James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,203
- 15,563
Sasa atainywa mara ngapi au alibeba makretiSasa mbona naonaga jamaa wakirudi likizo au wakiwa wanaenda masomoni wanabeba unga, kahawa, majani ya chai, maharagwe, mchele kutoka bongo kwenda ulaya,amerika, asia n.k tena kuna mshkaji alibeba mbaka soda aina ya tangawiz akadai kule alipo moja ya sehemu za marekani anaikosa iyo soda.
