Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,343
- 201,605
KILA MTU AFANYE KADRI YA NAFSI YAKE IONAVYO INAFAA CHA MSINGI ASIVUNJE SHERIA TU
Kumbe ndio maana unalalamika kwamba maisha ni gharama.... tuishie hapo.... .Germany berlin miezi 8
Kama msela nondo inakusigeza shida ukiwa na familiaNi masaa 8 mkuu sawa na USD 80 kwa siku, unafanya J3 hadi Ijumaa,unapokea 400usd sawa na 1600usd lakini sio chochote ughaibuni
ELIMU ELIMU ELIMUNikajua unaenda kufunga mzigo unarudi na kontena unaendeleza biz kumbe mambo ya kusoma tena.
Fact ulaya utapata kipatokila mtu anawazo yake lakini kwa upande mwingine mtu anapohama sehemu moja kwenda nyingine hukutana na changamoto tofauti na alikotoka na maranyingi hizi changamoto huwa jenga wengi kufikia malengo muhimu kimaisha,nje ya Tz kunachangamoto nyingi sana za kimaisha hasa ulaya na marekani lakini wana wide opportunities za kumuinua mtu regardless elimu aliyo nayo kushinda hapa TZ
Your first paragraph is a lieUlaya haina kitu. Msibabaike na Ulaya watanzania. Wenyewe hivi sasa wana matatizo makubwa sana ya kiuchumi. Wananchi wao wako desperate. Europe na Amerika zimekumbwa na wimbi la watu kutaka utajiri wa haraka haraka bila kufanya kazi, matokeo yake ile spirit ya Innovation ambayo ilikuwepo katika nchi kama England karne ya 19 na 20 haipo tena. Waingereza wanapoteza kila kitu kwa Marehemu ya mahesabu pesa kwa kufungua mabanks. Hivi sasa yanawstokea puani.
Ndugu zangu watanzania nawaomba tuipende na kujivunia nchi yetu. Tusipende kuiga maisha ya wazungu. Wao wenyewe hawana mwelekeo hivi sasa. Sisi tufanye ya kwetu na tuchukue tu yale muhimu kutoka kwao.
Wazungu wamejiingiza wenyewe katika mitego ambayo hawawezi tena kujikwamua. Watakwamuliwa na mlipuko kwa sababu hayuko mtu ambaye yuko tayari kuachia anayo yafanya na faida aliyo pata.
System ni ile ile almost ulaya yote ukienda italia vijana wakubwa kbsa wenye 30+ still wanaishi ns wazazi wao kutokana na gharama kubwa za housingKumbe ndio maana unalalamika kwamba maisha ni gharama.... tuishie hapo.... .
Mzee mtata we Tajiri bhanaHivi vi thread vingine vinaweza kukufanya mtu ujione tajiri wakati mambo bado kabisa.
Daaah kweli si mkuuWatu wanaoongelea USD 10 kwa saa, unaweza kuwasoma ukajiona kwa kipato chako umayapatia maisha, kumbe hata wewe uliyekizidi sana kiwango hicho una malengo zaidi pia.
Nakataa kukubali kazi wanazofanya wabongonje zina average hiyo.
Lakini, what do I know?
I got cribs in the hood, the 'burb and the city!
I run it like Diddy, with no commitee
Henny in the Hemi, smelling like Dylan Blue
With a lotta Benjis, and all te model type beaus
Every week is a taboo, of de ja vu
FactMtasema yoooote lakini bado tuu Amerika itabakia kuwa hivyo na Ulaya itabakia kuwa hivyo hivyo hata siku moja utoweza kulinganisha na Afrika, maana hata uwe na mipesa yako Afrika siku umeugua ndio utajua kwanini mtu anaona bora apige box la maisha Ulaya na Amerika,, hoja mbovu sana hii na mara nyingi watoa hoja hizi unakuta wameenda Ulaya wiki tatu mbili au miezi miwili wanakuja na maneno haya, ndio nyinyi mnanunua kiwanja bilion 2 Mbezi barabara vumbi tupu, maji hakuna, ukiugua ghafla mpaka upate huduma ya kwanza tayari umeshakufa, shule na vitu muhimu katika maisha ya mwanadamu hakuna ,umeme wa mgao,bado hapo hapo heti ukiwa unaingiza Milion kwa mwezi Bongo utaishi kama Ulaya Mhhhhh, Viongozi wako wa nchi malaria tuu kidogo wanakimbilia Ulaya, lini uliona mwananchi wa ulaya anakuja Bongo kutibiwa, kuna vitu vingi sana kwa wenzetu ambavyo ni muhimu kwa mwanadamu wa kawaida lakini Bongo labda uwe kama Bakhresa au Mengi ndio utavipata, tusidanganyane au kukatisha watu tamaa,wache watafutaji wakajitafutie,
Unaongea na Jay Z au?Watu wanaoongelea USD 10 kwa saa, unaweza kuwasoma ukajiona kwa kipato chako umayapatia maisha, kumbe hata wewe uliyekizidi sana kiwango hicho una malengo zaidi pia.
Nakataa kukubali kazi wanazofanya wabongonje zina average hiyo.
Lakini, what do I know?
I got cribs in the hood, the 'burb and the city!
I run it like Diddy, with no commitee
Henny in the Hemi, smelling like Dylan Blue
With a lotta Benjis, and all te model type beaus
Every week is a taboo, of de ja vu
Hawawezi kumuweka 2 months we bwana muongo maximum two weeksSijasema hivyo. Hebu jiuliza kuku wa Tesco aliekaa kwenye freezer miezi miwili na yule wa kienyeji yupi bora.
Utajiri pekee si muhimu sana.Mzee mtata we Tajiri bhana
THE PRECIOUS GIFT OF ALL TIME IS LIFE (UZIMA )hii ya kusema bora uzima...
Sawa kabisa ulichoandika lakini sisi wasakatonge waliotuzidi kipato tunawaona matajiri.Utajiri pekee si muhimu sana.
Muhimu sana ni ratio ya kipato chako na unavyosaidia wanaopaswa kusaidiwa.
Na hata kama natafuta utajiri, najua nautafuta kwa sababu ya kujiongeza katika ratio hiyo.
Hapo hapo kwa elimu na afya ulaya....hiyo huduma si kwa bima! Na kwa aliyeajiriwa?System ni ile ile almost ulaya yote ukienda italia vijana wakubwa kbsa wenye 30+ still wanaishi ns wazazi wao kutokana na gharama kubwa za housing
Ulaya ni nzuri kwa vitu vikubwa viwili ambavyo ni elimu na afya. Huduma ambazo hta bongo ukiwa na hela utazipata
I bubble that double, increase your troubleUnaongea na Jay Z au?
Sasa two weeks kidogo? Hio two weeks ni wapi, dukani au kwenye distribution centre yao au nchi wanayotoka kuja UK?Hawawezi kumuweka 2 months we bwana muongo maximum two weeks
Vyombo vinaoshwa na mashine wewe kazi yako kuvifuta uache ushambaUnakuta mtu anakataa kuosha vyombo tanzania , lakini akienda juu anaosha tena anakwangua na ukoko kabisa , tatizo huko juu pesa unaona kubwa ukibadili kuja pesa za kibongo lakini unashindwa kujua kua matumizi na gharama ya maisha huko iko juu sana pesa unayotumia juu kula , ukilinganisha na bongo ni pesa ya Msosi wa tajiri ,lakini huko unapata chakula kibovu tu , alafu code huko haukwepi na bills nyingi sana , kuna watu waliokwenda juu wakarudi wakijua watakuja kupagawisha hapa , wakakuta wa nyumbani wamefanya vitu kufuru , mpaka wakasema kwel huko wamekwenda kuzurura tu.
Umenena vyema, na watu wajue nchi zetu hizi tunapaswa kuweka juhudi kupata maendeleo kama ya Ulaya na America. Sasa mada ilivyowekwa ni kama kimaendeleo tuko sawa nao ila wanatuzidi kipato tu, kitu ambacho si kweli.Mtasema yoooote lakini bado tuu Amerika itabakia kuwa hivyo na Ulaya itabakia kuwa hivyo hivyo hata siku moja utoweza kulinganisha na Afrika, maana hata uwe na mipesa yako Afrika siku umeugua ndio utajua kwanini mtu anaona bora apige box la maisha Ulaya na Amerika,, hoja mbovu sana hii na mara nyingi watoa hoja hizi unakuta wameenda Ulaya wiki tatu mbili au miezi miwili wanakuja na maneno haya, ndio nyinyi mnanunua kiwanja bilion 2 Mbezi barabara vumbi tupu, maji hakuna, ukiugua ghafla mpaka upate huduma ya kwanza tayari umeshakufa, shule na vitu muhimu katika maisha ya mwanadamu hakuna ,umeme wa mgao,bado hapo hapo heti ukiwa unaingiza Milion kwa mwezi Bongo utaishi kama Ulaya Mhhhhh, Viongozi wako wa nchi malaria tuu kidogo wanakimbilia Ulaya, lini uliona mwananchi wa ulaya anakuja Bongo kutibiwa, kuna vitu vingi sana kwa wenzetu ambavyo ni muhimu kwa mwanadamu wa kawaida lakini Bongo labda uwe kama Bakhresa au Mengi ndio utavipata, tusidanganyane au kukatisha watu tamaa,wache watafutaji wakajitafutie,