Hao wanaokimbia ni wale walioingia kimagumashi au hata waliofuata taratibu za kuishi na kufanya kazi huko?Sana last week nilikuwa canada, waafrika wengi wanapakimbia USA na. kuingia canada
Hao wanaokimbia ni wale walioingia kimagumashi au hata waliofuata taratibu za kuishi na kufanya kazi huko?Sana last week nilikuwa canada, waafrika wengi wanapakimbia USA na. kuingia canada
Hao wanaokimbia ni wale walioingia kimagumashi au hata waliofuata taratibu za kuishi na kufanya kazi huko?
Ila wasikilize hapa wanavyoponda Ulaya...utafikiri kila mtu analipwa tzs 10m kwa mwezi!
Wapotoshaji wakubwa ni wale waliobahatika kupita kwa ajili ya semina na kozi za wiki mbili tatu, wakirudi Bongo wanajidai wanajua Ulaya na Marekani kuliko wakazi wa huko.Huwa kuna upotoshaji mwingi sana ikija kwenye haya mambo ya ughaibuni.
Mimi sasa hivi nimeamua kuwaacha tu watu waamini wapendavyo na watakavyo.
After all, their opinions and beliefs are not my reality.
Nakubaliana na wewe. Kule majuu ni mateso matupu. Kwanza gharama za maisha ziko juu, pesa unayopata ni kidogo kulinganisha na matumizi yaani (hand to mouth), ni vigumu kuweka akiba, hakuna cha ndugu yangu atanisaidia, hakuna kutembeleana kuwa weekend nitakula kwa ndugu yangu(bajeti yao ni ya kufa mtu) na mwisho hakuna loose money kwa maana ya kick back. Kule kama unapata $5000 sidhani kuwa unaweza kufanya saving yeyote. Huku kwetu kama unaweza kuweka angalau hata Tshs.500,000 baada ya matumizi yako yote nakushauri usiende majuu kule ni mateso makubwa.Mtu mzima unafanya kazi mpaka masaa 18 kwa siku kwa sbabu ya utafutaji. Hivyo ndivyo wanavyoteseka huko.
Hebu msome na huyo hapo juu...! Huyu hata value ya $5000 sijui kama anaijua....na kama anaijua haijui US au Europe!Huwa kuna upotoshaji mwingi sana ikija kwenye haya mambo ya ughaibuni.
Mimi sasa hivi nimeamua kuwaacha tu watu waamini wapendavyo na watakavyo.
After all, their opinions and beliefs are not my reality.
Hebu msome na huyo hapo juu...! Huyu hata value ya $5000 sijui kama anaijua....na kama anaijua haijui US au Europe!
Kwamba ukipata milioni moja kwa mwezi ndio uridhike ubaki juani usihangaike kutafuta better opportunities? Ndio mawazo ya GTs haya....kazi ipo na kwa akili hii bakini tu hapa hapa Magu awanyooshe akilizikae sawa.Ila mtoa mada kasema ikiwa unapata milion 1( mishahara ya miezi miwil ya mwalim wa sekondari)
Kuna vichekesho humu balaa! Hadi unajiuliza huyu kweli katoka nje ya hii mipaka yetu ya Tanaganyika?Hahahhaaa!
Imebidi nicheke tu.
Si ajabu hayo aliyoyaandika kasimuliwa na mtu.
Kwa hiyo anachotaka kusema ni kwamba kwa Tanzania watu wengi wana disposable income, siyo? Wana hiyo income kwa sababu Tanzania ni rahisi kuweka akiba, siyo?
Suala la kuweka akiba kidogo ni suala na money management na self discipline tu.
Hiyo kanuni ipo applicable popote pale.
Sasa yeye keshakariri kuwa kuweka akiba Ulaya ni vigumu na Tanzania ni rahisi.
Awapotoshe wajinga wenzie wasiojua.
I hope naye keshachangia kule kwa Aggyjay.....
Sasa ww prondo tuambie ww uko nchi gani , unafanya nn ,unasoma au ulizamia mana usijekutuchuza tukaaibike kumbe mwenzetu pogba unalisakata uko !!Kuna vichekesho humu balaa! Hadi unajiuliza huyu kweli katoka nje ya hii mipaka yetu ya Tanaganyika?
Ni masahibu ya maisha tu.Sawa kabisa ulichoandika lakini sisi wasakatonge waliotuzidi kipato tunawaona matajiri.
Niko Tz....lakini hainizuii kuona pumba ipi mchele upi.Sasa ww prondo tuambie ww uko nchi gani , unafanya nn ,unasoma au ulizamia mana usijekutuchuza tukaaibike kumbe mwenzetu pogba unalisakata uko !!
Siyo kila anayekwenda kwa WAKOLONI kama huyo sijui mutuz lazima afanikiwe, kuna wanafanikiwa tunawafaham but kila mtu ana nafasi yake ktk mfumo wa maisha na nafasi za kufanikiwa KAMWE haziwezi kufanana.Muulizeni Le Mutuz hana hamu na Ulaya/Marekani
As long unamudu watakaokuja watamuduJamani. Sisi tuko Ulaya Hakuna maisha rahisi. Huku hutaokota Hela. Uzuri wa huku huhitaji cash Mara moja kuwa na gari. Utakula lakini kutajirika usiote. Utaweza kujibana na kufanya mambo Tz. Na huko mtu ukirudi likizo ndo unafeel kabisa upo home. Hakuna ubaguzi.nk. Juzi mama anazungumza na mimi kuwa waafrika wamezidi Ujerumani. Wakati mie cheusi Dawa. It’s never easy. Ila professional zetu zinatulinda. Hakuna easy ndugu . Cola Mfano Euro 2.50 hotelini. Tshs zaidi ya 5000. mlo hoteli kawaida tu Mfano chinesisches Restaurant 12 Au 11 Euro. So msitaje tu Euro 1600 nk. Kodi. Na kila kitu ni fedhaaaaa.
Mshahara wake anampita mwenye hizo elimu "huko unakosema"Kumbe tukiwa ulaya msemo wa 'kazi ni kazi bora mkono uende kinywani' una maana sana kuliko huku kwetu,maana hizo kazi ulizozitaja hapo mkuu huku kwetu wanafanya watu wenye elimu ndogo sana,lakini cha ajabu ukiwa ulaya wanaofanya kazi hizo unaweza kukuta ana masters degree n.k.....
Sasa mbn waeleza mambo kama uko ulaya ndugu ,ushawah kwenda ? Usijekua unawakosoa wengin kumb ww mwenyw ulisimuliwa!Niko Tz....lakini hainizuii kuona pumba ipi mchele upi.
Kwahio umeambiwa mtu akiwa Tz haijui Ulaya? Kama upo huko maisha magumu niambie nikusaidie. Wanaosimuliwa huwasomi humo na pumba zao, mtu hats gharama za rent hajui anaropoka tu.Sasa mbn waeleza mambo kama uko ulaya ndugu ,ushawah kwenda ? Usijekua unawakosoa wengin kumb ww mwenyw ulisimuliwa!