Hapo chacha!Hapo hapo kwa elimu na afya ulaya....hiyo huduma si kwa bima! Na kwa aliyeajiriwa?
Je mbeba box anaweza kumudu?
Hapo chacha!Hapo hapo kwa elimu na afya ulaya....hiyo huduma si kwa bima! Na kwa aliyeajiriwa?
Je mbeba box anaweza kumudu?
Yani umeongea ujinga chakula z very cheap kama tz na bia ndo kabisa bureUnakuta mtu anakataa kuosha vyombo tanzania , lakini akienda juu anaosha tena anakwangua na ukoko kabisa , tatizo huko juu pesa unaona kubwa ukibadili kuja pesa za kibongo lakini unashindwa kujua kua matumizi na gharama ya maisha huko iko juu sana pesa unayotumia juu kula , ukilinganisha na bongo ni pesa ya Msosi wa tajiri ,lakini huko unapata chakula kibovu tu , alafu code huko haukwepi na bills nyingi sana , kuna watu waliokwenda juu wakarudi wakijua watakuja kupagawisha hapa , wakakuta wa nyumbani wamefanya vitu kufuru , mpaka wakasema kwel huko wamekwenda kuzurura tu.
Acha uongo yani hiko chumba €2000 umepanga pale champ d'esley Paris au la defence au center kabisa ya capital. Room zinafika mpaka 700€ ila 2000 mzee baba ndo tuseme umepanga posta mpyaYaani wabongo full kudanganyana wanapigia hesabu mishahara ya ulaya kwa matumizi ya kibongobongo waende ulaya wakakutane na apartment ya chumba kimoja euro 2000 huku mshahara wako kwa mwezi ni euro3000 hpo bado hujala na takataka nyinginezo
Soko la apartment ulaya now lipo saturated kuna bei za kipuuzi sana na ukienda kukaa mbali na mji cost za usafiri zitakigharimu sanaAcha uongo yani hiko chumba €2000 umepanga pale champ d'esley Paris au la defence au center kabisa ya capital. Room zinafika mpaka 700€ ila 2000 mzee baba ndo tuseme umepanga posta mpya
Miezi nane ndio unajidai kuzungumzia maisha ya Ulaya? Watu kama nyinyi ndio mnapotosha watu.Germany berlin miezi 8
Bima kila mtu lazima awenayo ukiajiliwa tu kampuni inakulipia bima bila bima utafilisika ukiumwa kulazwa siku moja tu inachukua mshahara wako wa mwezi kama huna bimaHapo hapo kwa elimu na afya ulaya....hiyo huduma si kwa bima! Na kwa aliyeajiriwa?
Je mbeba box anaweza kumudu?
Acha kulisha watu sumu, mimi nimefanya sana kazi 12 hour-shift. Ina 1hr unpaid break na two-half hour paid break. Jumla unslipwa 11hrs kwenye well known Car Assembly Plant paid £14/hour.Hauruhusiwi kufanya kazi masaa 10.. Hapo kuna kodi hiyo $10 utapata $8.5 hivi bado kuna gharama nyingi nyingi ulaya ukiwa na professional ndo utafaidi ila nguvu kazi utataabika though sio kama bongo
Mi nazungumzia Germany sijui kwa kwini kipoje ila mnadanganyana huko sio kama tbs magumashi uhai wa mtu ni muhimu kila kitu kimeshapigiwa hesabuSasa two weeks kidogo? Hio two weeks ni wapi, dukani au kwenye distribution centre yao au nchi wanayotoka kuja UK?
Naked truth...Ulaya itabaki kuwa ulaya na Africa itabaki kuwa africa.... ni makosa makubwa sana kufananisha Ulaya na Afrika
Sasa si kuna tiketi ya mwezi labda wewe hukujua machimbo na ulaya tiketi unalipwa na kampuni mi sijui unazungumzia ulaya ya wapiSoko la apartment ulaya now lipo saturated kuna bei za kipuuzi sana na ukienda kukaa mbali na mji cost za usafiri zitakigharimu sana
Nchi gani.. Kwa wiki unaruhusiwa fanya kazi maximum 48hrsAcha kulisha watu sumu, mimi nimefanya sana kazi 12 hour-shift. Ina 1hr unpaid break na two-half hour paid break. Jumla unslipwa 11hrs kwenye well known Car Assembly Plant paid £14/hour.
Ok.....mkuu nazungumzia kwa hawa walioenda tu bila kazi ....yaan aliyejilipua kufika kule mara masaa mawili kaosha vyombo kalipwa kasepa, lisaa kazungusha magazeti mtaan, kufagia barabara na kadhalika! Sasa ndo nauliza watu kama hao akiumwa inakuwaje anajigharamia or? Coz hana contract mahali maalum!Bima kila mtu lazima awenayo ukiajiliwa tu kampuni inakulipia bima bila bima utafilisika ukiumwa kulazwa siku moja tu inachukua mshahara wako wa mwezi kama huna bima
Ni hatari sana hiyo kazi ambazo huchangii social security ni kujiua tuu maana final ni uzeeni ukiwa na social security unapata mpunga kama huna kazi na ukiamua kusepa unaondoka na mtaji wako kuja kufaidi tz. Ulaya mipango though sio rahisi ila ni better than bongo sina hamu na bongo kidogo nichanganyikiwe elimu unayo na kazi hamnaOk.....mkuu nazungumzia kwa hawa walioenda tu bila kazi ....yaan aliyejilipua kufika kule mara masaa mawili kaosha vyombo kalipwa kasepa, lisaa kazungusha magazeti mtaan, kufagia barabara na kadhalika! Sasa ndo nauliza watu kama hao akiumwa inakuwaje anajigharamia or? Coz hana contract mahali maalum!
Mbeba box mstaafu le mutuz uwa anawakebehi sana wabeba box wenzie kule instagramMuulizeni Le Mutuz hana hamu na Ulaya/Marekani
Watu wanapiga hadi 80Nchi gani.. Kwa wiki unaruhusiwa fanya kazi maximum 48hrs
Kumbe tukiwa ulaya msemo wa 'kazi ni kazi bora mkono uende kinywani' una maana sana kuliko huku kwetu,maana hizo kazi ulizozitaja hapo mkuu huku kwetu wanafanya watu wenye elimu ndogo sana,lakini cha ajabu ukiwa ulaya wanaofanya kazi hizo unaweza kukuta ana masters degree n.k.....Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour dailyPart time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa
Nikujitesa tuuWatu wanapiga hadi 80
Inategemea na masters gani kama umesoma mambo ya arts itakula kwako ulaya maana wazungu ndo course zao ila kama umesoma mambo ya science hutokuja fanya huo upuuzi mshahara unakutosha computer scientist tuu anaalipwa 3000€ baada ya kodi ukiwa jembe unagonga 6000€ mwezi na hapo social security yako ipo juu ukiacha kazi unapigwa kama 75%-90% ya mshahara wako kipindi unatafuta kaziKumbe tukiwa ulaya msemo wa 'kazi ni kazi bora mkono uende kinywani' una maana sana kuliko huku kwetu,maana hizo kazi ulizozitaja hapo mkuu huku kwetu wanafanya watu wenye elimu ndogo sana,lakini cha ajabu ukiwa ulaya wanaofanya kazi hizo unaweza kukuta ana masters degree n.k.....