Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!
Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.
Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!
USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo