Nipo Kididimo. Bado tarehe zetu za kukusemesha. hahahahahahahahaNahuja, upo?
Nipo Kididimo. Bado tarehe zetu za kukusemesha. hahahahahahahahaNahuja, upo?
Kujitesa au malengo? Sio kazi zote ni ngumu.Nikujitesa tuu
kweli kabisa..hahahaBongo hata nyekundu moja ya Msimbazi si hela ndogo aisee!
Ukiikuta imegawanywa vizuri inalisha mtu kwa wiki nzima.
Nakusubiri hapa Singida Iguguno...Vipi unakuja lini?Katika harakati za maisha Mara nyingi kila mtu anaona bora nchi hii ama ile!ndio maana utakuta wachina wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia China,Wakenya wanakimbilia Tanzania na Watanzania wanakimbilia Kenya!
Ili mradi kila mtu ameona nikienda sehemu Fulani basi naweza kufanikiwa.
Lakini Leo kwa ushauri tu wa bure kama unaweza kumake 1milion tsh kwa mwenzi ukishaondoa matumizi yako na elimu yako ni ya kawaida ama huna kabisa trust me Ulaya kama hujaenda shule ni kazi bure!
USD 10 kwa saa inaonekana kubwa lakini kiuhalisia ni kupaka rangi upepo
Hiyo ni kwa mwezi au week?Acha uongo yani hiko chumba €2000 umepanga pale champ d'esley Paris au la defence au center kabisa ya capital. Room zinafika mpaka 700€ ila 2000 mzee baba ndo tuseme umepanga posta mpya
Ameambulia kibamia tuMuulizeni Le Mutuz hana hamu na Ulaya/Marekani
Muwe mnaachaga ujinga wa kudanganyana! Unajua hyo anaelipwa hyo pauni 7 apartment anayoishi analipa shi ngapi? Mwisho wa siku hyo mfagia barabara anaishi km mbangaizaji yoyote wa africa!!
Hyo paundi 1100 kibongobongo ni km kulipwa laki tatu kutokana na gharama za maisha kuwa juu
Yaani wabongo full kudanganyana wanapigia hesabu mishahara ya ulaya kwa matumizi ya kibongobongo waende ulaya wakakutane na apartment ya chumba kimoja euro 2000 huku mshahara wako kwa mwezi ni euro3000 hpo bado hujala na takataka nyinginezo
Watu mliopita Ulaya kwa hisani ya semina mna fix balaa!Hiyo £ 30000 kwa mwaka bado hela mbuzi tu kwa ulaya yote hyo inaishia kwenye kulipia apartment tu!
Ila wasikilize hapa wanavyoponda Ulaya...utafikiri kila mtu analipwa tzs 10m kwa mwezi!Bongo hata nyekundu moja ya Msimbazi si hela ndogo aisee!
Ukiikuta imegawanywa vizuri inalisha mtu kwa wiki nzima.
Hya wewe uliyeishi miaka 10 tueleze ukweli unaoujua?Watu mliopita Ulaya kwa hisani ya semina mna fix balaa!
Kuna tofauti kati ya kuishi sehemu na kupita kwa semina ya wiki mbili. Hujui hata value £30,000 unaropoka tu. Hujui hata value ya Euro 3,000 ndio maana unaropoka kuwa inaishia kwenye rent. Watu wengi wanaotafuta maisha au wanafunzi wanaishi kwenye shared house/apartment. Hio Euro 3000 nyumba nzima ya vyumba 3/4 na chenji nyingi tu inabaki. Mfano UK up north nyumba ndio bei rahisi sana, down south kama London ndio bei kubwa na bado hio Euro 3,000 bado ni nyingi sana kwa nyumba ya kawaida yenye facility zote, labda useme wewe unataka Queen awe jirani yako.Hya wewe uliyeishi miaka 10 tueleze ukweli unaoujua?
Huko hakuna ishuMuulizeni Le Mutuz hana hamu na Ulaya/Marekani
Kama 100 dola kwa siku, ukawa makini, ukaacha anasa baada ya mwaka unarudi na pochi nono
Oooh safi sana mkuu....uko umeajiriwa? Uko nchi gani?Ni hatari sana hiyo kazi ambazo huchangii social security ni kujiua tuu maana final ni uzeeni ukiwa na social security unapata mpunga kama huna kazi na ukiamua kusepa unaondoka na mtaji wako kuja kufaidi tz. Ulaya mipango though sio rahisi ila ni better than bongo sina hamu na bongo kidogo nichanganyikiwe elimu unayo na kazi hamna
Wapi hakuna issue? USA?Huko hakuna ishu
Ndiyo wa regime ya trumpWapi hakuna issue? USA?
Mambo yamebuma now??Ndiyo wa regime ya trump
Sana last week nilikuwa canada, waafrika wengi wanapakimbia USA na. kuingia canadaMambo yamebuma now??