top Bottom